lakini mbona ni kimbilio la waislamu?..................hivi huamini kuwa uislamu unaruhusu ushirikina....hebu tembelea misikiti yote utakuna nje ya misikiti hasa siku za kumuabudu allah wao kuna waganga wa kienyeji.....hii sio story ni ukweli.........hii ndiyo dini ya allah
Nyongeza:Mtu mwenye dhana mbaya huwa ana maradhi ya wasiwasi na huwaogopa watu... uugua kwa dhana yake mbaya, mwili na roho yake huugua pia. Kisha usababisha aonekane mzee kabla ya wakati wake. Kwa sababu tabia hiyo isiyofaa huathiri vibaya mfumo mkuu wa fahamu na tezi za mwilini, na kusababisha ugonjwa wa utahahira wa kifikra kiasi cha kujenga chuki akilini mwake na kupelekea kujichukia yeye mwenyewe...!
Baadhi ya waislamu hawataki muislamu akosolewe, akikosolewa Dau au Kikwete basi hawachelewi kudai kuwa hawapendwi kwa sababu ni waislamu! Wakati huo wanasahau kuwa wakina EDWARD Lowassa na BENJAMIN Mkapa kila kukicha wanatupiwa madongo bila mtu kusema wanafanyiwa hivyo kwa sababu ni wakristu! Mbaya zaidi ni baadhi yenu hamchelewi kuhukumu ukristu ( hasa ukatoliki) kwa kila pungufu ya JULIUS Nyerere au BENJAMIN Mkapa. Ungesema tatizo si uislamu au kristu ningekuelewa. Lakini si kwa hili.Tanzania haina dini bali wananchi ndio wenye dini,hivyo katiba inawaruhusu wote kuabudu pasipo kuvunja sheria.Uislam uko wazi pia hivyo msiojua tuulizeni tuwafundishe.Uongozi katika Uislam unamaadili yake mfano kiongozi lazima awe mtusafi na akubalike kwa tabia njema na awe mwadilifu katika uongozi wake.Kiongozi awapendelee na kuwahurumia raia wake kwa kuwapa huduma yao inayostahili.Sasa anapopewa Muislam kungoza anatakiwa aongoze kwa kivuli cha Uislam na kwakua kama Tanzania haina dini basi Muislam huyu itabidi kwanza awe mnyenyekevu mbele za Mungu na pia atekekeleze sheria za nchi.Kama mtu anajina na hafuati ule mwelekeo wa Uislam kwa kutenda haki basi yuko mbali na Uislam pamoja na Mungu,kwa maana anaifuata na kuiabudu nafsi yake na matamanio yake binafsi.Hivyo MAFISADI na WEZI wahukumiwe kwa dhambi zao na usiandamwe Uislam kama wengi wafanyavyo hapa JF.Anayefanya dhambi hizo uislam hauko naye na tayali wamejitenga wenyewe kwa kuukanusha Uislam.Uislam siotatizo bali tatizo ni wao viongozi.Ingelikua ni sheria ya Uislam kwa kubainika kashfa kiongozi anang'atuliwa.Hivyo kama JK ana matatizo msimuhukumu kwa DINI yake bali muhukumuni yeye kama yeye na si UISLAM na Waislam.
Tanzania haina dini bali wananchi ndio wenye dini,hivyo katiba inawaruhusu wote kuabudu pasipo kuvunja sheria.Uislam uko wazi pia hivyo msiojua tuulizeni tuwafundishe.Uongozi katika Uislam unamaadili yake mfano kiongozi lazima awe mtusafi na akubalike kwa tabia njema na awe mwadilifu katika uongozi wake.Kiongozi awapendelee na kuwahurumia raia wake kwa kuwapa huduma yao inayostahili.Sasa anapopewa Muislam kungoza anatakiwa aongoze kwa kivuli cha Uislam na kwakua kama Tanzania haina dini basi Muislam huyu itabidi kwanza awe mnyenyekevu mbele za Mungu na pia atekekeleze sheria za nchi.Kama mtu anajina na hafuati ule mwelekeo wa Uislam kwa kutenda haki basi yuko mbali na Uislam pamoja na Mungu,kwa maana anaifuata na kuiabudu nafsi yake na matamanio yake binafsi.Hivyo MAFISADI na WEZI wahukumiwe kwa dhambi zao na usiandamwe Uislam kama wengi wafanyavyo hapa JF.Anayefanya dhambi hizo uislam hauko naye na tayali wamejitenga wenyewe kwa kuukanusha Uislam.Uislam siotatizo bali tatizo ni wao viongozi.Ingelikua ni sheria ya Uislam kwa kubainika kashfa kiongozi anang'atuliwa.Hivyo kama JK ana matatizo msimuhukumu kwa DINI yake bali muhukumuni yeye kama yeye na si UISLAM na Waislam.
religious leaders should be capable of realizing the manipulation of politicians. Tumeona hata jana, kwenye kuwaombea marehemu waliopigwa risasi hapa arusha na "polisi" kiongozi wa waislamu alijizuia kutoa maneno yoyote ya kukemea kilichotokea ili asiwaudhi viongozi wa nchi huu ni uoga na sidhani kama uislaumu unaruhusu uoga wa namna hii !!!!
Mwanamageuko said:inasemekana..... Tusimame katika ukweli mara zote. Udini Tanzania umeingia toka mwaka 1965 na ukathibitishwa rasmi miaka michache iliyofuatia. Wote wanaofahamu na wanaofuatilia siasa za tanzania wanaujua ukweli. Wala haukutokana na Mihadhara wala hizo kashfa unazozisema. Kwani maana ya kashfa ni nini? Ikiwa kupingana ndio kashfa basi jua ya kwamba walipowakisimama wahadhiri wa kikristo kwenye majukwaa (Padre Nkwera na wengineo - hiyo ni kabla ya 1986 unayoisema) na kuutaja UTATU, hiyo ni kashfa kubwa kwa UISLAMU, Je huo tuuite ulikuwa uchochezi wa kashfa za kidini. Mambo ya Mihadhara yanafanyika kote duniani na mwisho wa siku watu wanarudi kwenye masuala ya msingi. Nimepata kutoa mifano hapa na kufasiri maana ya NENO KAFIIR neno hili asili yake ni Kiarabu kwa kiswahili likiwa na MAANA "MPINGAJI" hivyo basi mathalan hata kisiasa, KAFIRI WA CHADEMA NI CCM na kinyume chake. Ukinijia ukaniambia Masiha ni Mungu au Mwana wa Mungu je ikiwa Imani yangu i kinyume na hivyo uone HUJANIKASHIFU!? ikiwa ndio maana ya Kashfa!!! Hivyo basi nami nikikwambia Imani yangu iko kinyume nawe IWEJE hapo iwe NIMEKUKASHIFU? Mihadhara ni hiyari ya mtu kwenda ama kusikiliza. Je tuseme TV ya AGAPE inawakashifu Waislamu? au Redio za Kiislamu zinawatusi WAKRISTO? Na laiti ikiwa hivyo ndivyo basi GAZETI LA AMKENI linaongoza kwa KUUKASHIFU Ukristo ikiwa kinyume na imani ya mmojawapo ni kashfa kwa mwingine!! haya hayakuanza leo ya kashfa za kidini kama ikiwa ndio maana halisi ya kashfa. Walikua wageni wakaziita DINI ZA KISHENZI, IMANI ZA KISHENZI kwa babu zetu, Nadhani huenda hizi zilikuwa sifa njema kwa baadhi ya watu!! HAZIKUWA KASHFA!!! Tunapojadili tusitazame tumeangukia wapi twende mbali zaidi ya hapo.
TUSIPENDE MAJIBU RAHISI KWENYE MASWALI MAGUMU.
UDINI NCHI HII UNASABABISHWA NA UBINAFSI, CHOYO, WANASIASA KUWATUMIA VIONGOZI WA DINI ZAO, WAUMINI WENZAO KWA MASLAHI YAO, SIASA MBOVU NA VIONGOZI KUTOWAJIBIKA IPASAVYO.
Rafiki yangu Jokakuu,Mwanamageuko,
..hakuna tatizo kama kila mhusika atajiepusha na kuchukua vitabu vitakatifu vya dini ya mwenzake na kuanza kuvikosoa na kuvidhihaki.
..kama Nkwera anataka kuzungumzia utatu mtakatifu ni vema akatumia Biblia, akienda kukamata Msahafu wa Waislamu basi atakuwa amefanya makosa makubwa.
..namheshimu sana Marehemu Sheikh Mkuu Hemed Bin Jumaa Bin Hemed ambaye ktk mawaidha yake sikupata kumsikia akitumia kitabu tofauti na Koran tukufu.
..YES, HILI NI SWALI GUMU LAKINI JIBU LAKE NI RAHISI.
NB:
..hiyo mihadhara unayoitetea mbona hatusikii hata siku moja wamekwenda kuchukua vitabu vya Mabaniani, au Mabohora, badala yake wana-target Biblia na Koran.
Tanzania haina dini bali wananchi ndio wenye dini,hivyo katiba inawaruhusu wote kuabudu pasipo kuvunja sheria.Uislam uko wazi pia hivyo msiojua tuulizeni tuwafundishe.Uongozi katika Uislam unamaadili yake mfano kiongozi lazima awe mtusafi na akubalike kwa tabia njema na awe mwadilifu katika uongozi wake.Kiongozi awapendelee na kuwahurumia raia wake kwa kuwapa huduma yao inayostahili.Sasa anapopewa Muislam kungoza anatakiwa aongoze kwa kivuli cha Uislam na kwakua kama Tanzania haina dini basi Muislam huyu itabidi kwanza awe mnyenyekevu mbele za Mungu na pia atekekeleze sheria za nchi.Kama mtu anajina na hafuati ule mwelekeo wa Uislam kwa kutenda haki basi yuko mbali na Uislam pamoja na Mungu,kwa maana anaifuata na kuiabudu nafsi yake na matamanio yake binafsi.Hivyo MAFISADI na WEZI wahukumiwe kwa dhambi zao na usiandamwe Uislam kama wengi wafanyavyo hapa JF.Anayefanya dhambi hizo uislam hauko naye na tayali wamejitenga wenyewe kwa kuukanusha Uislam.Uislam siotatizo bali tatizo ni wao viongozi.Ingelikua ni sheria ya Uislam kwa kubainika kashfa kiongozi anang'atuliwa.Hivyo kama JK ana matatizo msimuhukumu kwa DINI yake bali muhukumuni yeye kama yeye na si UISLAM na Waislam.
Mwanamageuko said:Rafiki yangu Jokakuu,
Ikiwa hivyo ndivyo... basi itabidi na aya zingine ndani ya Quran ziondolewe kwa maana zinafanana na za kwenye Biblia!! Na ikiwa siku Sheikh anasoma aya hiyo nawe unapita Utajisikiaje? Hayo ya Mihadhara wala hayapaswi kuumiza kichwa kwani yalianza dahari ya miaka nchi hii, ila sema yameonekana kuwa wazi miaka hiyo uliyotaja lakini kwa nchi zote zinazotuzunguuka yapo miaka mingi. Mf. alikuwepo Mar. Ahmed Dedaat S.A. na akifanya mihadhara na Wataalamu wa Kikristo kwenye TV hapakuwa na ugomvi baina yao. Kushindanisha vitabu ni sayansi na hoja zinakubalika. Nimekupa mfano wa watu wa Jumba. Jehovah Witness mbona maandiko yao ukiyafuatilia ni kashfa tupu na huwasemi? Wameanza kuandika miaka ya sitini vijarida pinzani dhidi ya baadhi ya aya za biblia na maandiko mengine lakini hakuna shida. Ni vema sana mtu akiniambia tobo liliko kwenye kaptura yangu nikajistiri kuliko kukaa kimya nikaaibika. Binafsi tumelelewa nyumba moja na familia za kikristo na haya ya mihadhara yalikuwapo na hayakutugombanisha na mpaka leo tunajuana kama ndugu na tunatembeleana na hayakutuharibia heshima wala upendo. Ila ni wajinga wanaoyageuza kuwa chuki. Na chunguza sana utaujua mwanzo wake (nakupa home-work hiyo) Ukiona ni ngumu sana nitakukumbusha (waliotoka kwenye Ukristo kuja kwenye Uislamu - ndio chanzo)
Pia kuna jingine.. Biblia zilipelekwa kwenye Lodge na Guest houses, na kuwekwa kila chumba. hii pia iliwapa watu hamu ya kuisoma na kupata maarifa mengine. Waliyoyaona huko pia ilisababisha hayo. (maana ilikuwa kuwalazimisha kuzisoma - sasa lazima majibu yapatikane pia mtihani ukija!)
Nataraji tu pamoja mpaka hapo.
N.B:
Majawabu kwa vitabu vya dini zingine
fuatilia: PeaceTV Official Website
Rafiki yangu Jokakuu,

Mwanamageuko,
..naelewa kwamba zipo aya fulani fulani za Kuran tukufu ambazo zinafanana fanana na maandiko ya kwenye Biblia.
..pamoja na hayo sioni sababu ya mtu kama Nkwera kutumia Kuran tukufu ku-prove his Christian point of view.
..pia sioni ulazima wa Digabula kutumia maandiko ya Biblia ku-prove his Muslim point of view.
..waumini wa kawaida hawana uelewa na uvumilivu wa kutokugeuza mihadhara ya kidini kuwa uhasama na uadui ndani ya jamii.
..masuala ya vitabu vitakatifu ni ya KIIMANI, usitarajie kwamba mjadala wake unaweza kuwa sawa na mjadala wa Science.
NB:
..ningekuwa na uwezo ningewakamata wahubiri wote wa mihadhara na kuwatupa gezaulole wakalime miraba.
Tanzania haina dini bali wananchi ndio wenye dini,hivyo katiba inawaruhusu wote kuabudu pasipo kuvunja sheria.Uislam uko wazi pia hivyo msiojua tuulizeni tuwafundishe.Uongozi katika Uislam unamaadili yake mfano kiongozi lazima awe mtusafi na akubalike kwa tabia njema na awe mwadilifu katika uongozi wake.Kiongozi awapendelee na kuwahurumia raia wake kwa kuwapa huduma yao inayostahili.Sasa anapopewa Muislam kungoza anatakiwa aongoze kwa kivuli cha Uislam na kwakua kama Tanzania haina dini basi Muislam huyu itabidi kwanza awe mnyenyekevu mbele za Mungu na pia atekekeleze sheria za nchi.Kama mtu anajina na hafuati ule mwelekeo wa Uislam kwa kutenda haki basi yuko mbali na Uislam pamoja na Mungu,kwa maana anaifuata na kuiabudu nafsi yake na matamanio yake binafsi.Hivyo MAFISADI na WEZI wahukumiwe kwa dhambi zao na usiandamwe Uislam kama wengi wafanyavyo hapa JF.Anayefanya dhambi hizo uislam hauko naye na tayali wamejitenga wenyewe kwa kuukanusha Uislam.Uislam siotatizo bali tatizo ni wao viongozi.Ingelikua ni sheria ya Uislam kwa kubainika kashfa kiongozi anang'atuliwa.Hivyo kama JK ana matatizo msimuhukumu kwa DINI yake bali muhukumuni yeye kama yeye na si UISLAM na Waislam.
Tanzania haina dini bali wananchi ndio wenye dini,hivyo katiba inawaruhusu wote kuabudu pasipo kuvunja sheria.Uislam uko wazi pia hivyo msiojua tuulizeni tuwafundishe.Uongozi katika Uislam unamaadili yake mfano kiongozi lazima awe mtusafi na akubalike kwa tabia njema na awe mwadilifu katika uongozi wake.Kiongozi awapendelee na kuwahurumia raia wake kwa kuwapa huduma yao inayostahili.Sasa anapopewa Muislam kungoza anatakiwa aongoze kwa kivuli cha Uislam na kwakua kama Tanzania haina dini basi Muislam huyu itabidi kwanza awe mnyenyekevu mbele za Mungu na pia atekekeleze sheria za nchi.Kama mtu anajina na hafuati ule mwelekeo wa Uislam kwa kutenda haki basi yuko mbali na Uislam pamoja na Mungu,kwa maana anaifuata na kuiabudu nafsi yake na matamanio yake binafsi.Hivyo MAFISADI na WEZI wahukumiwe kwa dhambi zao na usiandamwe Uislam kama wengi wafanyavyo hapa JF.Anayefanya dhambi hizo uislam hauko naye na tayali wamejitenga wenyewe kwa kuukanusha Uislam.Uislam siotatizo bali tatizo ni wao viongozi.Ingelikua ni sheria ya Uislam kwa kubainika kashfa kiongozi anang'atuliwa.Hivyo kama JK ana matatizo msimuhukumu kwa DINI yake bali muhukumuni yeye kama yeye na si UISLAM na Waislam.
Post nzuri.
sasa inakuwaje watu walipomkataa kwenye sanduku la kura, kwa sababu ya uovu wake (wizi wa mali ya umma na kuwalinda wezi) yeye pamoja na wapambe wake (wengine humu JF); walikimbilia kuanzisha ajenda ya udini kwamba watu hawamtaki kwa sababu ni mwisilamu?