Hivi unajua production ya vipindi vya tv inavyofanyika..?! Maana naona umekomalia vipindi vyake dada angu .!! Embu jitathmini na ujiongeze zaidi bwana, sio kubase maisha yako kwenye vipindi vya tv vya hawa watu.Hata mazuri huwa ana tabiri
So km unafuatilia programme yake utaona.
Btw haya mabaya ili tuombe kwa Mungu na Mungu ameepusha mengi tu