Tatizo na Nyumba Ndogo...

umesema kweli babu DC aproaching my 30s this year nimeona mengi na wkt mwingine huwa nahukuru kwa kuyaona yale niliyoyaona kwenye umri mdogo yamenikomazaa mapema sasa kila linalokuja mbele ya macho yangu huwa nashukuru kwa yote na kutafuta a possitive way ya kumaliza badala ya majibizano yasiyo na tija.

Ahsante sana Chauro,

Umenisaidia kuprove kuwa uzee (tena ule wa kweli ambao siyo mcharuko) ni zawadi kutoka kwa Mungu na wanapewa wachache sana...

I am proud to be one of them!!

Babu DC!!
 
mie namwombea yasimkute
sababu anasikiliza na kuamini anachodiskass na mme 100%

atashindwa ku-cope maana anaonekana hajajiandaa hata kidogo.

Labda awe mzungu au mswahili kakulia huko magharibi.

Lakini hawa wa hapa hapa, mmmh! Kazi ipo.
Bora tu wajifunze doing the wrong thing right.

ha haaaaaaaaaaa, kama kawaida RR,
babu DC anasema huyo bado yupo kwenye mapenzi ya Egoli, bado hajawajua wanaume. tumvumilie tu, siku zinakuja.
 
mie namwombea yasimkute
sababu anasikiliza na kuamini anachodiskass na mme 100%

atashindwa ku-cope maana anaonekana hajajiandaa hata kidogo.

Labda awe mzungu au mswahili kakulia huko magharibi.

Lakini hawa wa hapa hapa, mmmh! Kazi ipo.
Bora tu wajifunze doing the wrong thing right.

Huyo ndiye Kongosho....

Shemale of the year!!!

mimi pia simwombei yamkute maana siyo experience nzuri...........
na pia nimemuomba aendelee hivyo hivyo kuamini kile anachoambiwa na mumewe mpaka atakapo-prove otherwise
 
ni kweli
kuna umri eti nilikua naamini kabisa nachoambiwa na mwanamme?

Siku hizi nimechange mentality kabisa
'guility until proven innocent'
basi imebaki kula maisha tu.

mmm mmm! ukitaka uishi kwa amani inabidi iwe the other way round.......... "Innocent until proven guilty" lol!
 
Unajua babu
hata kanisa lilipinga sana matumizi ya kondom
kwa madai kwamba watu waache ngono
lakini imeshindikana

watu wote wataisha kwa ukimwi
bora tu wawezeshe kutenda dhambi kwa usahihi

ndo reality yenyewe, japo twatamani hiyo paradiso ya watu ku-abstain au kuwa waaminifu kwa wenza wao tu.

Huyo ndiye Kongosho....

Shemale of the year!!!

Babu DC!!
 
ni kweli
kuna umri eti nilikua naamini kabisa nachoambiwa na mwanamme?

Siku hizi nimechange mentality kabisa
'guility until proven innocent'
basi imebaki kula maisha tu
.

Wewe umestukia siku hizi?

Wenzio tumefundishwa na kukua nayo hayo toka enzi zile za 1947!!

Ni dawa tosha ya shinikizo la damu na kiharusi!!

Babu DC!!
 
ukitaka uishi kwa amani inabidi iwe the other way round.......... "Innocent until proven guilty" lol!

Nakubaliana na wewe...itabidi kaka/dada Kongosho abadilishe ili tuwape nafasi wenzetu za kucheza na maneno yao hadi zitakaponuka!!

Babu DC!!
 
ukimwamini sana mtu
siku unamshika na dada kiboga
nakwambia ni ambulensi na drip na ving'ora kwenda hospital

lakini hii ya kusema, najua anaye, lakini kama ananiheshimu na kujificha simwoni am happy

napika na kula na watoto, yeye mwenyewe anawahi kurudi? Sina habari
hata siku ukimshika unajionea kawaida tu.

ukitaka uishi kwa amani inabidi iwe the other way round.......... "Innocent until proven guilty" lol!
 
babu japo tumefunzwa haya mambo kukua nayo.
Kuna umri unaamini unachoambiwa hasa kuanzia pale kwenye teen love hadi mid to late twenties.

Akisema uko peke ako basi wavimba kichwa. Ukivuka hapo, sasa unaanza kuona na kuelewa pumba na mchele.

As long as anatimiza majukumu yake yote, haina haja ya kumchunguza japo najua anaye tu.
Na wala hainiumizi.
Wewe umestukia siku hizi?

Wenzio tumefundishwa na kukua nayo hayo toka enzi zile za 1947!!

Ni dawa tosha ya shinikizo la damu na kiharusi!!

Babu DC!!
 
ukimwamini sana mtu
siku unamshika na dada kiboga
nakwambia ni ambulensi na drip na ving'ora kwenda hospital

lakini hii ya kusema, najua anaye, lakini kama ananiheshimu na kujificha simwoni am happy

napika na kula na watoto, yeye mwenyewe anawahi kurudi? Sina habari
hata siku ukimshika unajionea kawaida tu.

Hayo ndiyo tunayowashauri wajukuu zetu,

Kuna jamaa ambaye alikuwa na mke mwenye wivu wa kupitiliza..Mume akisafiri kutoka Dar kwenda Dom kikazi kwa siku 7, siku ya 3 au ya 4 huyo hapo eti kaja kufumania..Akifika tu anaanza kuwawashia moto wafanyakazi wa Guest house...

Ilifikia mahali akakaribia kuokota makopo!!

Babu DC
 
Siku ukiletewa gonjwa la zinaa utaendelea kutokushtushwa na kutokupata shida?

NN hili nalo neno............tatizo ni kuwa angalau ukiona dalili unawezahisi kuwa ndio mambo ya nyumba ndogo but mimi kuhusisha mabadiliko ya mwenzi wangu na nyumba ndogo inanichukua muda sana, ila haimaanishi kuwa nikigundua inahusika sitachukua hatua ila tu sitishiki nayo. Yaani ile ya oh nifanye hili ili niibeat nyumba ndogo mwe sina ndo maana nahisi nina tatizo.
 
MJ1 sio kwamba una tatizo ILA umekuwa. umeanza kuelewa na kujielewa which is a good thing. Enzi za kuishi kwa kufikiria namna ya kupambana na nyumba ndogo, zinaishia kwen teens na mid twenties huko!

Hongera , umekua!
 
Back
Top Bottom