Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Ndivo nilivyofanya mkuu.
Siku ya kwanza sikufunga mfuko nikawahi kojoa kama kawaida ndani ya sekunde kadhaa. Siku ya pili nilifunga ndio nilipoingia kazini kama baada ya dakika 2 mashine ikalala ndo ikawa imetoka kwa masaa tele tu mbele. nimejaribu tena kama mara 3 matokeo ndio yale yale
Jaribu na dawa ya meno changanga na mafuta ya naz na vimaj kidogo baada kama dk 10 uwe unachukua unapaka kweny dushe badae osha nenda kweny mechi
 
Habari wakuu,

Nimejitaidi sana kupambana na fezea hii lakini nimeona bora nizungumze humu labda ntapata msaada ....

Kabla sijaoa nilikuwa shababi sana nilikuwa na uwezo wa kutembea round 4 mpaka 6 na zote zilikuwa za kibabe...

Sasa Nina miaka kadhaa kwenye ndoa naanza kuona mabadiliko

1--nimekuwa mvivu kushiriki tendo
2--nikipiga ki 1 nachoka na kulala usingizi mzito
3--kuna muda inasimama kidhaifu ( lege lege )
4-- Mara nyingi nawahi kufika mshindo

Mke wangu ananivumilia sana lakini kama nitaendelea hivi hivi nahisi ndoa itavunjika na sitaki ivunjike..

Juzi nikaamua kuchepuka na mdada flani mzuri sana lakini ndio nimeharibu kabisa yaani bora hata ninavyo Fanya kwa mke wangu..

Jamani naombeni msaada niinusuru ndoa yangu. Kwa alie wahi kukutana na changamoto hii naomba nisaidiwe!
 
Naomba msaada, hii dawa inatibu nini, nimeikuta mahali
 
Attachments

  • IMG-20210204-WA0016.jpg
    IMG-20210204-WA0016.jpg
    40 KB · Views: 13
Mkuu una miak mingapi?una kilo ngapi? Na je huna maradhi mwilini mwako? Na je unatumia kilevi chochote kile? Au unavuta sigara? Ukificha kitu hutopata msaada wa mtu ukihitaji matibabu unitafute kwa wakati wako.
 
Mkuu, nipo camp moja hivi, nina vijana nafanya nao kazi hizi dawa nimezikuta chumbani kwao, sizijui ndio maana nahitaji kujua.
 
Mkuu, nipo camp moja hivi, nina vijana nafanya nao kazi hizi dawa nimezikuta chumbani kwao, sizijui ndio maana nahitaji kujua.
1612530178721.png

ni jamii ya Viagra, naona hapo umenielewa, zipa aina nyingi kwenye haya Maduka, unaweza kuta Kamagra, Novagra etc zinasaidia kusuuma msumuka wa damu kule kwenye via vya kujamiiana kwa mwanamume au mwanamke
madhara yake naona ni mengi km kushambulia mishipa midogo kwani inapoenda ule chini inasababisha macho, moyo hata kuhema
zipza gram tofauti km 50g au 100g
ukizidisha zinaweza sababisha kifo
ufanyaji wake wa kazi ni lazima uwe na feeling karibu na mwenza la sivyo hazifanyi kazi ni madhara km hayo ya moyo kwenda mbio; zinatumika kwa wenye umri mkubwa, wenye magonjwa ya presha, sukari , uchovu nk, unaweza tumia na chochcote hata kilevi isipokuwa kuna mahali wamekataza Wine
ni dawa za uhakika kuliko vumbi la Mcongo, mshubati au al kasusu nk
mengine sijui lkn ngoja kina Mzizi mkavu waje wao wana dawa mbadala na wanajua madhara yake
 
View attachment 1695288
ni jamii ya Viagra, naona hapo umenielewa, zipa aina nyingi kwenye haya Maduka, unaweza kuta Kamagra, Novagra etc zinasaidia kusuuma msumuka wa damu kule kwenye via vya kujamiiana kwa mwanamume au mwanamke
madhara yake naona ni mengi km kushambulia mishipa midogo kwani inapoenda ule chini inasababisha macho, moyo hata kuhema
zipza gram tofauti km 50g au 100g
ukizidisha zinaweza sababisha kifo
ufanyaji wake wa kazi ni lazima uwe na feeling karibu na mwenza la sivyo hazifanyi kazi ni madhara km hayo ya moyo kwenda mbia; zinatumika kwa wenye mri mkubwa, wenye magonjwa ya presha, sukari , uchovu nk, unaweza tumia na hcohcote hata kilevi isipokuwa kuna mahali wamekataza Wine
ni dawa za uhakika kuliko vumbi la Mcongo na mshubati al kasusu nk
mengine sijui lkn ngoja kina Mzizi mkavu waje wao wana dawa mbadala na wanajua madhara yake
Asante mkuu, maelezo yanenitosheleza
 
Salaam, Nijielekeze kwenye kichwa cha uzi kama kinavyojieleza
Ni kitu gani hupelekea tatizo hili hasa kwa mtu ambaye mwanzo alikuwa anaperfom vizuri tu lakini baadae akaanza kupoteza uwezo wa kwenda muda mrefu ikiwa ni pamoja na uume kusimama legelege au kulegea akiwa ndani ya tendo?

Je, unywaji maji hafifu unaweza kupelekea tatizo hili?
Magonjwa ya njia ya mkojo kama U.T.I, Gono nk yanaweza kupelekea perfomance hafifu?
Ni kweli limao na asali husaidia kurejesha uwezo?
Naomba msaada wa haraka hasa kuhusu tiba za asili

Nawasilisha
 
  • Thanks
Reactions: T11
Fanya mazoez

Kula chakula cha kutosha

Kunywa maji mengi

Pata muda wa kupumzika

Siku ya tendo usikamie relax

Nb.hakikisha unakaa mbali na punyeto mita mia

Mpaka hapo utakuwa na nguvu za kiume tayari .

Kama unaenda kitandan unawaza ada ,kodi,madeni,unaugomvi ,huna amani basi lazima utajiona huna nguvu
 
Kiukweli ni muda sana tangu nikumbwe na Hilo tatizo ambapo uume ulikuwa legelege/sometimes unasimama but ukitaka kuingiza au ukiingiza mwisho bao moja ti hiyo ndo mpaka kesho.

Tatizo Hilo lilikuwa kero sana kwangu na hiyo ilinipelekea kukata tamaa kabisa ya kuoa.Nililifanya kuwa Siri kubwa so kujificha na tatizo Hilo nilijiingiza katika utumiaji was Viagra/Errecto ili niweze kufanya.

Ilifika pointi nikawa najuta sana na kujionea huruma but niliamua kushea kwa mtu wangu wa karibu,daah uwez amini alinisaidia kupata dawa flan ya kienyeji kwakweli hiyo dawa ni komesha asee.

Sipo kufanya matangazo ila mwenye serious problem usikate tamaa suluhu za matatizo zipo.
 
Asa unatusaidiaje mzee
 
Mkuu, nipo camp moja hivi, nina vijana nafanya nao kazi hizi dawa nimezikuta chumbani kwao, sizijui ndio maana nahitaji kujua.
Ni Dawa ya Viagra ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume unaitumia nusu kidonge unakula kabla ya kufanya mapenzi utakuwa na nguvu za kiume kwa muda wa masaa 24 lakini mpaka umpate ushauri wa Daktari.
 
Back
Top Bottom