CreativityCode
Senior Member
- Aug 8, 2020
- 158
- 654
Acha ushamba kila mtu anajenga kwa kuzingatia uwezo na mahitaji. Siku mahitaji na uwezo wetu vikiruhusu tutajenga km hio, ila ni ujuha wa kiwango cha mwendokasi kulinganisha flyover ya inchi yenye GDP ya 1.84Tirion usd Vs 63.18Billion usd. Sijui hua mnawaza nn kulinganisha haya mambo.
Mleta mada amelenga kukujuza kuwa yale majigambo ya ubungo na mgugale hayana maana yoyote. Ni kudanganya tuu wanyonge wajione wajisikie wako ulaya. Kama walivyojazwa upepo tumejenga kwa hela zetu za ndaniAcha ushamba kila mtu anajenga kwa kuzingatia uwezo na mahitaji...siku mahitaji na uwezo wetu vikiruhusu tutajenga km hio...ila ni ujuha wa kiwango cha mwendokasi kulinganisha flyover ya inchi yenye GDP ya 1.84Tirion usd Vs 63.18Billion usd...sijui hua mnawaza nn kulinganisha haya mambo....
Aiseee!Brazil umeenda mbali sana Kiongozi....
Nenda hapo Ghana tu... manake unaweza kuona aibu watu wanavyomuimba Shujaa na kuaminishana wenyewe kwa wenyewe eti ndie kiongozi bora Afrika!!
Kule Jukwaa la Kenya, huwa tunaamua tu kujitoa ufahamu kuitetea nchi yetu lakini ukiona kinachofanyika Kenya, unaweza kujiuliza hivi hii Misukule ya Jiwe ina akili sawasawa kweli hii!!
Hii SGR ambayo Legacy Protector inataka tumuimbe na kumtukuza Magu, kule Kenya imeanza kufanya kazi 5 years ago, na kama wangeona ipo commercially viable, hivi sasa ingekuwa imeshafika Uganda tayari!!!
Hapo bado sijaitaja Ethiopia ambayo imejenga bwawa kubwa kabisa la umeme, huku wakiwa nareli na ya kisasa!! Rudi Ivory Coast... yaani ndipo unaweza kujiuliza hivi MATAGA kinachowasukuma hasa ni kipi!!
Sahihi kabisaBrazil umeenda mbali sana Kiongozi....

Yaani ww akili yako ni sawa na baba na mama yako nyumban wamekupikia ugali na mlenda pekee wamekupa ule ila unaweza usiwashukuru kwakuwa tu kwa jirani yenu wamepika na kula wali kuku,nyama nakila kitu.
CrapBrazil umeenda mbali sana Kiongozi....
Nenda hapo Ghana tu... manake unaweza kuona aibu watu wanavyomuimba Shujaa na kuaminishana wenyewe kwa wenyewe eti ndie kiongozi bora Afrika!!
Kule Jukwaa la Kenya, huwa tunaamua tu kujitoa ufahamu kuitetea nchi yetu lakini ukiona kinachofanyika Kenya, unaweza kujiuliza hivi hii Misukule ya Jiwe ina akili sawasawa kweli hii!!
Hii SGR ambayo Legacy Protector inataka tumuimbe na kumtukuza Magu, kule Kenya imeanza kufanya kazi 5 years ago, na kama wangeona ipo commercially viable, hivi sasa ingekuwa imeshafika Uganda tayari!!!
Hapo bado sijaitaja Ethiopia ambayo imejenga bwawa kubwa kabisa la umeme, huku wakiwa nareli na ya kisasa!! Rudi Ivory Coast... yaani ndipo unaweza kujiuliza hivi MATAGA kinachowasukuma hasa ni kipi!!
Brazil na Tanzania nchi 2 tofauti.
Usilinganishe kila kitu.
Baba yako sio shujaa kisa hana hela kama Bill Gate?
Shuleni hua mnafundishwa mantiki ama kufikiri kweli?
Kuna hoja hapa! Wafuasi wa ccm hawapendi kabisa kusikia kitu kinachoitwa changamoto au wivu wa maendeleo! Wanachopenda kusikia masikioni mwao ni sifa tu na utukufu.Mbona kwenye majanga au uchumi kuyumba huwa mnafanya comparison? Bungeni nzi wa kijani kila siku wakibananishwa wanasema hata marekani nao walipata mtikisiko wa kiuchumi.
Comment bora kabisa hii, ubarikiwe sana.Yaani ww akili yako ni sawa na baba na mama yako nyumban wamekupikia ugali na mlenda pekee wamekupa ule ila unaweza usiwashukuru kwakuwa tu kwa jirani yenu wamepika na kula wali kuku,nyama nakila kitu.
Au baba yako amekupeleka ukasome st kayumba na anakuhudumia kwa kila kwa mahitaji ya st kayumba na usimshukuru kisa rafki yako anasomeshwa international school.
Hata hao unaobandika picha zao unaowasifia walianzia na daraja moja tu baadae wakawa wanapiga hatua kwa hatua mpaka walipofikia.... Mshukuru hata aliyetoa wazo la kujenga hayo madaraja maana amewafumbua macho kama sio kuwapa mwanga wa kuendeleza alipoishia yeye na kuendeleza zaidi na zaidi.
Tatzo huko kusoma mlikotumwa mmeenda kukariri mambo
Kinachowasukuma ni ushamba tuBrazil umeenda mbali sana Kiongozi.
Nenda hapo Ghana tu, manake unaweza kuona aibu watu wanavyomuimba Shujaa na kuaminishana wenyewe kwa wenyewe eti ndie kiongozi bora Afrika!
Kule Jukwaa la Kenya, huwa tunaamua tu kujitoa ufahamu kuitetea nchi yetu lakini ukiona kinachofanyika Kenya, unaweza kujiuliza hivi hii Misukule ya Jiwe ina akili sawasawa kweli hii!
Hii SGR ambayo Legacy Protector inataka tumuimbe na kumtukuza Magu, kule Kenya imeanza kufanya kazi 5 years ago, na kama wangeona ipo commercially viable, hivi sasa ingekuwa imeshafika Uganda tayari!
Hapo bado sijaitaja Ethiopia ambayo imejenga bwawa kubwa kabisa la umeme, huku wakiwa nareli na ya kisasa!! Rudi Ivory Coast... yaani ndipo unaweza kujiuliza hivi MATAGA kinachowasukuma hasa ni kipi!
Dah!!!!Misukule ya Jiwe ina akili sawasawa kweli hii!
We nae nenda kaolewee na wakenyaa..wacha tupambanie nchi yetu..kama unaona kenya ni bora kuliko kwenu..hamaaa..pumbafu kabisaa watu kama nyie hamna mana katika hii nchi.Brazil umeenda mbali sana Kiongozi.
Nenda hapo Ghana tu, manake unaweza kuona aibu watu wanavyomuimba Shujaa na kuaminishana wenyewe kwa wenyewe eti ndie kiongozi bora Afrika!
Kule Jukwaa la Kenya, huwa tunaamua tu kujitoa ufahamu kuitetea nchi yetu lakini ukiona kinachofanyika Kenya, unaweza kujiuliza hivi hii Misukule ya Jiwe ina akili sawasawa kweli hii!
Hii SGR ambayo Legacy Protector inataka tumuimbe na kumtukuza Magu, kule Kenya imeanza kufanya kazi 5 years ago, na kama wangeona ipo commercially viable, hivi sasa ingekuwa imeshafika Uganda tayari!
Hapo bado sijaitaja Ethiopia ambayo imejenga bwawa kubwa kabisa la umeme, huku wakiwa nareli na ya kisasa!! Rudi Ivory Coast... yaani ndipo unaweza kujiuliza hivi MATAGA kinachowasukuma hasa ni kipi!
Acha kufananisha wazazi wetu na wakina MfugaleYaani ww akili yako ni sawa na baba na mama yako nyumban wamekupikia ugali na mlenda pekee wamekupa ule ila unaweza usiwashukuru kwakuwa tu kwa jirani yenu wamepika na kula wali kuku,nyama nakila kitu.