πππππhuenda kuku hizo zimekufa kwa kimeta au kideri
Ulifikiri kwa makini hesabu imenyooka sanaTazameni Uongo Wa Mathematics
Eti: 8 x 0 = 0
Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?π€
Kifo chale kimeniliza sana mpaka macho yamevimba kanakwamba nimedungwa na nyuki.Tuende Vatican hujui papa kafa π₯Ί
Wote wapo sawa inategemea ww ni British or US or Chinese
Mtu aliekua haelewi hesabu darasani hawezi kuelewa hii explanation, kiufupi hili ndio jibuKuzidisha kwa maana nyingine ni kujumlisha kwa idadi ile unayozidisha...
Mfano 8 x 2 ni sawa na 8 + 8;
8 x 3 ni sawa na 8+8+8;
8 x 0 ni kwamba hio nane yako haujaiongeza kwahio ni 0 (yaani haipo)
8 x 1 ni kwamba ni 8 peke yake ambapo jibu ni nane...
Unajua maana ya Γ ?Tazameni Uongo Wa Mathematics
Eti: 8 x 0 = 0
Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?π€
Ni kuku wangu, zingatia ngeli ya A-Wa kwa viumbe hai.Hivi ni kuku wangu au kuku zangu?
Waache kumlilia wazungu wenzie Ila jamaa miyeyusho sana π πKifo chale kimeniliza sana mpaka macho yamevimba kanakwamba nimedungwa na nyuki.
Nilitaka mdau arekebishwe mkuu na ni tatizo lililopo kwenye Jami kwa namna wanavyotamka.Ni kuku wangu, zingatia ngeli ya A-Wa kwa viumbe hai.
Ndio maana tunasema, βkuku wangu hutagia mibaniβ
Rudi kasome form one hesabuuna hoja usikilizwe,usipojibiwa na wanaojiita vichwa basi tumedanganywa vya kutosha kuhusu hili iltakiwa 0 times 8 ndo iwe 0 sio 8 times 0
Kalale umelewa nini?Tazameni Uongo Wa Mathematics
Eti: 8 x 0 = 0
Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?π€
Ni sawa kwasababu 8 x 1 ni sawa na kusema nane nane ziwe moja ambapo unapata hiyo hiyo nane.Tazameni Uongo Wa Mathematics
Eti: 8 x 0 = 0
Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?π€
Kwa hiyo walikwa wanaamini mambo ya mirako.Waache kumlilia wazungu wenzie Ila jamaa miyeyusho sana π π
Unawakumbuks wasabato masalia walokesha uwanja wa ndege wakitarajia kusafiri pasi hawana visa, wala hati ya kusafiria, wala kibali chochote wakitegemea miujiza π
Acha tu mkuu, nikiangalia namna watu wanavyoandika na kutamka siku hizi, hakika ni huzuni!Nilitaka mdau arekebishwe mkuu na ni tatizo lililopo kwenye Jami kwa namna wanavyotamka.