Tatizo na Nyumba Ndogo...

Hapana Hus,

Ila nadhani wengi wanakubali (hata kama hawaamini na hawataki kabisa) kwamba wanaume wengi wanatoka nje ya ndoa (kwa mtindo wa chap chap au nyumba ndogo)....hapa natumia definition ya Big!!

Na siyo wanaume wote wana nyumba ndogo (mie naweza kukuapia hata kwa mtutu wa bunduki kwamba sina na kuna wenzangu kibao) na pia wapo baadhi ambao hawajawahi kukamatwa kwenye mtego wa shetani (wapo au tupo)!!!!

Hata hivyo, wakati wanawake wengi wanapambana kuwazuia waume zao wasicheat au kuwa na nyumba ndogo (which is beyond cheating), wanaume wengi wanapambana kumshinda shetani wasikamatwe na mtego wa kuingia kwenye mambo ya small house au kupata huduma ya chap chap!!

Babu DC!!

kama wapo wanaume ambao hawana nyumba ndogo, ni mambo gani yanawafanya wasiwe na nyumba ndogo. Inakuwaje wanawake wengi wanaume zao wakiwa na nyumba ndogo huona kama ni nature ya mwanaume na si kwamba wao wanaweza changia kwa namna moja au nyingine hao wanaume kuwa na nyumba ndogo. Halafu kweli jamani ugundue mume ana nyumba ndogo usistuke wala roho isiumee!! Inawezekana?
 
kama wapo wanaume ambao hawana nyumba ndogo, ni mambo gani yanawafanya wasiwe na nyumba ndogo.

Yapo mambo mengi Hus, ikiwemo tabia binafsi, kuogopa magonjwa, ubahiri, mazingira, kumuonea huruma mke na kutopenda kumuumiza, mapenzi kwa mke n.k!!

Inakuwaje wanawake wengi wanaume zao wakiwa na nyumba ndogo huona kama ni nature ya mwanaume na si kwamba wao wanaweza changia kwa namna moja au nyingine hao wanaume kuwa na nyumba ndogo.

Hii ni ngumu kuiweka sawa...

Hata hivyo, wanaume wengi hawatafuti nyumba ndogo kwa sababu ya kutendwa wake zao bali ni hamu na tamaa ya kuonja onja + nature ya mtu!!

Halafu kweli jamani ugundue mume ana nyumba ndogo usistuke wala roho isiumee!! Inawezekana?

Hilo la kugundua ni gumu na baya sana..wanaokutwa na hiyo kitu wengi hupata permanent damage!!

Suala kubwa hapa limekuwa si kipi kinampata mwanamke anapogundua mume ana nyumba ndogo bali tabia ya mke kutajihangaisha na pirika pirika za mume...na kumuhisi hisi kwamba labda ana small house!!

Babu DC
 
dah! Hivi kweli wanawake wote humu ndani mnaamini kwamba hakuna mwanaume anayeweza ishi bila nyumba ndogo?
Na wanaume wote humu ina maana mna nyumba ndogo.
Husninyo, I am as surprised as you and I actually believe that this defeatist attitude has fueled the problem in Tanzania... Kama victims wenyewe wanaona ni kawaida, who will challenge the perpetrators now?
But faithful men wapo, tena sana. Nina watu wengi wa karibu who share my views on these things na sijawahi waskia katika habari za kucheat (but pia nina watu wengi wa karibu who cheat regularly/have cheated at least once).
 
RR,

Kwenye mambo ya cheating kuna mambo mengi sana ambayo labda yanaweza kumpatia mtu PhD ya nguvu...

Kuna watu wengi sana wanaopenda kutembeza sifa za kughushi...anaweza kujisifia kwamba katembea na wanawake kibao ofisini au mtaani kumbe hajatembea na mtu hata mmoja...Pia wapo ambao ni silence killers..yaani hata rafiki yake wa karibu anaweza asijue kwamba anabanjua amri ya Mwenyezi Mungu!!

Na mwisho, wapo ambao wanaweza kusema lolote au wasisema ila hawafanya ufuska nje...Wapo na nakuhakikishia kuwa ni wa pande zote, wanawake na wanaume!!

Linalobakia ni kwamba kila mtu anajijua mwenyewe yuko kundi gani...Tunayoyasema hapa yanatakiwa kuchukuliwa kimbuyu wayu tu!!

Babu DC!!
 
Wapendwa je wote mu wazima?

Nisaidieni ninaomba kwani nafikiri sijitambui au sijijui.

Mbona mimi sipati shida wala kushtushwa na suala zima la nyumba ndogo!!
Je inawezekana kuwa sijawahi kupenda? au?
Je kuna mwenzangu/wenzangu ambao wana hali kama hii?[/QUOTE
Nyongeza haigombi!
 
MJ1

Hakuna love kwenye cheating & nyumba ndogo...Kuna usanii na kuchezeana kwa aina nyingi nyingi!!

Sijawahi kusikia mtu ambaye amependa (real love) nje halafu akabaki na ndoa.....

Nasubiri kusahihishwa kama nimezeeka vibaya

...kuna kipindi nilipoelemewa na maswali ya hapo kwa papo na mwj1 nilitamani kumuhakikishia
hilo la hakuna real love huko nyumba ndogo, bali "kupooza kiu" tu...ila kwa ninavyomjua...ipo
siku angenifungulia reference...

Big up mkuu DC kwa kuiweka wazi hii...na ni kweli penzi likihamia nyumba ndogo LAZIMA ndoa
isambaratike, binafsi ni mmoja wao nisoweza multitasking!
 
MJ1,

Naomba niseme hili ingawa nilishajua tumemaliza hiki kibarua..

Hakuna love kwenye cheating & nyumba ndogo...Kuna usanii na kuchezeana kwa aina nyingi nyingi!!

Sijawahi kusikia mtu ambaye amependa (real love) nje halafu akabaki na ndoa.....

....

...wanaenda mbali na kuulegalise huo mpango wa nje, wanaoa mke wa wa pili, na wa tatu na wa nne. Sijui kama ni mapenzi au wanalegalise cheating... if the definition of cheating remains to be changed.
 
Mbu,

kwenye cheating unaweza ukapata real love
na ikavuruga utaratibu mzima wa familia.

Lakini suala la kuvunja ndoa ni kubwa na gumu kidogo. Wakati mwingine inabidi kusahau real love hiyo baada ya kuangalia consequences za kuvunja ndoa.

Mfano, mmeishi miaka 15, mna watoto wanaosoma, mnandugu za pande zote wanaowategemea na mnaishi nao.

Wakati mwingine, inabidi tu kuichana nyumba ndogo iende for the sake of the family.
Ila ndio unakuta nyumba ndogo inatambulika kabisa ila nyumba ndogo ya fulani.

...kuna kipindi nilipoelemewa na maswali ya hapo kwa papo na mwj1 nilitamani kumuhakikishia
hilo la hakuna real love huko nyumba ndogo, bali "kupooza kiu" tu...ila kwa ninavyomjua...ipo
siku angenifungulia reference...

Big up mkuu DC kwa kuiweka wazi hii...na ni kweli penzi likihamia nyumba ndogo LAZIMA ndoa
isambaratike, binafsi ni mmoja wao nisoweza multitasking!
 
Hahahahahah Babu Bigi bana........kwe;i umekula maginia ya chumvi. Mi nataka kujua tu kwa sababu kama mtu ambaye amekuwa na one-night stand na mume wa mtu naye anaingia kwenye group ya nyumba ndogo au la na kama haingii anagroupiwa wapi kwa sababu nielewavyo mie cheating is a cheating as long as umetoka nje ya ndoa na kwa uelewa wangu ukitoka nje mara moja au ukiwa na mwenzi wa muda ambaye si mkeo/mumeo zote ni cheating!
.............And I Swear ....For YOU I will...........
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
....duhhhhh!!!!!!!!!!!...... Aiseeeee!!!!!....kumbeee....
acha nami niwe msomaji kama AshaDii....LOL
Hehehehehe......Forget about the bite, I sing for you....

2012, dunia ni yako...:nimekataa::pray::rant:...chaguo ni lako.
 
exactly
zipo nyumba ndogo mtu unaambiwa kabisa
wahi kurudi kwa mkeo.'sitaki matatizo mie' lol
Ukiona anakwambia nenda kwa mkeo basi ujue Ana jamaa yake anampenda zaidi na huenda analala nae Mpaka asubuhi,wewe ukifukuzwa unaona anajali Kumbe wapi.siku zote penye mapenzi ya kweli kunakuwa na wivu.Hivyo sio rahisi amheshim mkeo kiasi hicho:
 
Majority ya wanawake kabla ya kuolewa na soon baada ya kuolewa wana misimamo kuwa nyumba ndogo kwa waume zao ni inshu kubwa na inaweza hata kuvunja ndoa

Baada ya miaka 2-4 na kuendelea baada ya kuolewa, wanawake wanaamini kuwa mume kuwa na nyumba ndogo sio inshu kubwa sana, iwepo au isiwepo, poa tu, cha muhimu heshima na huduma viwe 'expressed' ndani ya nyumba...
 
Ukiona anakwambia nenda kwa mkeo basi ujue Ana jamaa yake anampenda zaidi na huenda analala nae Mpaka asubuhi,wewe ukifukuzwa unaona anajali Kumbe wapi.siku zote penye mapenzi ya kweli kunakuwa na wivu.Hivyo sio rahisi amheshim mkeo kiasi hicho:

Mbona sio inshu?! Mi ninachojali ni kuwa hata kama huyo jamaa yupo, basi kwangu imefanywa siri. Na nikiamua siku nilale hadi asubuhi, then huyo jamaa anatafutiwa kiswahili huko aliko na hawezi kuwa kikwazo kwangu...
 
kama wapo wanaume ambao hawana nyumba ndogo, ni mambo gani yanawafanya wasiwe na nyumba ndogo. Inakuwaje wanawake wengi wanaume zao wakiwa na nyumba ndogo huona kama ni nature ya mwanaume na si kwamba wao wanaweza changia kwa namna moja au nyingine hao wanaume kuwa na nyumba ndogo. Halafu kweli jamani ugundue mume ana nyumba ndogo usistuke wala roho isiumee!! Inawezekana?

si hadi ugundue? kama humaindi kabla ya kugundua, then sio rahisi kugundua...
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom