TB Joshua hakuwahi kubatizwa wala kumpokea Yesu! Nimeshangaa sana

Mungu yupo na hayupo at the same time?

What are you smoking?
Nimetoa mfano wa wegner ambae idea yake baada ya karne 1 ilithibitika ni kweli.

Mungu ni idea ambayo kwa sasa haina uthibitisho, hivyo kusema yupo au hayupo zote ni imani. Wewe unaposema Mungu hayupo hiyo ni imani yako, imani ambayo huwezi kuithibitisha kama hao unaosema wanadanganywa.
 
View attachment 1813227

Ubatizo wa maji ni udhihirisho wa nje kwamba umempokea Kristo!

Wapo waliompokea Kristo pasipo udhihirisho huo wa nje na kuokolewa!

Ref: Mwizi msalabani aliye mkiri Kristo na kuokolewa pasipo ubatizo wa maji.
Kwa hiyo T B Joshua ni mwizi msalabani,Acha kurahisisha mambo,YESU mwenyewe katika Mathayo 28 kuanzia 19 anawaamuru watu wakabatizwe.
 
Nimekuwa nikifuatilia kifo cha gwiji huyu wa gospo tangu alipokufa.

Jana nilishangaa hoja ambazo Jumuia ya makanisa ya kikristo ya Nigeria na Jumuia ya makanisa ya kipentekoste kumkataa kabisa *TB kama Mkristo mwenzao...
Vita ya kugombea waumini inahusika hapa. Temitope Joshua alikuwa anawaburuza kwa wafuasi wengi hence sadaka ya kutosha. Kwa kifo chake wapo viongozi wa makanisa watakao'nnya' mafungu mafungu kwa furaha. Dunia simamaaaaa nishuke.
 
View attachment 1813227

Ubatizo wa maji ni udhihirisho wa nje kwamba umempokea Kristo!..
unaposha mkuu soma matendo ya mitume 2:38(petro akawambia, tubuni kila mmoja mkabatizwe kwa jina la yesu kristo mpate ondoleo la dhambi nanyi mtapokea kipawa cha roho mtakatifu.) soma pia yoh 3:3-5

sisi tunaoamini katika YESU Kristo, ubatizo ni LAZIMA. kwa sababu kupitia ubatizo unapata ondoleo la dhambi. katika yohna 3:3-5 yesu anamwambia NIKODEMO kua usipozaliwa kwa mara ya pili huwezi kuuona ufalme wa mbingu.

hivyo niwazi kwamba HAKUNA mtu atajiita mkristo bila UBATIZO wa Yesu. maandiko yako wazi ni swala la wewe kuamua ufuate maneno ya watu au Biblia takatifu.
 
Mathayo 24:24​

Maana watatokea akina Kristo wa uongo na manabii wa uongo. Watafanya ishara kubwa na maajabu ya kuweza kuwapotosha ikiwezekana hata wateule wa Mungu.

Hawa manabii wamewapoteza watu wengi saana na miujiza yao.

Hos 4:6 SUV​

Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.
 
Schrodinger's Cat scenario inaweza kupimwa kwa experiment.

Mungu amepimwa wapi kwa experiment?
Nadhani utakua hujaelewa ninacho maanisha.. Sijamaanisha uichukulie idea ya Schrodinger's cat literally.

Namaanisha idea inakua ipo na haipo paka pale itakapo thibitishwa ipo au haipo. Bila idea kuthibitishwa anaesema ipo anasimama sehemu moja na anaesema haipo. Kwa hiyo wewe unaposema Mungu hayupo huna tofauti na anaesema Mungu yupo (wote mnaamini bila uthibitisho).
 
Unaongelea idea ya Mungu au kuwapo kwa Mungu halisi?
 
Hayo madai ya kwamba Tb Joshua hakuwahi kubatizwa yaliwahi kuthibitishwa na yeye mwenyewe kipindi akiwa hai?
Au mnasubiri mtu afe kisha muanze kumchafua sababu mnajua hawezi kujitetea??
Binafsi nilikuwa simkubali Tb Joshua lakini pia kutomkubali mtu isiwe sababu ya kumshuhudia mambo ya uongo.
 
Nimekuwa nikifuatilia kifo cha gwiji huyu wa gospo tangu alipokufa.

Jana nilishangaa hoja ambazo Jumuia ya makanisa ya kikristo ya Nigeria na Jumuia ya makanisa ya kipentekoste kumkataa kabisa *TB kama Mkristo mwenzao.

Alipoulizwa sababu ya kumkataa, mwenyekiti mmoja wa jumuia hiyo aliwahi kusema.

TB hajawahi kubatizwa, au kuonyesha alpokea Yesu lini na wapi na kwa pastor yupi. Hawakubaliani na agenda yake kuwa yeye Yesu alimalizana naye tangu akiwa tumboni mwa mama yake mimba ambayo ilikaa miezi 15.

Kwa kanuni za kikristo na Kibiblia mtu akiwa na akili timamu ndio anatakiwa amchague Yesu sio tumboni. Lakini pia kwa wengine akiwa mtoto hubatizwa. Lkn sio tumboni na angalau aonyeshe ushahidi wao hawatapata shida kabisa.

Huyu ndiye Gwiji wa injili aliyekuza sekta ya utalii nigeria kwa njia ya injili. Kuna mwaka ulifika ndege ikitua na wazungu 10 nigeria zaidi ya sita wote walikuwa wanaenda SCOAN kulamba upako.
Kama mwanafunzi wa Biblia naamini TB Joshua hayuko alipo Bwana Yesu kwa mwenendo wake kutomfuta Kristo kama mitume waliotuachia kielelezo !
 
Attachments

  • IMG_20210606_143228_590.mp4
    34.4 MB
Unaongelea idea ya Mungu au kuwapo kwa Mungu halisi?
Mungu halisi anatokana na imani sababu paka sasa idea ya Mungu haina uthibitisho.

Mimi sina shida na anaeamini kutokuwepo kwa Mungu, ila nakukumbusha kwamba na wewe ni muumini unaeamini bila kua na uthibitisho. Fikiri hili kabla hujawakosoa upande wa pili.

Sasa siku ikija kuthibitika yupo utasemaje asee?, Maana ikithibitika hayupo wanaoamini hawatadhulika chochote.
 
Kusema mimi ni muumini ni sawa na kusema mtu aliyenyoa kipara kasuka nywele mtindo wa kipara.
 
Nimetoa mfano wa wegner ambae idea yake baada ya karne 1 ilithibitika ni kweli.

Mungu ni idea ambayo kwa sasa haina uthibitisho, hivyo kusema yupo au hayupo zote ni imani. Wewe unaposema Mungu hayupo hiyo ni imani yako, imani ambayo huwezi kuithibitisha kama hao unaosema wanadanganywa.
Mtu akisema ndani Kuna kikombe na mwingine akasema ndani Hakuna kikombe, Nani kati ya hao wawili anapaswa kuthibitisha uwepo wa kikombe ndani?

Kwanini uwepo wa mungu mnataka wasioamini uwepo wake ndio wathibitishe na sio Nyie mnaosema Mungu yupo?
 
Back
Top Bottom