mjanja wa kijiji
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 1,469
- 4,081
walikuwa wanarekodi kivuli?
Hakuna tunapoenda tutafika wapi ?Tutafika
Hakuna mahali tunaenda ww acha kujipa imani ya abunuwasiTukishafika utaelewa tulikuwa tunakwenda wapi
Je je je je je je je kali ya mwakaJe, wanarusha picha katika kiwango cha UHD, HD au SD?
Je, mpiga picha alikuwa umbali gani kutoka alipo JPM? Zooming too much inaharibu picha...
Je, chanzo cha mwanga kilikuwa upande gani, subject alikuwa uelekeo upi toka mwanga unapotokea?
Je, mpiga picha alitumia filter sahihi kwa mandhari aliuokuwepo?
Upande mwingine ni je hiyo TV/Receiver yako mkuu ina spec zipi kwenye kudecode picha?
Sasa ulitaka atoe ela mfukoni anunue camera ya hd? Kama hapewi pesa za kununua afanyaje?Negative Kabisa
Aibu Sana Hii Tbc Wana Yule Dkt Wao Yaani Bado Yupo Ofisini, Kweli
Tanzania Wanaotuangusha Ni Wasomi
JF, home of great thinkers who dare to talk openlyJe je je je je je je kali ya mwaka
Kama ni swala la kufika popote pale sawaSwala sio kjjipa imani.. swala haijalishi unakoelekea hupajui. Still utafika popote hata kama hukupanga
Litasikia Kwa MunguTBC Ni sikio LA kufa!
utafikiri juwa limeenda likizo
walikuwa wanarekodi kivuli?