JABALI LA KARNE

JF-Expert Member
Apr 19, 2021
791
1,000
Kama unapata hamu ya wanawake na inasimama mpaka unatongoza huna tatizo unless una multiple Id unataka uje utoe ushauri wa dawa zako za asili kwa id nyingine.

Kama hayo niliyoeleza hayakuhusu tafuta mwenza mwenye nguvu za kike za kutosha, tatizo likiendelea muone daktari. Si mganga bali DAKTARI ESP WA SAIKOLOJIA YA UZAZI.
 

Hank_31

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
489
1,000
Mkuu pole sana, ila kama uko serious, tatizo hua linaanza sana na saikoloji, ndo tunakuja na physical.
 

DeeJay TEE

Member
May 2, 2021
23
45
Por
Hata sis tumeanza umr huo..na tuki fresh had leo...tatzo lako wew ni enxiety..pia unaangalia sana porn..acha.sabab inakufanya usione kipya chochote kwa wanawake..brain haishtuk ikiona naked woman..sabab ushawaona sana kwenye porn...so acha...na pia jiamin..ukiona inazid..kabla ya tendo shtua kidogo kapombe katakupa confidnce na kujiamin..utapiga fresh tu..ila acha hzo mambo for 2 months..then leta mrejesho..ni saikolojia tu hzo mambo
Porn ndo nimeachagaa kitmboo boss mdaa sanaaa
 

pirate

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
608
500
Wakuu habari zenu,
Nimeona na Mimi nitoe ushauri kwenye ili tatizo ambalo linatusumbu a wanaume wengi na kila siku linazidi kushika Kasi, yote Kwa yote Mimi sio mwana saikolojia wala mtaalam WA afya uzazi Ila ni utafiti wangu mdogo nilioufanya Kwa muda WA miaka miwili ndani ya nchi yetu japo sio mikoa yote. Kama nitakuwa nimeenda mbali na mawazo ya watu wengine basi naomba wasinifikirie vibaya.

Kwa mtazamo wangu ili tatizo la nguvu za kiume limekaa ki-mtandao Zaidi, nasema hivi kwasababu ambazo nimechunguza na nimeona pia kupitia Kwa watu na Mimi mwenywe, sipendi Sana kuyazungumzia maisha yangu ya kimahusiano Ila nakumbuka mwaka 2018 nilienda hospital moja hivi wanauhisika na kutatua matatizo ya nguvu za kiume na nilikwenda Kwa sababu nilitaka nijifunze kitu Kama wanachofanya ni kweli au ni kuibia watu pesa?

Nilifika wakanipima nakumbuka daktari alikuwa dada mzuri sana, sasa akaniuliza Kama nimeoa? Nikajib hapana ( ukweli sijaoa) akaniambia Una mtoto nikamwambia hapana( kweli) Yule dada akaanza kuniambia kuwa sperm count ipo chini Sana kwahiyo nisipokuwa makini naweza nikawa mgumba baada ya mwaka au ZAIDI sasa japo alinitisha maana hiyo mashine Yao ilikuwa ni Kama zile wanazotumia maaskari kuwatetemesha wafungwa ili watoe Siri,

nikawaza labda ni kweli lakin pale aliponiambia Zaidi nikapata moyo kuwa labda bado Sana, japo akanishauri na kunipa dawa japo nakumbuka niliingia gharama Sana na hiyo nusu dozi Tu ilikuwa 230k pesa za kitanzania, na akanipa namba yake ya simu kuwa niwe nampa maendeleo pamoja na lini nitaenda kumalizia pesa kusudi nimalizie dozi ambapo Kwa maelezo yake aliniambia ni muhimu Sana kumaliza dozi yote ili nipone na akaniambia ili dawa ifanye kazi vizuri inatakiwa nisikutane na mwanamke yoyote Kwa kipindi icho na dawa ilikuwa ni ya kunywa na ni hizi mitishamba ambayo imetengenezwa Kwa style ya unga hivi so ni kunywa mara 3 Kwa siku 21.

Nilikunywa Tu nusu dozi na kuchek ufanyaji wake WA kazi upoje, ni kweli zile dawa zinafanya kazi Ila ufanyaji WA kazi ndio ulionifanya kujua kuwa watu tunaibiwa Sana kutokana na kwamba atufikirii Sana, Kwa mtazamo wangu hawa jamaa WA dawa za nguvu za kiume Wanatuuzia booster sio dawa Kwa sababu nguvu za kiume ni system ambayo ipo kwenye ubongo wako mwenyw ambapo pia zinaendana na stress na mazoezi pamoja na chakula, wengi wanasema Sisi masikini tunafurahia maisha Kwa sababu hatuna stress na turaridhika na tukipatacho Ila matajiri ni tofauti, Em jiulize kwanini hiz booster nyingi kabla ujatumia wanakwambia kunywa au pakaa masaa au siku kadhaa kabla ya kukutana na mpenzi wako??,

Kama ni dawa yenye matokeo chanya ilitakiwa uanze kuona mabadiliko unapoimeza au kuipaka pale pale, kwahiyo nyingi WA hizi dawa ni kuboost immune system yako ifanye kazi kuliko uwezo wako Kwa muda Fulani sasa tatizo linakuja ikiisha nguvu unarud Kama ulivyokuwa kabla na baada ya hapo pia inabid ukanunue tena ili urudi Kama ulivyokuwa kwenye booster,

hapa ndio tatizo linapoanzia na ndio unakuta baadhi yetu tunaingia mitandaoni kuomba ushauri kisha unakuta mtu anakushauri tumia dawa hii ni nzuri Sana wengine wanakwambia dawa inakaa mwezi mzima mwilini na sasa kwasabab mtu Una shida inabidi utafute utumie kumbe ujui kuwa pale ndio unapoibadili mfumo mzima WA ubongo wako kwasababu unauzoesha kufanya kitu ambacho ilikuwa sio kawaida yake.

Nakumbuka siku nilikuwa tanga kwenye club hiv natoka nje na jamaa zangu akatokea mtu mzima WA makamo akawa anauza VIX hii pia ni booster za nguvu za kiume, ni kikopo kidogo Sana na ndani yake iyo dawa imekaa Kama style ya Maji hivi Ila mazito na yamechanganywa na dawa za miti shamba, so nikanunua nayo lakin hapo kuna rafiki angu ambaye kila mara uwa anatumia hiyo dawa so akaniambia ni nzuri ,

nikachukua ilikuwa ni Kuipaka kidogo Tu kisha Kama baada ya SAA 1 uende kwenye mzigo, nikapaka kweli siku hiyo Ila nilipoenda kukutana na mwanamke ilikuwa tofauti Sana Yani ndio Kama nilijiaribu, nakumbuka baada ya kurudi home nilienda kuitupa Ile dawa maana Kwa nguvu zangu mwenyewe nilikuwa naenda vizuri na demu yoyote, na sikurudia tena kutumia dawa yoyote mpaka Leo hii na upande wangu Mimi siziamini hizo booster.

Ushauri wangu ni hivi Kwa mtu unaheisi Una matatizo Ya nguvu za kiume Kama ujazaliwa nalo tatizo usitumie dawa za kuongeza nguvu za kiume Ila Fanya mazoezi, Kula vizuri hata Kama uwezo mdogo WA kiuchumi Angalia jinsi gani utaweza Kula matunda na mboga za majani Kwa Sana, kunywa Maji Sana (muhimu Sana) pia jiamini kuwa ilo tatizo wewe auna na uwez kuwa nalo na pia tafuta mwanamke ambaye anafaa kuwa nawewe, hapa namaanisha mwanamke ambaye ajaridhika na kitu chochote anakwambia ukweli na ambae karizdhika uwa akwambii sasa jitahidi kupata mwanamke ambaye anakwambia ukweli. Unajua watu wengi tunasifia kuwa baadhi ya wanawake wazuri Sana kitandani Ila jiulize huyo mwanamke kapita na wangapi Hadi amekuwa mzuri kitandani maana mtu adi anakuwa mzuri kitandani basi ana uzoefu WA muda mrefu kwahiyo inabid akutane na mwanaume ambaye pia yupo vizuri na kiukweli kwenye kufanya mapezi watu tupo tofauti nguvu nilizokuwa nazo Mimi inawezekana wew ukanizidi, Mimi Kama naenda round ya Kwanza kisha napumzika dk 20 labda mwingine yeye anatumia kupumzika DK 5, kwahiyo pia jitahidi kuwa Kama ulivyo wewe usiangalie mwenzako anaenda round 6 au 7 ukahisi wanaume wote tupo Sawa. Na pia kwenye porno Yale ni maigizo sio uhalisia na ndio maana asilimia kubwa wanatumia madawa ili waweze kuperfom vizuri maana ndio lengo kuu. Kujiamini ndio kila kitu na punguza stress na jitahidi kumuandaa mwanamke, ingia online kuangalia njia za kumuandaa mwanamke ili afurahi na wewe nafikir hata humu jf watu wanatoa njia za kumuandaa mwanamke ili usitumie nguvu nyingi na kumfanya achoke mapema, najua baadhi yetu siku hizi tunawaza kuwakomoa wanawake kwamba kumto** Sana ndio kumfanya asikichoke au aridhike, mkuu hiyo sio kweli mwanamke akiamua lake anafanya Tu na akiamua kukucheat hata Kama unamtom*** bao 10 kila siku atakucheat, wanawake wanahitaji akili nyingi Sana kuishi nao na uwezi kuwalinda hata siku moja ni yeye mwenyw Tu aamue kutulia na wewe (na hii inawezekana) ndio maana tafuta mwanamke sahihi WA kuwa nae sio kwaajili ya urembo au tako Tu Bali AKILI ndio muhimu, kwasabab Naamini wengi wetu tunatafuta dawa ili tuwarizishe wenza wetu na kuweka heshima Ila heshima sio kwenye mapenzi Tu. Mwisho Kama umezaliwa na tatizo basi jaribu kwenda hospital kupata ushauri na Kama kuna dawa upatiwe.

Ahsante na nawakilisha mawazo yangu.
 

kingkimwe

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
524
500
Hapo shida ipo kwenye ubongo

Jamani muelewem mtu anaposema ana tatizo uwez sema shida ubongo wakat mishipa ya dushe ndo imelegea hii kitu bslaa 2017 ilinitokea lakin sikumbuk ilikuaje nikaa sawa mbo ilikua haidindi ama inadinda kidogooooo wakati ilikua inasimama ka mti nikimuona tu dem ata kwa mbali... bro usifanye kwa muda wala mjengo usipige kunywa maji mengi asali na vyakula walivosema wadau uko juu
 

Nduka Original

JF-Expert Member
Aug 3, 2011
877
1,000
Nina umri wa miaka 47 na nimekuwa na tatizo la ugonjwa wa kisukari kwa takribani miaka 12 sasa. Ninacho shangaa kwa kipindi cha miaka 10 nilikuwa nafanya ngono na ku perform vizuri kabisa ila kuanzia mwaka jana nikifanya tendo la ndoa nikiingiza uume tu nakojoa hapo hapo na mboo kulala mazima. Kuna wakati nikiwa nataka kusex mboo inakataa kabisa.

Sukari na control kwa diet, mazoezi na kutumia dawa aina ya meltfomin. Kwa ujumla sukari huwa ina fluctuate sana kuna wakati fasting inakuwa mpaka 6 na nikila goes upto 11. Sina uhakika kama ndio nimeshaingia kwenye shida ya nguvu za kiume au pia inatokana na hali ngumu ya kifedha ninayopitia kwa sasa

Kuhusu swala la mboo kutosimama kuna medical Doctor amenishauri kabisa nisitumie madawa ya mitishamba ambayo herbalists wengi wamekuwa wakiyahubiri. Tafadhali naomba msaada wa ushauri nini natakiwa kufanya
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom