Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Naomba msaada kwani kila ni ki shave kwa machine... iwe kila baada ya siku 5.. then na kandwa na maji moto... scrub,, na kutumia aina tofauti za after shave lakini tatizo bado.. Napenda kuuliza tofauti na Magic . Ni remover ipi naweza tumia bila kuhusisha mashine na kuacha ngoz yangu bila vipele kwani ngozi yangu ni higher sensitive .
pole sana kwa tatizo hili kuna sabuni inaitwa ANATIC HERBAL ESSENCE SOAP ni kiboko ya hilo tatizo na matatizo mengi ya ngozi. waweza kunitafuta kwa namba 0657317631 nikuelekeze kwa kuipata.
 
Ziache ziwe zinaota kwa level kiasi sio unankwangua zikiwa ndogo na kama ikiwezekana ziachie tu mzee vipele utavisikia
 
Ishu nyingine zinyoe kutokana na uotaji na uelekeo wake ukienda against haviachi mzeeeee.... ZIFUGE TU
 
Mkuu naona mpaka umefungua na ID kabisa.
Any way ngoja nikupe kaushauri kidogo.
1. Ukinyoa ndevu tumia mashine nzuri, usitumie mashine zinazokwangua ngozi tumia zinazonyoa ndevu..naimani umeelewa hapo namaanisha kitu gani. Au tumia magic powder kama unaweza.

2. Ukimaliza kunyoa jifute kwa kitambaa cha maji moto.

3. Then, jipake After Shave.

Baada ya hapo utaleta mrejesho
 
Kwa hiyo ww ulitaka tuzoom hizo picha ili tuone hayo mapele au . Tafuta after shave kuna ya lotion na nyingine kama mafuta hii ya lotion unapaka kama mafuta kwenye ndevu na hiyo nyingine unapaka kwa dakika kadhaa ukishamaliza kunyoa ndevu then unaosha kwa maji !!
 
Mkuu naona mpaka umefungua na ID kabisa.
Any way ngoja nikupe kaushauri kidogo.
1. Ukinyoa ndevu tumia mashine nzuri, usitumie mashine zinazokwangua ngozi tumia zinazonyoa ndevu..naimani umeelewa hapo namaanisha kitu gani. Au tumia magic powder kama unaweza.
2. Ukimaliza kunyoa jifute kwa kitambaa cha maji moto.
3. Then, jipake After Shave.

Baada ya hapo utaleta mrejesho
P1 kaka,Naxhkuru kwa uxhauri wako
 
Nunua dawa inaitwa Pamp Patrol , nenda duka la vipodozi.

Hiyo ni dawa ya kutibu vipele. Fanya hivyo chap
Mkuu naona mpaka umefungua na ID kabisa.
Any way ngoja nikupe kaushauri kidogo.
1. Ukinyoa ndevu tumia mashine nzuri, usitumie mashine zinazokwangua ngozi tumia zinazonyoa ndevu..naimani umeelewa hapo namaanisha kitu gani. Au tumia magic powder kama unaweza.
2. Ukimaliza kunyoa jifute kwa kitambaa cha maji moto.
3. Then, jipake After Shave.

Baada ya hapo utaleta mrejesho
Asipo elewa hapa tena!!
 
Epuka kutumia mashine za ndevu,
Nenda kanyoe saloon au tumia magic powder.

Nilwahi kuwa muhanga ila baada ya kufuata hiki nikasahau kabisa
 
Back
Top Bottom