Tatizo si uislam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo si uislam

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CITYBOY, Jan 13, 2011.

 1. C

  CITYBOY Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzania haina dini bali wananchi ndio wenye dini,hivyo katiba inawaruhusu wote kuabudu pasipo kuvunja sheria.Uislam uko wazi pia hivyo msiojua tuulizeni tuwafundishe.Uongozi katika Uislam unamaadili yake mfano kiongozi lazima awe mtusafi na akubalike kwa tabia njema na awe mwadilifu katika uongozi wake.Kiongozi awapendelee na kuwahurumia raia wake kwa kuwapa huduma yao inayostahili.Sasa anapopewa Muislam kungoza anatakiwa aongoze kwa kivuli cha Uislam na kwakua kama Tanzania haina dini basi Muislam huyu itabidi kwanza awe mnyenyekevu mbele za Mungu na pia atekekeleze sheria za nchi.Kama mtu anajina na hafuati ule mwelekeo wa Uislam kwa kutenda haki basi yuko mbali na Uislam pamoja na Mungu,kwa maana anaifuata na kuiabudu nafsi yake na matamanio yake binafsi.Hivyo MAFISADI na WEZI wahukumiwe kwa dhambi zao na usiandamwe Uislam kama wengi wafanyavyo hapa JF.Anayefanya dhambi hizo uislam hauko naye na tayali wamejitenga wenyewe kwa kuukanusha Uislam.Uislam siotatizo bali tatizo ni wao viongozi.Ingelikua ni sheria ya Uislam kwa kubainika kashfa kiongozi anang'atuliwa.Hivyo kama JK ana matatizo msimuhukumu kwa DINI yake bali muhukumuni yeye kama yeye na si UISLAM na Waislam.
   
 2. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  I like ur comments, clarification and explanation u have put me in gud position to distinguish that agenda
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkuu nzuri sana waambie kuna VILAZA flani hawayajui haya.
   
 4. e

  emalau JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2011
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,177
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 180
  Religious leaders should be capable of realizing the manipulation of politicians. Tumeona hata jana, kwenye kuwaombea marehemu waliopigwa risasi hapa Arusha na "polisi" kiongozi wa waislamu alijizuia kutoa maneno yoyote ya kukemea kilichotokea ili asiwaudhi viongozi wa nchi huu ni uoga na sidhani kama uislaumu unaruhusu uoga wa namna hii !!!!
   
 5. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  This is a very constructive post to all, I truly love it and stay blessed.
  Ni maelezo mazuri sana @ this age ya taifa letu.
   
 6. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #6
  Jan 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  "Kumtupia mtu lawama ni kutoa fikra, hisia na uchungu wako moyoni na kumsingizia mwingine. Hii ni aina moja ya radiamali ya kuficha makosa na kujitetea ili kujitoa katika mashaka na fadhaa. Tabia hii hufanywa na mtu bila kutambua kwamba ni aina moja ya usingiziaji. Tabia hiyo ya kuwatupia lawama wengine inapozidi, hupoteza afya yake na huugua wazimu. Tabia hii ni matokeo ya mtu anapohisi amefanya kosa fulani, hivyo, huwasingizia wengine kosa hilo ili kujitetea mwenyewe."
   
 7. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Well said.
   
 8. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Kwa nini basi viongozi wa dini ya Kiisilamu hawamsaidii. Wanamwogopa siyo? Ana nini cha kutisha? Msaidieni kwa kumdadavulia kilichopo kwenye kitabu. Ananikera sana mimi.
   
 9. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mlangaja Uislamu ni mafundisho ambayo mwanaadamu hufunzwa ili akubaliane nayo au la. sasa akiamua kuyafuata ni hiari yake kwani Tabia ndio zinazomfanya mtu akubaliane na anachofundisha au akikatae. Na hilo ni gumu sana kwani tabia zetu tunazijua wenyewe.
   
 10. M

  Mkwele JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umewafungua macho walio wengi kwa thread yako, lkn hawa jana wa3 sijui wa4 hawamuogopi Mungu? Hapa kuna Chinga, Mkwere, Muiran na Mmasai pamoja wanasheria wao wamekwiba pesa mingi lkn hawaridhiki bana. Wamebaki wa3, timu yao ina forward kali sana ktk ufisadi ninaifananisha na ile ya fifa ktk football. Mpaka watuache hawa watu watakuwa wametufunga goli nyingi sana na hatutaweza kaa vizuri mpaka mwisho wa dunia.
   
 11. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,549
  Likes Received: 4,675
  Trophy Points: 280
  Nishasema mara kibao hapa ukumbini kuwa tatizo linalotukabili hapa Bongo ni UFISADI na kukosa viongozi wenye maono, uzalendo na upendo kwa watu wao, lakini kwa makusudi kabisa kuna WAPUMBAVU ambao wanatumiwa na MAFISADI ili kutuondoa kwenye hoja za msingi na mshikakamano wa kuweza kuliondoa kabisa tatizo hili la UFISADI. Angalia inapokuja hoja ya ufisadi katika viongozi wetu basi haraka kuna watu wanaidaka juu juu na kuihusisha na udini.Watu hao wanafahamika hapa jamvini japo kwa ID zao,hawa hawataki kusikia ufisadi wa JK na genge lake na kumficha katika mwamvuli wa udini, huu ni ujuha wa hali ya juu kwani athari za ufisadi zinatukumba watu wa dini zote kwa mfano tatizo la mgao wa umeme na kupanda kwa asilimia karibu ya 20% ya bei ya umeme.Hao mafisadi wanatanua watakavyo na wenyewe wana mshikamano wao kwani wenyewe ni wa dini tofauti na wengine hata dini hawana sasa sisi walalalhoi tunaishia kuparurana kwa misingi ya dini.
   
 12. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2011
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Post nzuri.
  sasa inakuwaje watu walipomkataa kwenye sanduku la kura, kwa sababu ya uovu wake (wizi wa mali ya umma na kuwalinda wezi) yeye pamoja na wapambe wake (wengine humu JF); walikimbilia kuanzisha ajenda ya udini kwamba watu hawamtaki kwa sababu ni mwisilamu?
   
 13. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Umedadavua vizuri, ingawa inaweza kukaribisha maswali kwa kuwa katika jamii yeyote iwayo hizi 'label' zipo. Ni aina ya prejudice lakini imekuwa hivyo kwa miaka.
   
 14. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #14
  Jan 13, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280

  kweli kila mtu na mungu wake............mbona kikwete anamwabudu sheikh yahaya? Inamaana waislamu mna miungu mingi au kikwete ni dhehebu la yahaha?
   
 15. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #15
  Jan 13, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Jile79,

  Tafadhali usichafue hali ya hewa Sheikh yahya ni mshirikina anajua mwenyewe anayoyafanya usifananishe na uislamu. Uislamu una mungu mmoja tu
   
 16. M

  Mkwele JF-Expert Member

  #16
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  Ndani ya chama cha mapinduzi nani ni msafi? Hata angekuwa nani ili mradi anatoka chama hicho tungemkataa. Masalani Dr. Silaa sasa hivi akajiunga sisiem and then agombee URAIS, Uwiiii!!! tumgemtosa vile vile kwa sababu chama kimejaa vibaka mpaka kwenye mashina, matawi n.k., tunataka watu waadilifu ndio watuongoze.
   
 17. babayah67

  babayah67 JF-Expert Member

  #17
  Jan 13, 2011
  Joined: Mar 28, 2008
  Messages: 493
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ni jukumu lake la msingi kusoma na kuelewa UISLAM unasemaje kwa mtu anayekuwa ni kiongozi awafanyie nini anaowaongoza?? Si jukumu la Viongozi wa dini kumsomea na kumwambia,bali atakiwa asome mwenyewe.
   
 18. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #18
  Jan 13, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  lakini mbona ni kimbilio la waislamu?..................hivi huamini kuwa uislamu unaruhusu ushirikina....hebu tembelea misikiti yote utakuna nje ya misikiti hasa siku za kumuabudu allah wao kuna waganga wa kienyeji.....hii sio story ni ukweli.........hii ndiyo dini ya allah
   
 19. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #19
  Jan 13, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ulivyosema wewe ni sahihi lakini utatenganisha vp mambo hayo wakati tayari kuna viongozi wa dini wanamfunika na udini, kwa maana ya watu wanamwandama kwa sababu ya dini yake na hii inatokana na upeo mdogo wa baadhi ya viongozi wa dini. Mfano fuatilia maneno ya viongozi wa kikristo na waislamu kwa tukio lililotokea arusha.

  Utaona kwamba aliyesababisha zile vurugi ni CCM na Serikali ambayo mkuu wa ni JK, sasa inapoonekana kuna harufu ya udini au inapofanywa vurugu za kidini.
   
 20. Q

  Qadhi JF-Expert Member

  #20
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  The Guy has just been caught in a wrong place at a wrong time~
  The same was a right place at a right time for Nyerere and Mkapa...,and may be Mwinyi.
  The guy just doesn't get it,,..and not easy for him and his team to get it bcoz there are handful number of people who are "ahead of time"(relatively of course)...JK and his team may call it "time machine"..but it's a really time and not relative.

  We Wananchi should also know, recognize and work on this phenomenon,especially the Great Thinkers(JFs)...that they(sirikali people) are behind time...we are ahead of them....but they have their own potentialities in our country....we can't just "delete" and even "clear" them from the "recycle bin"...nina mashaka tutaharibu by doing this way.

  Time is numbering,let's be patient,the time will come.

  Stay blessed~

  Qadhi
   
Loading...