Yaani we acha tu mwanfnz wangu.
Mentor anataka kuvuruga out yangu ya jana.
St. Paka Mweusi nina bifu nae tena kubwa sana.
Nikikutana nae,Ama zangu,ama zake.
Akimchukua Vin Diesel mie wala sina tatizo.....ila nitts hapana
Naomba hiyo tenda ya ukungwi tafadhali. Usisahau nilikusaidia kumrudisha mateka.:rockon:
Kwa hiyo hapa tumesema na kujua nini?
kwamba Asprin kwa Kongosho ni kidumu, The Boss ndo mwenye control? Hili kuubwa sana
nitonye ako bwaksi mbaya, wala hajui kama sweetlady anataka warudiane. visima vya kale havifukiwi mjomba Madame B kasahau mazima anayeombwa msamaha ni nani.....bwaksi! King'asti naye kama dada yangu anajinasibu kutaka hongo ili amsaidie SL....aisee nimeamini damu haipotei!
Erickb52 nahisi ana maslahi hapa hajayatangaza bora Ndahani keshasema atafanya kama yule fisi wa kata ya Kwa Dello.
MORNING HIVI LEO NI JUMANGAPI?
Vin Diesel mvivu....huwa akigusa tu hata dk haiishi keshapitiwa na usingizi wakati mwenzake sweetlady ndio keshapandisha stim sasa nimekuwa nikimsaidia mara kwa mara na mimi nimechoka ndio akaona ni bora aende kwa nitonye mlevi anayejitahidi walau kuliko huyo Benz
Am happy na huo mkokoteni so isiwape tabu jamani!
hilo zigo lako labda ukalitupie baharini mpenzi wangu,
Mh hapa naona kama kuna hatari ya ngumi kuzuka....ngoja nikae kando nile raha mtoto wa chuga!
nitonye msamehe sweetlady, amechoshwa na heartbreaker Vin Diesel. X shemeji itabidi unisamehe bure..... Hapa nipo kikazi zaidi.