TBC fungeni ofisi mkafanye kazi nyingine

Je, wanarusha picha katika kiwango cha UHD, HD au SD?

Je, mpiga picha alikuwa umbali gani kutoka alipo JPM? Zooming too much inaharibu picha...

Je, chanzo cha mwanga kilikuwa upande gani, subject alikuwa uelekeo upi toka mwanga unapotokea?

Je, mpiga picha alitumia filter sahihi kwa mandhari aliuokuwepo?

Upande mwingine ni je hiyo TV/Receiver yako mkuu ina spec zipi kwenye kudecode picha?
Je je je je je je je kali ya mwaka
 
Television ya hovyo kabisa....ukitaka uichukie vizuri, subiri kipindi cha uchaguzi, wao ni kuelezea chama tawala tu, hata taarifa ya habari inahairishwa.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom