#COVID19 Tatizo sio chanjo ya COVID19! Tatizo chanjo imekuja kipindi cha utandawazi kila mtu ana smartphone kila mtu mjuaji

Status
Not open for further replies.
Nadharia za WASABATO MASALIA!!!
kwanza hizi chanjo za covid 19 ki utaratibu wa majaribio ya chanjo , wangesema waufuate hata huu mwaka, ungeisha bila kuanza kuitumia kwa mwanadamu. Lakini kuna taratibu nyingine zimerukwa kutokana na uharaka wake ili itumike.

Lakini sio kama inavyochukuliwa wakati wa chanjo ya ebola huko DRC, ilipoanza kutumika watu kama nyie walikuwa wengi. Kuna siku moja gari la madaktari wasio na mipaka lilikuwa limebeba chanjo hizo, likavamiwa na kuchomwa moto, eti wazungu wanewaletea chanjo za kuwaua!!leo hii unaisikia tena ebola kongo? Kwani si tuna wasomi chungu mzima Africa, kwanini hao wanasiasa, wasiwape pesa za kufanya tafiti hizo?japo najua uwezo huo hatuna, wakifedha na kitaalamu.
You remind me of one important ideology. Some years back, there used to be TANGANYIKA SABATO, where didi they vanish to?
 
You remind me of one important ideology. Some years back, there used to be TANGANYIKA SABATO, where didi they vanish to?
Hahahaaaa!!wale hata sijui waliishia wapi!!imani hizi, mtu anataka kwenda ulaya hana hata hati ya kusafiria , anadai mbona yesu alikuwa anasafiri na biblia tu!!
 
Hahahaaaa!!wale hata sijui waliishia wapi!!imani hizi, mtu anataka kwenda ulaya hana hata hati ya kusafiria , anadai mbona yesu alikuwa anasafiri na biblia tu!!
Hivi wlikaa Airport kwa muda gani vile, kama wiki hivi au mwezi! Hizi imani kazi sana. Na hii inaathibitsha pasipo shaka kabisa kuwa Mungu ni mtamu mno, na kila mtu analazimika kumtafuta kwa njia zake.

Issue ya njia gani mtu anaitumia kumtafuta Mungu, yaani whether njia anayoitumia ni sahihi ama la, hilo sasa nalo linakuwa ni swala jingine tena!
 
Nadhani walikaa kama wiki tatu hivi, kabla serikali kuamua kuwatimua!!ni sawa lakini kuna imani nyingine zinavuka mipaka!!mfano mashahidi wa jehova, wao kuongezewa damu ni mwiko kabisa, ilizuka huko manyara, watoto wao walikufa sana, serikali naona iliingilia kati, kwa kuwafungulia mashitaka wazazi, hadi leo sijasikia tena!!afrika bwana
 
Uko sawa kabisa ndugu yangu. Mimi nilichokuw najaribu kusema hapa ni kwamba angalau kila nafsi iliyo hai, ina-appreciate uwepo wa Mungu kwa kiwango cha juu sana. Swala sasa la namna ya kumtafuta Mungu huyo kiusahihi ndiyo inabaki kuwa kazi kubwa sana na inapofikia hapa, inapotokea mtu tuseme amekosea, unamlaumu mtu huyo kwa njia aliyotumia kumtafuta Mungu, na huwezi ukamlaumu kwa kumwambia "kwa nini alimtafuta Mungu". Unacholaumu ni njia aliyotumia na si uelewa wake juu ya uwepo wa Mungu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom