Paulo Chacha ana akili timamu?

Paulo Chacha ana akili timamu?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,763
Reaction score
284,787
Mwenendo na kauli pamoja na vitendo vya Aliyekuwa RC wa Tabora, ndugu Paulo Chacha, havionyeshi kama mtu huyo anazo akili timamu

Amefanya madudu mengi mno, lakini hill la kumshitaki Msichana kwa madai ya kumtongoza ni uthibitisho wa mashaka yetu, huyo hawezi kuwa mzima, bila shaka ni mwehu

Sijawahi kusikia mtu kashitakiwa kwa kutongoza, hii kwangu ni ya kwanza (Bali wengi hushitakiwa kwa kubaka)

Mnadhani huyu RC wa zamani anazo akili timamu?
 
Una hakika kama kwenye safu ya viongozi wa CCM kuna mwenye akili Timamu hata mmoja?
 
Mwenendo na kauli pamoja na vitendo vya Aliyekuwa RC wa Tabora, ndugu Paulo Chacha, havionyeshi kama mtu huyo anazo akili timamu

Amefanya madudu mengi mno, lakini hill la kumshitaki Msichana kwa madai ya kumtongoza ni uthibitisho wa mashaka yetu, huyo hawezi kuwa mzima, bila shaka ni mwehu

Sijawahi kusikia mtu kashitakiwa kwa kutongoza, hii kwangu ni ya kwanza (Bali wengi hushitakiwa kwa kubaka)

Mnadhani huyu RC wa zamani anazo akili timamu?
Huyo Mmura Paulo Chacha ana mtindio wa UBONGO perce! Co bure. Kama unataka kujua fuatilia speech zake. Something very terrible in his Medulla Oblongata. Mirembe Mental Hospital inamhusu!!!
 
Mwenendo na kauli pamoja na vitendo vya Aliyekuwa RC wa Tabora, ndugu Paulo Chacha, havionyeshi kama mtu huyo anazo akili timamu

Amefanya madudu mengi mno, lakini hill la kumshitaki Msichana kwa madai ya kumtongoza ni uthibitisho wa mashaka yetu, huyo hawezi kuwa mzima, bila shaka ni mwehu

Sijawahi kusikia mtu kashitakiwa kwa kutongoza, hii kwangu ni ya kwanza (Bali wengi hushitakiwa kwa kubaka)

Mnadhani huyu RC wa zamani anazo akili timamu?
Ni mwehu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom