BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,163
ukiona hivyo ujue nyumba ndogo ya mumeo inajua kula na kipofu....
Inajua mipaka yake ni ipi....
Inajua mipaka yake ni ipi....
Asipokwambia you live in the ILLUSION of happiness. Bora akwambie ili uweze kuchukua necessary measures to live in REAL happiness again.mara nyingi mtu anaenda huko nyumba ndogo kwa tamaa tu................ sasa kama bado ana haja na mkewe hawezi kuweka mambo hadharani, lazima adanganye.... mimi anidanganye tu, maana akiniambia ukweli kwamba ana nyumba ndogo nitaumia sana, maana hadi kufikia kuniambia, najua mambo yameshakuwa magumu kwangu
unafikiri unaweza kuwa happy ukijua kuwa mumeo ana nyumba ndogo? mbaya zaidi mwenyewe akikiri kuwa anayo? labda akuambie akiwa ameshaachana nayoAsipokwambia you live in the ILLUSION of happiness. Bora akwambie ili uweze kuchukua necessary measures to live in REAL happiness again.
unafikiri unaweza kuwa happy ukijua kuwa mumeo ana nyumba ndogo? mbaya zaidi mwenyewe akikiri kuwa anayo? labda akuambie akiwa ameshaachana nayo
siyo kama hatushtushwi wao kuwa na nyumba ndogo, hapa maana yake ni kwamba hatuwawazii waume kuwa wana nyumba ndogo pindi mambo yanapokuwa magumu nyumbani. hapa kuna mambo 2 tofautiYaani kweli hamshtushwi wala kuogopa waume zenu wakiwa na nyumba ndogo?
Hamuogopi magonjwa ya zinaa? Hamuogopi ukimwi nyie?
Utakua very unhappy at first, but after analysing the situation and the possible ways out utachukua hatua na utakua really happy, based on reality. Ukikataa kujua ukweli you are perpetuating the lie, you are guilty pia kwa sababu unaruhusu situation kuendelea.unafikiri unaweza kuwa happy ukijua kuwa mumeo ana nyumba ndogo? mbaya zaidi mwenyewe akikiri kuwa anayo? labda akuambie akiwa ameshaachana nayo
Wapendwa je wote mu wazima?
Nisaidieni ninaomba kwani nafikiri sijitambui au sijijui.
Mbona mimi sipati shida wala kushtushwa na suala zima la nyumba ndogo!!
Je inawezekana kuwa sijawahi kupenda? au?
Je kuna mwenzangu/wenzangu ambao wana hali kama hii?
siyo kama hatushtushwi wao kuwa na nyumba ndogo, hapa maana yake ni kwamba hatuwawazii waume kuwa wana nyumba ndogo pindi mambo yanapokuwa magumu nyumbani. hapa kuna mambo 2 tofauti
1. unajua kuwa ana nyumba ndogo lakini hujali..... siyo tunalozingumzia hapa
2. hujui kama ana nyumba ndogo ila unamuhisi tu sababu mapenzi kwako yamepungua au kuna maugomvi ya mara kwa mara................. hili ndo tunalolizungumzia
la maana ni kwamba nisijue. sijasema kwamba nikijua nitakaa kimya na kumwacha aendelee na anayoyafanya. na kama sijui, sitachimbachimba kutafuta ninachodhani kuwa ni ukweliSo you would rather bury your head in the sand and live a lie?
ukishaachana na huyo mume unafanyaje? unaachana na mpango mzima unaohusu wanaume au unakuwa na mwanaume mwingine? naye ukimgundua?......................Utakua very unhappy at first, but after analysing the situation and the possible ways out utachukua hatua na utakua really happy, based on reality. Ukikataa kujua ukweli you are perpetuating the lie, you are guilty pia kwa sababu unaruhusu situation kuendelea.
Ukisha jua unachukua hatua. Kila mwanamke ana namna yake ya kuchukulia haya mambo, wengine wanasema wanapanga DOs and DON'Ts za kuwaongoza katika hiyo triangle, wengine pia wanasema wanaachana na huyo mume and move forward. in both cases, the lies stop, and life goes on.
mimi nilichomuelewa (na pamoja na kusoma post zake nyingine) ni kwamba, siyo kama hatishiki hata akijua kuwa mumewe ana nyumba ndogo anaacha tu aendelee, that means, hajali kabisa, anajua ataenda then atarudi, bali akiona mumewe kabadilika hawezi kuwaza kwamba kilichomfanya abadilike ni nyumba ndogo, labda kuna sababu nyingine.Mwanzisha mada kasema hapati "shida wala kushtushwa na suala zima la nyumba ndogo"
Maybe she needs to qualify her statement.
la maana ni kwamba nisijue.
sijasema kwamba nikijua nitakaa kimya na kumwacha aendelee na anayoyafanya. na kama sijui, sitachimbachimba kutafuta ninachodhani kuwa ni ukweli
rafiki, na zipo nyumba ndogo ambazo zinakutumia sms kukuambia mimi ndo nyumba ndogo ya mumeo
Mpaka nijue ndo nitajua cha kufanya.......... kwa sasa sitaki kabisa kuwaza nikijua nitafanya nini na wakati hicho kitu cha kujua labda hakipoKwa nini la maana iwe ni kutokujua? Na kwa nini kujua kusiwe kwa maana?
Na ukishajua utafanya nini?
ni kweli, lakini kuna vilaza wengi sana, maana nimesikia hizi kesi nyingi sana. cha kushangaza huyo mdada sijui anapata namba ya mkeo wapi na saa ngapiukiona hivyo?
Jua mmeo mmeo na nyumba ndogo wote ni vilaza.
Yaani kupata tu ule uthubutu wa kutuma meseji ni tatizo, achia mbali alichoandika.
Kwa nini la maana iwe ni kutokujua? Na kwa nini kujua kusiwe kwa maana?
Na ukishajua utafanya nini?
Mpaka nijue ndo nitajua cha kufanya.......... kwa sasa sitaki kabisa kuwaza nikijua nitafanya nini na wakati hicho kitu cha kujua labda hakipo
rafiki, na zipo nyumba ndogo ambazo zinakutumia sms kukuambia mimi ndo nyumba ndogo ya mumeo
NN umenishikia bango...................Niliuliza maswali matatu. Umejibu moja tu, la mwisho. Vipi hayo mengine mawili.
MTM My dear
If one respects his wife and the promise he made to her mbele ya Mungu kanisani, mbele ya Serikali ya Nchi yake na Mbele ya wazazi wao wote, ndugu, jamaa na marafiki, one doesn't get a nyumba ndogo, one doesn't cheat on his wife.
Nyumba ndogo ni alama ya kukosa both upendo na heshima kwa mke wa ndoa, na kwa anae cheat mwenyewe. A real man don't just say to people he meets out there kwamba he is a married man, he acts like one.
The same is valid for real women.
Rafiki, nitumie link tafadhali...sijui umewahi kusoma a thread humu nilianzisha kuhusu nyumba ndogo?
ina mafunzo yote ya kuzuia hiyo...