Aione waziri Jaffo!Tazama hali ya mazingira ya darasa mojawapo linalopatikana katika Shule ya Msingi Bushekya iliyopo katika Halmashauri ya Bushekya. Hili ni jengo la Darasa la sita.
View attachment 1685121
Mengine Siyoyakusema Tanzania Kuna Matatizo Mengi Sana, Serikali Inafanya Ila Bado.Muleba iko mkoa ambao lilitolewa tamko la kujengwa shule ya Dar? Nilidhani shule za Mkoa huo zote ni supper kumbe ilikuwa ni King Kiki Double O?
Baada ya miaka 55+ ya uhuru leo tuko hapa.Aione waziri Jaffo!
Wapinzani wamechelewesha Sana maendeleo
Umeona ee! Sasa ni dhahiri kuwa wapinzani wanachelewesha Sana. Kwenye neno wapinzani waweza kuweka ccmMuleba mbona hawajawahi kuwa na mpinzani wa kuwachelewesha? imekuwaje tena?
Magufuli alikuwa anasema wapinzani walituchelewesha ndiyo maana na Sisi tunatumia huo msemo kumkumbusha MagufuliHivi wapinzani walishawahi kutawala nchi hata awamu moja?
Mbona lawama kwa wapinzani...
Wana milioni kadhaa kama vijisent vya mbogaMuleba mbona hawajawahi kuwa na mpinzani wa kuwachelewesha? imekuwaje tena?