Hotuba za Samia?Hahahaha! Uzalendo tu ndugu. Usivyovipenda huko mimi navipenda!
Afterall, na yenyewe ipo ili iangaliwe/itazamwe na watu ambao ndiyo sisi.
Hawa jamaa wana customer care mbovu...jinamba lao hata ukipiga siku nzima halipokelewi...hovyo sanaKing'amuzi cha Continental hakioneshi picha za channel za TBC zote, Safari Channel na Channel 10. Tatizo ni nini?
Mi pia nashangaaHiki king'amuzi kumbe bado kipo