masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,834
- 14,990
Hana tofauti na sheikh Yahaya!Amesema kati ya Ukrain na Russian ndege nyingine kubwa ya abiria itatunguliwa'
ametabiri kuhusu Obama kukimbizwa hospitali muda wowote kuanzia sasa hivi
ametabiri nchi inayopakana na Kenya Rais wake wa kutekwa,,,,,,,,je ni Tanzania?
Mbona anatabiri mabaya tu, kwa nini sio mambo mazuri.?!
Amesema kati ya Ukrain na Russian ndege nyingine kubwa ya abiria itatunguliwa'
ametabiri kuhusu Obama kukimbizwa hospitali muda wowote kuanzia sasa hivi
ametabiri nchi inayopakana na Kenya Rais wake wa kutekwa,,,,,,,,je ni Tanzania?
Huyu TB Joshua wenu kaishiwa mbona ile ndege iliyopotea hajapatikana na yeye alisema itapatikana? Mwaka jana alitabari kuwa kuna rais wa nchi za Afrika mashariki atakufa lakini hadi leo hakuna, nadhani angejishughulisha na utabiri wake huko kwao kuhusu boko haramu na ebola itaisha lini.
mkuu unakosea kumfananisha na yesu. yesu alisema uzeni mali zenu mnifuate. huyu yeye katoa akaunti namba muweke fedha huoni tofauti hapo?
Hana tofauti na sheikh Yahaya!
Acha kupotosha
Acha kuandika vitu vya kusikia
Search prophesy zake na uangalie programme zake then uje tena
Haïti earth quick,westgate mall attack,death Of george saitoti,death Nigeria président,présidence Of thé late ghanian président,death Of Michael Jackson,air malaysia crash,2014 war against russia etc
Umrnifurahisha sana huyu Joshu TB ni tajiri ana tv anajitangazaYesu alikuwa maskini na watu ndo waliokuwa wakimtangaza
Yaap, it a FOOL who says THERE IS NO GOD BUT ALLAH, not me. My God called that creature a fool READ Psalm 14: 1. The fool hath said in his heart, There is no God. They are corrupt, they have done abominable works; There is none that doeth good.hayo maandishi yako ya 'herufi kubwa' yanakuthibitisha wewe ni fool !
The person who said LA ILAHA ILA ALLAH. Here is a proof. Psalm 14:1 The fool hath said in his heart, There is no God. They are corrupt, they have done abominable works; There is none that doeth good.sijakuelewa bado .. unasema ....? TB JOSHUA HE'S A FOOL..?A MA?
Hivyo vyote unavyovisema hata wewe waweza kufanya, ili mradi umevuviwa na Roho Mtakatifu.Sheikh yahya aponyi mtu,huyu anaponya cancer,HIV,Ebola,anaunga mifupa papo hapo,anafufua wafu. Kuna sheikh yahya Wa namna hii,sheikh anajua majini tu,maimuna anatembea jumanne, sijui zukr nini sijui%€# ,na kusoma maisha kwenye viganja,usoni,nini bwanaa. TB joshua anabeba neno la mungu,yaani upanga Wa roho
Yani umepambanua roho kwa kumuangalia kwenye tv?Ndo maana biblia imetuambie 'kupambanua Roho' ili tuue wa weli ni yupi ni wa uongo ni yupi sio kupinga tu kisa umesikia
Watch his programme utajua km wa uongo ama wa.kweli
Sheikh yahya aponyi
mtu,huyu anaponya cancer,HIV,Ebola,anaunga mifupa papo hapo,anafufua
wafu. Kuna sheikh yahya Wa namna hii,sheikh anajua majini tu,maimuna
anatembea jumanne, sijui zukr nini sijui%# ,na kusoma maisha kwenye
viganja,usoni,nini bwanaa. TB joshua anabeba neno la mungu,yaani upanga
Wa roho
Hajasema nchi inayopakana na Kenya...amesema southern africa countries. ...kwamba one of their president atatekwa na pengine kuuawa.... about Obama, ameonya kwmba asifanyiwe operation maana haitokua sawa kwake. He said let's pray for them!!!
ingia u tubu utaona au angalia ile Emanuel tv utaona wanaonyesha na kurudia,na siku moja uje uhame kwenye hiyo dini ya majini na kuchinjana
PointlessDid you ever check up your English Status Before viewing??
Hivyo vyote unavyovisema hata wewe waweza kufanya, ili mradi umevuviwa na Roho Mtakatifu.
Tatizo lenu ni kuamini mtu badala ya kuamini Neno la Mungu.
Huo utofauti wa viwango mnapimaje?Hé made some to be apostles,some prophets,evangelists,pastors n teachers. Hapa bongo pia kuna watumishi lakini hawajafikia kiwango chake,its just obvious
Unachukua upande mmoja tu, yesu alitabiri mabaya na mazuri, kwani biblia haingongelei kuhusu ndoa nzuri, utajiri, sherehe, mafanikio, afya nk wewe kwenye biblia umeona hayo tu, au hayo ndo unasikia kwa wachingaji kila siku..?! Na yamekukaa kweli i bet utakuwa huthamini maisha inavyotakiwa..sijui kama utanielewa lakiniNabii mkuu basi ni Yesu,lakini alitabiri kuteketezwa Jérusalem,makombora ya Hamas hayaishi. Alitabili vita na dhiki. Matetemeko ya ardhi.Upendo kupungua,watumishi wake kuuawa unaona tindikali,mpinga kristo, uasi,kupenda starehe kuliko mungu,kupenda mifano ya dini kuliko nguvu za mungu NK yoote haya Ni mabaya.Zuri Ni moja tu kila amwaminiye atakua na uzima Wa milele. Sasa tb joshua kuona mabaya ndo amekua nabii Wa uwongo?