TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

Ta Kamugisha

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,536
2,187
Si mimi ni utabiri wa TB Joshua leo, ameonyeshwa rais mmoja Africa atatekwa na ameonyeshwa watu wakiwa club wanacheza then wanalipukiwa na nchi iyo ni jirani na Kenya, Angalizo, amesema siyo kenya tena,je itakuwa nchi gani?

Misa ya leo jumapili ndo kasema, na amesema ataendelea kuomba ili jumatano na alhamisi ijayo aonyeshwe ni rais gani na nchi gani.

VIDEO:



Jamani tuombe sana isiwe tanzania
 
Last edited by a moderator:
Si mimi ni utabiri wa TB Joshua leo, ameonyeshwa rais mmoja East Africa atatekwa na ameonyeshwa watu wakiwa club wanacheza then wanalipukiwa. Angalizo, amesema siyo kenya tena,je itakuwa nchi gani?

Misa ya leo jumapili ndo kasema, na amesema ataendelea kuomba ili jumatano na alhamisi ijayo aonyeshwe ni rais gani na nchi gani.

Jamani tuombe sana isiwe tanzania

Huyu wa kwetu anavopenda kuzurura hii ya kutekwa inamhusu sana...club isije ikawa maisha club maana watamuuwa shemeji yao
 
Yaani huyu Pastor yeye anatabiri matendo ya kishetani tu. Kwa nini hajatabiri mambo ya neema kwa "wana" wa Mungu

Alileta story ya Boko Haram kufutika ikagonga mwamba. Huwa anacheza na probability za matukio katika jamii kulingana na mazingira halafu anakuja na majibu.

Halafu matukio yakitokea ndiyo huwa anajitokeza na kudai alitabiri na limetokea.

Kila mtu na shamba lake la mavuno ya kimaisha na wajinga ndiyo waliwao.

He's getting richer wakati waumini na wafuasi wake wengi getting poorer.
 
Back
Top Bottom