Tido uko wapi bado tunakuhitaji. Hawa jamaa waliobaki wanaburuzwa tu hawana ubunifu
Ni aibu kubwa sana kwa Taifa au jamii kukosa vazi la taifa ambao ndio unakuwa utambulisho wenu mnapokuwa ndani au nje ya mipaka ya nchi yenu.
Hebu nitazameni mimi hapo kwenye avatar yangu nikiwa na vazi letu la taifa. Je kwa vazi hilo si unaweza kujua natoka nchi gani.
Fungukeni na mtafute utambulisho wenu kitaifa na kimataifa.
Aibu tupu kuita tbc tv ya taifa, tv za taifa za mataifa yote africa zinaonesha mashinda ya mpira ya africa lakini tbc hawaoneshe, Toka Tido mhando alipo ondolewa tbc hakuna jipya tena
TBC Mbwa wa polisi wa CC Magamba!Kikao Muhimu cha bunge kinaendelea Dodoma na TV ya taifa ni lazima si ombi kuwaonyesha wananchi wake kitu ambacho wawakilisho wao wanakijadili Bungeni.
Cha ajabu hii tv inakatika katika na tangazo kubwa wanalotuwekea ni VAZI LA TAIFA. no excuse nothing, So shame for the great Nation which we are all proud of it.
DR's still on strike to wake up the Government
Yana hayo mambo ya vazi la taifa yananiudhi sana,wakikupigia hesabu ya hizo gharama unaweza kuzimia
Si kitu cha ajabu kukusikia wewe ukisema mambo kwa kuzingatia tumbo lako litavimbiwaje na si maslahi ya watanzania, kwa sababu waliokutuma wanajua wanachokifanya na wanajua hilo vazi la taifa ni njia mojawapo kati ya njia nyingi ambozo wamekuwa wakijaribu kuzitumia kuwasahaulisha au kuwatoa watanzania katika kujadili vitu mhimu zaidi vinvyo athiri maisha yao. Sasa hiyo posho unayoipata itakutokea puani siku moja watanzania si wale wa zamani wa kuyumbishwyumbishwa tuna msimamo na tunaelewa kinachoendelea ni nini!! Labda kwa ushauri wangu mwambie mwajiri wako kuwa kazi unayoifanya ina impact katika kuwabadilisha watanzania ili uendelee kutwaa posho ya kujaza tumbo lako na watu wa jamii yako. itakusaidia walau kwa kipindi kifupi kabla boss wako kugundu alikuwa anadanganya, huu ni ushauri wa bureNi aibu kubwa sana kwa Taifa au jamii kukosa vazi la taifa ambao ndio unakuwa utambulisho wenu mnapokuwa ndani au nje ya mipaka ya nchi yenu.
Hebu nitazameni mimi hapo kwenye avatar yangu nikiwa na vazi letu la taifa. Je kwa vazi hilo si unaweza kujua natoka nchi gani.
Fungukeni na mtafute utambulisho wenu kitaifa na kimataifa.
Hivi nchi zenye vazi la taifa zilipataje vali hilo? Walifuata utaratibu kama huu tunaopewa sisi? Vazi linapigiwa kura kama mbunge!!
Lakini nani atavaa hilo vazi na kwa uda upi? Kazini au katika sherehe?
Kwa nini vazi la taifa sasa na si kabla?