BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,335
- 1,386
kama utakosa after shave, tumia powder.P1 kaka,Naxhkuru kwa uxhauri wako
kama utakosa after shave, tumia powder.P1 kaka,Naxhkuru kwa uxhauri wako
Hya mkuu huo mtazamo wakoForm six?? Acha uongo mkuu. Mbona una sura kama ya mtu aliye bakiza miaka 2 tu kustaafu kazi
Kweli ww bado mdogo
Nimeogopa kutumua Magic sababu ya athari zake ambazo watu wanazizungumzia...so nimeona kinga ni bora kuliko tibaNdugu tambua kila mtu ngozi tuna tofautiana kuna watu, wanatumia wembe na poda na hawatoki vipele achana hiyo njia tafuta nyingine mimi nilikua mhanga wa hilo.
Ila saiv natumia magic sitoki vipele ingawa sio nzuri mara kwa mara navosikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeogopa kutumua Magic sababu ya athari zake ambazo watu wanazizungumzia...so nimeona kinga ni bora kuliko tiba
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sanaTafuta kitu inaitwa Neo Medrol. Pharmacy kubwa kubwa. Andaa pesa 22,000 mpaka 25,000. Kichupa kidogo sana kama eye drops. Yakirudia mapele nione.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante GlasMaduka ya dawa yale makubwa au maduka ya vipodozi...sio haya ya uswahilin...andaa kuanzia 10000
Sent using Jamii Forums mobile app