Tazama flyovers za São Paulo zilivyo

Brazil umeenda mbali sana Kiongozi.
Nenda hapo Ghana tu, manake unaweza kuona aibu watu wanavyomuimba Shujaa na kuaminishana wenyewe kwa wenyewe eti ndie kiongozi bora Afrika!

Kule Jukwaa la Kenya, huwa tunaamua tu kujitoa ufahamu kuitetea nchi yetu lakini ukiona kinachofanyika Kenya, unaweza kujiuliza hivi hii Misukule ya Jiwe ina akili sawasawa kweli hii!

Hii SGR ambayo Legacy Protector inataka tumuimbe na kumtukuza Magu, kule Kenya imeanza kufanya kazi 5 years ago, na kama wangeona ipo commercially viable, hivi sasa ingekuwa imeshafika Uganda tayari!

Hapo bado sijaitaja Ethiopia ambayo imejenga bwawa kubwa kabisa la umeme, huku wakiwa nareli na ya kisasa!! Rudi Ivory Coast... yaani ndipo unaweza kujiuliza hivi MATAGA kinachowasukuma hasa ni kipi!
Ngazi kwa ngazi...
 
Acha ushamba kila mtu anajenga kwa kuzingatia uwezo na mahitaji. Siku mahitaji na uwezo wetu vikiruhusu tutajenga km hio, ila ni ujuha wa kiwango cha mwendokasi kulinganisha flyover ya inchi yenye GDP ya 1.84Tirion usd Vs 63.18Billion usd. Sijui hua mnawaza nn kulinganisha haya mambo.
Achana na hao nyumbu pingapinga Fc. Wakitaka kupinga hawatumii akili, kila siku kukejeli tuu

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Brazil umeenda mbali sana Kiongozi.
Nenda hapo Ghana tu, manake unaweza kuona aibu watu wanavyomuimba Shujaa na kuaminishana wenyewe kwa wenyewe eti ndie kiongozi bora Afrika!

Kule Jukwaa la Kenya, huwa tunaamua tu kujitoa ufahamu kuitetea nchi yetu lakini ukiona kinachofanyika Kenya, unaweza kujiuliza hivi hii Misukule ya Jiwe ina akili sawasawa kweli hii!

Hii SGR ambayo Legacy Protector inataka tumuimbe na kumtukuza Magu, kule Kenya imeanza kufanya kazi 5 years ago, na kama wangeona ipo commercially viable, hivi sasa ingekuwa imeshafika Uganda tayari!

Hapo bado sijaitaja Ethiopia ambayo imejenga bwawa kubwa kabisa la umeme, huku wakiwa nareli na ya kisasa!! Rudi Ivory Coast... yaani ndipo unaweza kujiuliza hivi MATAGA kinachowasukuma hasa ni kipi!

Kwani nyumbu kinachowasukuma hasa ni kipi!

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Eheee Mkuu 'Creativity Code', vuta tu subira mkuu wangu, nasi ndiko huko tunakoelekea, tena zetu zitavutia sana.

Achana na hizo za akina Mfugale na Kijazi, zitakuja tu za nguvu zaidi ya hizo , na hata 'tunnels' za kutufikisha visiwani, usitie shaka.

Tukishirikiana na jirani zetu pale DRC, tutavuka kwa madaraja ziwa Tanganyika!
Huyu mtu kwa hiki alichoandika hapa, kinatoa picha yake halisi namna yeye alivyo, namna maisha yake yalivyo kwa sasa, na namna maisha yaliyo mbele yake yatakavyokuwa siku zake zote za uwepo wake hapa duniani
 
Mkuu ww ndio Thabit makanyaga au?
 
Brazil na Tanzania nchi 2 tofauti.

Usilinganishe kila kitu.

Baba yako sio shujaa kisa hana hela kama Bill Gate?

Shuleni hua mnafundishwa mantiki ama kufikiri kweli?
Brazil kuna matajiri sana na kuna wamaskini balaa
Kuna maeneo yako kama uswazi au zaidi ya uswazi,slams za kufa mtu

Ova
 
Aiseee!

Mimi sikuwa shabiki wa huyo anayetafutiwa "legacy"; lakini nashangaa sana kukusoma hapa!
Mbona unajishtukia?! Kuna mahali nimekuambia wewe ni shabiki wa Legacy?
Naona kama humlalamikii huyo mwenye 'legacy'; ila ni nchi yako hii kwa ujumla wake ndio hawakidhi matazamio yako.

Sikutaka kuku'quote hapa, ili nisionekane kama ninakufuatilia kila sehemu, lakini nimeshindwa kujizuia; hasa ukichukulia huu "UZALENDO" FEKI unaotusumbua wengine.

Nikisoma tu uliyoandika hapo juu ya hizo nchi, hasa hao majirani zetu, ninakushangaa sana kama siyo kukuhurumia kwa upotofu wa mawazo kiasi hicho.
Look at you!! How come hapo juu umeanza kuji-defend sio shabiki wa anayetafutiwa legacy halafu hapa unageuza suala la anayetafutiwa legacy kuwa ni suala la nchi?

Ukisikia Uzalendo Fake wenyewe ndo huo sasa, manake Wazalendo Fake wanashindwa kutofautisha kati ya nchi/taifa na rais/serikali na kwahiyo akisemangwa rais au serikali wanaamini inasemwangwa nchi/taifa!!

Wazalendo Fake hawajui kwamba hata Rais anaweza kuwa ndie Mhujumu Mkuu wa Taifa!!

Wazalendo Fake hawajui Serikali inaweza kujaa Genge la Wahujumu wa Taifa!!!
Tunafanya vizuri, hasa kwenye hiyo miradi ya umeme na SGR.
Kuna mahali nimesema hatufanyi vizuri?
Wewe utakuwa na mengine yanayokusumbua.
Endelea kuwa na fikra mfu coz' it seems that's what you do best
 
Acha ushamba kila mtu anajenga kwa kuzingatia uwezo na mahitaji. Siku mahitaji na uwezo wetu vikiruhusu tutajenga km hio, ila ni ujuha wa kiwango cha mwendokasi kulinganisha flyover ya inchi yenye GDP ya 1.84Tirion usd Vs 63.18Billion usd. Sijui hua mnawaza nn kulinganis
Ungejaribu kumuelewa tu mtoa mada, alikuwa anajaribu kufikiria jinsi ambavyo anaona tofauti na hali halisi, yaani watu wanavyomuabudu mtu kwa kufanya vitu vidogo vidogo, (hata kama ni vikubwa kwenu) lakini ukiangalia wenzetu walivyofanya wanaweza kushangaa wakiona sisis tunamuabudu mtu, hii ni kuthibitisha kwamba bado tuko gizani, hapo ndipo mnasababisha tuitwe bara la giza, ni kwasababu ya kutolea macho vitu vidogovidogo, kwa mfano kwenda kushangilia ndege ya mapanga boi (bomberdier) ilipokuwa inatua kwa mara ya kwanza hapa uwanja wa ndege, Timu ya mpira wa miguu ya Arsenal inamiliki ndege kubwa (jet) kuliko hiyo, sasa watoto wadogo pale mjini london wanaweza wasielewe watakapoona watu wazima hapa bongo wanakwenda airport kushangilia ndege ya mapanga boi, (na rais anahimiza, polisi msiwazuie hao wananchi, waacheni waingie waje waone ndege yao)
 
Acha ushamba kila mtu anajenga kwa kuzingatia uwezo na mahitaji. Siku mahitaji na uwezo wetu vikiruhusu tutajenga km hio, ila ni ujuha wa kiwango cha mwendokasi kulinganisha flyover ya inchi yenye GDP ya 1.84Tirion usd Vs 63.18Billion usd. Sijui hua mnawaza nn kulinganisha haya mambo.
Sikuelewi,mwendazake alisema Tanzania ni nchi tajiri.
 
Yaani ww akili yako ni sawa na baba na mama yako nyumban wamekupikia ugali na mlenda pekee wamekupa ule ila unaweza usiwashukuru kwakuwa tu kwa jirani yenu wamepika na kula wali kuku,nyama nakila kitu.

Au baba yako amekupeleka ukasome st kayumba na anakuhudumia kwa kila kwa mahitaji ya st kayumba na usimshukuru kisa rafki yako anasomeshwa international school.

Hata hao unaobandika picha zao unaowasifia walianzia na daraja moja tu baadae wakawa wanapiga hatua kwa hatua mpaka walipofikia.... Mshukuru hata aliyetoa wazo la kujenga hayo madaraja maana amewafumbua macho kama sio kuwapa mwanga wa kuendeleza alipoishia yeye na kuendeleza zaidi na zaidi.

Tatzo huko kusoma mlikotumwa mmeenda kukariri mambo
Tatizo lipo kwa wazazi ,sababu wanakulisha ugali na mlenda ilhali wamenunua sawa kabisa na bei ya wali kuku

Wenzetu wanajenga projects nzuri kwa bei karibu sawa na sisi, barabara kama ya kimara kibaha ukiacha gharama za bomoa bomoa ni moja ya project ghali ,lakini kabla haijaisha tayari inaonesha udhaifu wake, kuwa soon itahitaji matuta na taa za kuongozea magari, na pale mbezi trust me patahitaji kuvunjwa ili wajenge njia ya juu kutoka maramba kwenda goba

Watu wanaamini kula ugali ndo kusave pesa , ilhali bei ya kilo ya unga haitofautiani na kilo ya mchele
 
Tatzo umejibu kirahisi sana pasipo kushirikisha uwezo mkubwa wa kufikiria.
 
Nashangaa mnaokuja kumlaumu mleta mada au hata kufikia hatua ya kubeza kilichofanyika na kuendelea kutekelezwa. Sio sawa, "Tulichelewa sana", hivyo tujivunie kilichopo na kutegemea makubwa kama ya wenzetu huko mbeleni kwenye vizazi vyetu. Ni hatua nzuri sana imepigwa!, usipojivunia chako u 'Taahira' wa mawazo!.
 
Back
Top Bottom