TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

mbona aonyeshwi mazuri. anaonyeshwa mabaya tu

Wewe kuamka salama kila siku ni mazuri, na hauhitaji sana kujiandaa kukabiliana na mazuri; lakini unahitaji kuomba ili kuepusha hayo mabaya au kuyamanage ili yasilete madhara makubwa.
Manabii wa zamani walikuwa wanatabiri nini kama sio vita, njaa, mapigo ya Mungu ili watu wamrudie Mungu.
 
Si mimi ni utabiri wa TB Joshua leo, ameonyeshwa rais mmoja Africa atatekwa na ameonyeshwa watu wakiwa club wanacheza then wanalipukiwa na nchi iyo ni jirani na Kenya, Angalizo, amesema siyo kenya tena,je itakuwa nchi gani?

Misa ya leo jumapili ndo kasema, na amesema ataendelea kuomba ili jumatano na alhamisi ijayo aonyeshwe ni rais gani na nchi gani.

Jamani tuombe sana isiwe tanzania

Duh
Halafu jana cjaangalia
Thanks kwa info
 
Si mimi ni utabiri wa TB Joshua leo, ameonyeshwa rais mmoja Africa atatekwa na ameonyeshwa watu wakiwa club wanacheza then wanalipukiwa na nchi iyo ni jirani na Kenya, Angalizo, amesema siyo kenya tena,je itakuwa nchi gani?

Misa ya leo jumapili ndo kasema, na amesema ataendelea kuomba ili jumatano na alhamisi ijayo aonyeshwe ni rais gani na nchi gani.

Jamani tuombe sana isiwe tanzania

kamugisha...ingekuwa vizuri kama ungesema TB aoneshwa Rais East...

Yaani TB si mtabiri bali mtu anayepata maono.
 
Last edited by a moderator:
Mmh muhimu ni kuomba lakini pia usalama wa taifa mliopo JF hili si la kupuuzia hata kidogo..take action
 
kamugisha...ingekuwa vizuri kama ungesema TB aoneshwa Rais East...

Yaani TB si mtabiri bali mtu anayepata maono.
hivi kuprophesize maana yake nini? Jana mwenyewe (t.b.joshua) alizungumzia kuhusu seers akiwalenga waganga na fortune tellers sasa sijui seers maana yake nini?
Ofcourse nabii sindio prophet anaoneshwa future events na anazisema, sasa kutabiri, kubashiri sijui maana yake sana, na si tuna watabiri wa hali ya hewa?
 
Last edited by a moderator:
Wewe kuamka salama kila siku ni mazuri, na hauhitaji sana kujiandaa kukabiliana na mazuri; lakini unahitaji kuomba ili kuepusha hayo mabaya au kuyamanage ili yasilete madhara makubwa.
Manabii wa zamani walikuwa wanatabiri nini kama sio vita, njaa, mapigo ya Mungu ili watu wamrudie Mungu.
yani kuwaterrorize watu wamkubali wamrudie?
 
Mkuu hayo uliyosema Siyo ya kweli. Angalia vizuri Emmanuel TV utaona TB Joshua anavyofanya mambo. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

Mkuu tatizo wabongo wanapenda sana kufanyia kazi habari za kuckia
Na most of them hawamfaham tb Joshua bali wana msikia
Hawajui wala hawa fuatilii ana fanya nn ndo maana wanaandika/komenti habari za kuckia
 
Kwani mkikesha na kuomba kuepushiwa balaa hizi katika dunia yetu na nchi zetu mtapungukiwa nini? Mbona tunakuwa wagumu hivi katika mioyo yetu? Ee Mungu tuepushe na balaa ziwe zimetabiriwa au laa.
 
Unajua wewe unajichanganya sana yeye hakuomba kuaminiwa ametoa unabii wake tu, jambo la muhimu si kumpinga bali kukaa na kusubiri ili tuone kama itatokea kama alivyotabiri au la!!! Lakini jambo lingine kwetu sisi wakristo ni kuombea amani Taifa letu na pia kumwombea mh. Rais wetu na viongozi wengine ili tuishi kwa amani ili Injili ihubiriwe na watu waokolewe, pia haki itendeke ktk Taifa letu, mimi si mwanaccm ila kila siku namwombea Rais wetu na serekali yake ili tuishi kwa amani, hata ktk unabii huu naomba isiwe kwa Rais wetu.

Unaomba kwa kupiga kelele!na mziki kama mko kwenye club!
 
Yaani huyu Pastor yeye anatabiri matendo ya kishetani tu. Kwa nini hajatabiri mambo ya neema kwa "wana" wa Mungu

Alileta story ya Boko Haram kufutika ikagonga mwamba. Huwa anacheza na probability za matukio katika jamii kulingana na mazingira halafu anakuja na majibu.

Halafu matukio yakitokea ndiyo huwa anajitokeza na kudai alitabiri na limetokea.

Kila mtu na shamba lake la mavuno ya kimaisha na wajinga ndiyo waliwao.

He's getting richer wakati waumini na wafuasi wake wengi getting poorer.

Unauhakika na ulichokiandika?
Au na ww uonekane umeandika? Y dont u ask?
Hiv unajua anayoyafanya?
Unajua anasomesha watu wangapi frm primary to Phd level?
Unajua anasaidia wazee na wajane wangapi kwa chakula malazi na makazi?
Unajua amewatoa wangapi kwenye umasikin wa kutupa mpaka ss ni matajiri
Unajua amefungua(kwa jina la Yesu)waganga wa kienyeji wangapi na wamemrudua Mungu?
Na wameacha kudanganya watu.
Unajua amesaidia youth/ undergraduate wangapi kupata ajira.?
Na hii ni kampeni endelevu.
Unajua amewafungua watumishi wangapi, wachungaji, mapadre, maaskofu, wa injilisti n.k na ss wanafanya vzr
Bado aliowatoa kwny vifungo

Cwez kuandika yote hayo ni baadhi tu
Jamani muwe mnauliza mpate kufaham kabla hamjaandika dhihaka zenu.

Ukitaka kumfaham mfuatilie, msikilize utaelewa anafanya nn.
Hana muda wa kujitajirisha ndo maana kila anachopewa anatoa kwa wasiojiweza au wenye uhitaji

Nb: uongo utaenda mara elf 1 bt ukweli utasimama sekunde 1 tu kudhihirisha ukuu wa Mungu
 
Asije kuwa anatumiwa na watekaji, ikitokea anatakiwa awe na la kujibu na mtuhumiwa namba moja.
 
Back
Top Bottom