Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Nitarudi bidae, ngoja tuwasikie wataalam waliowahi kwenda kwa mama yoyooo
 
labda sbb no ii inaelekea. pamoja na hilo, pia ni kuwa na uwezo wa kurudia tendo baada ya muda fulani wa mapumziko unaokubalika, say 40min.
 
Nimeulizwa swali hilo"kuongeza Nguvu za Kiume hasa ni nini kinacho lengwa?" Je,

i) Ni kuongeza uwezo wa kucheza round nyingi ktk mechi?
ii) Ni kuongeza uwezo wa kuhimili kwa muda mrefu ili kukamilisha raound ktk mechi?
iii) Ni kuongeza kiasi (volume) ya vitu vinavyokuwa discharged wakati wa kukamilisha round?
iv) Ni kuongeza uwezo wa mzee wakazi kusimama kwa u imara kama ukuni mkavu nasi kuwa legelege

Wana JF msaada tafadhali
Yote hayo ni majibu Sahihi na ni jibu hilo hilo moja Dawa ya nguvu ya kiume kazi yake kukufanya uweze kufanya tendo la ngono kinyume na ule uwezo wako wa kawaida. Kama ulikuwa unawahi

kumaliza na mpenzi wako huwa analalamika ukitumia dawa ya nguvu ya kiume inamuezesha huyo mpenzi wako umridhishe katika tendo lenu la Ngono anaondoka huyo mpenzi wako wa kike huwa mwenye furaha ukimridhisha katika hilo tendo lenu la Ngono. na inapendeza kabla ya tendo la ngono

ukiwa na mwanamke chumbani kabla ya tendo la ngono jaribu wewe mwanamme uwe unamchezea chezea mpenzi wako mwili wake maziwa unampapasa mwili kwa ulaini huku ukinyonya maziwa yake kwa utaratibu huku ukitumia vidole vyako kuchezea sehemu zake za siri kama unavyo chezea

(Keyboard yako ya Computer) kwa utaratibu basi yeye mwenyewe atakwambia haya tucheze mpira wetu na wewe mzee akiwa amesimama ndipo hapo waweza kucheza mpira huku ukienda taratibu juu, chini pembeni huku unampapasa mwili wako mpenzi wako basi utaona mwisho wake

unamridhisha mpenzi wako atakuwa anaona raha tupu wote wawili mwisho wake itakuwa Mpenzi wako atakufunga goli na wewe pia utamfunga goli matokeo yake yatakuwa moja kwa moja. Namalizia hapo Hii ndio faida ya Kuongeza nguvu za kiume, asante.
 
kweli mzizimkavu wewe ni mwalimu wa walimu ktk fani hiyo
 
Yote hayo ni majibu Sahihi na ni jibu hilo hilo moja Dawa ya nguvu ya kiume kazi yake kukufanya uweze kufanya tendo la ngono kinyume na ule uwezo wako wa kawaida. Kama ulikuwa unawahi .

MziziMkavu,

Ukiachana na Viagra, kuna ukweli wowote kuhusu hizi dawa za kuongeza nguvu za kiume zinatongazwa na kila mganga wa kienyeji??
 
Zipo Dawa za Nguvu ya Kienyeji zinazotengenezwa na Waganga wa Kienyeji lakini mpaka umpate mtu akupeleke kwa huyo Mganga nina maanisha umpate Mtu wako anayekujuwa akupeleke kwa huyo Mganga anaye mjuwa utaweza kutengenezewa hiyo Dawa ya kuongeza Nguvu za Kiume

pasipo na hivyo ukienda tu Mwenyewe Kivyako Kwa Mganga wa Kienyeji Utatapeliwa na Waganga Feki wapo tele mijini wakitafuta pesa. Au pia waweza kwenda kwa Wamasai au Kwa wasambaa wanazijuwa hizo dawa za Kuongeza Nguvu za Kiume huo ndio ushauri wangu. ukita maelezo zaidi uni (PM) asante.
 
Jamani wana JF mnisaidie. Mimi nikicheza mechi za ndani mashine inapiga mzigo fresh kabisa. Ila nikisema nichakachue penzi nje (Home and away) Mashine inagoma kupiga mzigo kabisa.

Napata aibu kweli kweli na nikiwaeleza hao wadau kuwa huwa mashine inapigaga kazi wananiambia piga sasa acha maelezo.

Napata shida kumwadisia mama yanayo nisibu kwenye mechi za nje siwezi. Msaada tafadhali
 
Inategemea na mazingira unayochezea away mechi, mara nyingi suala la mechi linahitaji utulivu wa kutosha hasa akili hivyo kama huwa unachakachuliwa away mechi kwenye mazingira ya kufumaniwa mashine haiwezi kufanya kazi sawasawa
 
Jamani wana JF mnisaidie. Mimi nikicheza mechi za ndani mashine inapiga mzigo fresh kabisa. Ila nikisema nichakachue penzi nje (Home and away) Mashine inagoma kupiga mzigo kabisa. Napata aibu kweli kweli na nikiwaeleza hao wadau kuwa huwa mashine inapigaga kazi wananiambia piga sasa acha maelezo. Napata shida kumwadisia mama yanayo nisibu kwenye mechi za nje siwezi. Msaada tafadhali

ndo maana ukimwi unaongezeka kwa mechi za nje acha hizooooo!!!!
 
Jamani wana JF mnisaidie. Mimi nikicheza mechi za ndani mashine inapiga mzigo fresh kabisa. Ila nikisema nichakachue penzi nje (Home and away) Mashine inagoma kupiga mzigo kabisa. Napata aibu kweli kweli na nikiwaeleza hao wadau kuwa huwa mashine inapigaga kazi wananiambia piga sasa acha maelezo. Napata shida kumwadisia mama yanayo nisibu kwenye mechi za nje siwezi. Msaada tafadhali

Cheza za ndani tu za nje za nini wakati unaweza cheza ndani vizuri tu!!!!!!!!!!!
 
kakuzidi mke wako maarifa nenda kwa Mtalamu wa Kienyeji atakupa Dawa ya kuondowa kifungo hicho mke wako amekufunga usije ukamwambia itakuwa balaa.
 
Hapo umenena mkuu. Namshauri aende kwa Tanga kwa fundi Shemahonge atamsaidia
 
Jamani wana JF mnisaidie. Mimi nikicheza mechi za ndani mashine inapiga mzigo fresh kabisa. Ila nikisema nichakachue penzi nje (Home and away) Mashine inagoma kupiga mzigo kabisa. Napata aibu kweli kweli na nikiwaeleza hao wadau kuwa huwa mashine inapigaga kazi wananiambia piga sasa acha maelezo. Napata shida kumwadisia mama yanayo nisibu kwenye mechi za nje siwezi. Msaada tafadhali

inaelekea mke wako mtamu sana kwako. umekolea na unampenda. ndiyo maana hao wa nje unajilazimisha tu. HAKUNA CHA DAWA. kama unataka kula majani nje ya fensi basi kama alivyosema mfarisayo unahitaji faragha kubwa na wakati wa kutosha wa kuzoeana, kuchezeana hadi ku..... na huyo mwizi kama jambo la mwisho.
 
Back
Top Bottom