Tatizo siyo Kushinda Dar es Salaam ila je, tuna timu na Mikakati ya kushinda Cairo na Johannesburg?

Ukishabikia sana Simba na Yanga kichwani zinapungua Lazima.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Wewe Unaonaje?

Upo Na Ndumbaro Nini? Sasa Umekuja Kupima Upepo
 
Kati ya Simba au Yanga Moja wapo lazima ifanye maajabu kwenda Nusu finali....mtaniambia.

Yanga wasipo chekacheka wakawa serious kama mechi ya juzi na waarabu Masandawane wanasandaa uhakika.Simba anauwezo wa kuwatoa miambaa Alahly maana hawana ubora huo wa kuogopwa kama misimu iliyopita.

Tatizo la wachezaji wetu kunanyakati hucheza Bora nimo uwanjani pasipo kujua wakiiwaumiza Timu kubwa kama hizi dhamani zao zitapanda mnoo,fikiria Yanga aende nusu then fainali...Dunia nzima itamulika wachezaji Hawa.

Wito wajitume kwa nguvu zao zote maana ni fursa Yao kimaisha,pia ndio kazi walochagua. Nawatakia ushindi Yanga na Simba na wakiwatoa Hawa kombe mmja anachukua.
 
Nadhani jambo la kwanza kwa timu zote za Kariakoo ni kujua namna gani zitafanikiwa kupata matokeo hapa nyumbani. Huko kwao itajulikana baadae muhimu ni hapa nyumbani kwanza tunafanikiwaje hasa tukizingatia ubora wa hizi timu ngeni
 
Hakuna Timu ambazo Naziogopa hasa zikifika katika hatua ya Robo Fainali kama za Al Ahly na Mamelodi Sundowns FC.

Ninadhani tumeelewana vyema tu.
Wewe ndio umeongea, issues sio kushinda issue ni kuwatoa hawa majamaa.Kila nikifanya uchambuzi wa Yanga kwa Mamelod na kuwa mpole,maana mpira ni mchezo wa wazi.
 
Back
Top Bottom