Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,510
- 28,423
Kama huombei asiwe Rais wetu unaombea awe ni Rais gani sasa???Unajua wewe unajichanganya sana yeye hakuomba kuaminiwa ametoa unabii wake tu, jambo la muhimu si kumpinga bali kukaa na kusubiri ili tuone kama itatokea kama alivyotabiri au la!!! Lakini jambo lingine kwetu sisi wakristo ni kuombea amani Taifa letu na pia kumwombea mh. Rais wetu na viongozi wengine ili tuishi kwa amani ili Injili ihubiriwe na watu waokolewe, pia haki itendeke ktk Taifa letu, mimi si mwanaccm ila kila siku namwombea Rais wetu na serekali yake ili tuishi kwa amani, hata ktk unabii huu naomba isiwe kwa Rais wetu.