KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,186
"Ninajistukia" vipi, hilo andiko lako uliponi'quote' hukutumia maneno hayo, ulikuwa unamlenga nani?Mbona unajishtukia?! Kuna mahali nimekuambia wewe ni shabiki wa Legacy?
Look at you!! How come hapo juu umeanza kuji-defend sio shabiki wa anayetafutiwa legacy halafu hapa unageuza suala la anayetafutiwa legacy kuwa ni suala la nchi?
Ukisikia Uzalendo Fake wenyewe ndo huo sasa, manake Wazalendo Fake wanashindwa kutofautisha kati ya nchi/taifa na rais/serikali na kwahiyo akisemangwa rais au serikali wanaamini inasemwangwa nchi/taifa!!
Wazalendo Fake hawajui kwamba hata Rais anaweza kuwa ndie Mhujumu Mkuu wa Taifa!!
Wazalendo Fake hawajui Serikali inaweza kujaa Genge la Wahujumu wa Taifa!!!
Kuna mahali nimesema hatufanyi vizuri?
Endelea kuwa na fikra mfu coz' it seems that's what you do best
Ngoja nikwambie kitu kama unaakili utaelewa. Tafuta maandiko yangu humu, na yamo mengi sana kuhusu msimamo wangu juu ya huyo unayetaka kunilazimisha niwe shabiki wake hapa.
Sina sababu hata moja ya kujitetea juu ya msimamo wangu huo hapa, na hasa kwa mtu kama wewe ambaye umejipambanua wazi kabisa hapa wewe ni 'mecenary' tu aliyetayari kujiuza na kuuza kila kitu hata utu wako na nchi yake. Tapeli asiyekuwa na chembe ya soni!
Sasa kama akili yako inakuelekeza kuona kwamba kama kuna jambo zuri alilofanya Magufuli nisilikubali kwa sababu tu sikumuunga mkono kwa mambo mengine, eti kwa kuogopa nisionekane kuwa "mlinda 'legacy"' wake kwako, basi jifurahishe kwa hilo. Yapo mambo kadhaa aliyoyasimamia ninayoyakubali, na bila shaka wewe yalikutia wazimu kabisa.
Hainitishi chochote wala kuumiza mawazo kuitwa "mzalendo fake" na mtu kama wewe wakala wa majizi yanayozonga nchi yetu.
Kuhusu uwezo wangu wa kutofautisha kati ya maslahi ya nchi na kiongozi siwezi kamwe kujifunza chochote juu ya hilo toka kwako.
Wewe unazungumzia "fikra mfu", mimi hizo sizijui, kwa hiyo zinakuhusu mwenyewe.