TB Joshua kiboko!

mi ndo maana hata wanamfuata nawaona kama machizi tu..

inategemea ni Mungu gani unayemuabudu ila kama ni huyu Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo basi unahitaji Msaada sana.
 
utabiri na unabii ni tofauti, eleza jinsi unavyofahamu unabii pia ili tujue sasa kama yeye ni mtabiri au nabii.

Huyu ni mtabiri tuu huyu, mimi si mfuasi sana wa imani za kigeni lakini zinasema unabii ulishakwisha miaka mingi iliyopita!! Hawa wa miaka hii ni wauongo tu
 
Huyu ni mtabiri tuu huyu, mimi si mfuasi sana wa imani za kigeni lakini zinasema unabii ulishakwisha miaka mingi iliyopita!! Hawa wa miaka hii ni wauongo tu

Acha kusema Uongo wewe nani na wapi panasema Unabii ulikwisha Miaka mingi iliyopita
 
Bora tungeendelea kumpromote babu yetu mwasapila tupige hela!
 
Mbona nawewe unaweza kutabili vizuri tu.. kwa mfano.. mimi nilitabili ndoa ya vicky itashindikana na imekuwa..

Twende sawa kaka, nashangaa wabongo hawataki kukuamini na kukufuata wanahangaika na wajanja wa Naijeria!! Kweli nabii hakubaliki kwao hahahaaaa
 
atabiri timu itakayochukua kombe la dunia kabla mechi hazijaanza
 
Ni mpiga ramli huyooooo!...kama kizee cha kikombe Loliondo hivi.:smile-big:
 
Wajinga ndio waliwao

Ha ha ha This is not Official Facebook Page ya TB Joshua. Hayo ni Maneno yaliyotungwa na Shetani na Kusambazwa na Watumishi wake ili Kumchafua Prophet TB Joshua. Official Faceboo page inapatikana The Synagogue, Church Of All Nations – SCOAN - Prophet T.B. Joshua (General Overseer) au

https://www.facebook.com/tbjministries?fref=nf

Usiruhusu Ibilisi Akutumia maana yeye ni Baba wa Uongo, Mama wa Uongo na wanaomfuata ndio Watoto wake

cc FaizaFoxy

au
 
Last edited by a moderator:
jamani katabiri lini tena wakati jocyce mwenyewe alienda huko na akapewa blessing?
 
Huyu ni mtabiri tuu huyu, mimi si mfuasi sana wa imani za kigeni lakini zinasema unabii ulishakwisha miaka mingi iliyopita!! Hawa wa miaka hii ni wauongo tu

iliyokwisha ni ya kiislamu, sisi wakristo manabii wako, na huyu ni mmojawapo. Lakini hakuna tatizo kama wewe sio mfuasi huyu TB joshua wewe hakuhusu.
 
Alitabiri mabaki ya ndege ya malyasia yataonekana karibuni,mpaka leo kimya.
 
Haishangazi kuona makanisa yanaongezeka zaidi ya madarasa nchini.

Halafu watu wana tapeliwa lakini hawachoki kununua utapeli. Mzee wa Loliondo alikuwa milionea baada ya wiki.

Hivi kama Mh. Lowassa ndiyo mteja wa TB Joshua, unategemea wapambe wake wengi watakuwa vipi?.
 
Kamanda Onesha Utapeli wa TB Joshua
 
Macho unayo lakini hayaoni, masikio unao lakini hayasikii.

Wajinga ndio waliwao.
 
utabiri na unabii ni tofauti, eleza jinsi unavyofahamu unabii pia ili tujue sasa kama yeye ni mtabiri au nabii.
kweli mkuu.na kuna tofauti kubwa sana kati ya nabii na mtabiri ni wachache tu ndo tunaolewa kwa kina
 
utabiri na unabii ni tofauti, eleza jinsi unavyofahamu unabii pia ili tujue sasa kama yeye ni mtabiri au nabii.
kweli mkuu.na kuna tofauti kubwa sana kati ya nabii na mtabiri ni wachache tu ndo tunaolewa kwa kina,tofauti ya utabili na unabii
 
Kwani unadhani hii Thread imeanzishwa kwa bahati mbaya?

Tena sio TB Joshua tu alikua mstari wa Mbele Loliondo na Magazeti ya Habari Corporation yakawa na picha zake front page
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…