Tatizo la maumbile madogo (micro penis) linatibika?

Tatizo la maumbile madogo (micro penis) linatibika?

Wanajukwaa naomba kuuliza tatizo la maumbile ya kiume madogo isivyokawaida kwa mtu mzima linatibika? (Na nitafurahi kama nitapata pia briefing za namna yakupata tiba).

Ama mtu akizaliwa hivyo ndo ishatoka (mpaka atakufa bila kuwa na familia)?

Ni ishu serious sana naomba msaada.

Kwa mwenye msaada serious aje PM tafadhari
Kila tatizo unaloliona au ulilonalo lina ufumbuzi wake!. Yaan huko nyuma karne zilizopita wazee wetu walikuwepo wenye matatizo kama yanayotupata leo hii na kuna maarifa waliyoyatumia na kutatutua matatizo yao.

Uzuri (advantage kwako) ni kuwa mbinu walizozitumia kutatua matatizo yao waliziandika kama kumbukumbu (kwa jamii zilizotumia maandish enzi hizo). Mpaka leo kumbukumbu hizo zipo vitabuni, na kunauthibitisho wa ubora wa maarifa hayo bila madhara yoyote.

Mimi nitakusaidia jina la vitabu vyenye maarifa haya(BURE) vilivyoandikwa karne nyingi hapo mashariki ya kati , bara hindi pamoja na uchina. Ila vipo kwa tafsiri ya kiingereza. Utavidownload usome, vinginevyo utakuwa huna bahati utapo kutana na matapeli.
 
Hio ishu yako iko kwa wengi ni maumbile tu, ni sawa na upara
 
Kila tatizo unaloliona au ulilonalo lina ufumbuzi wake!. Yaan huko nyuma karne zilizopita wazee wetu walikuwepo wenye matatizo kama yanayotupata leo hii na kuna maarifa waliyoyatumia na kutatutua matatizo yao. Uzuri (advantage kwako) ni kuwa mbinu walizozitumia kutatua matatizo yao waliziandika kama kumbukumbu (kwa jamii zilizotumia maandish enzi hizo)....
Weka majina ya vitabu
 
Tafute mwanamke bikra, au wale ambao hawajawahi tumia matango.
 
Wanajukwaa naomba kuuliza tatizo la maumbile ya kiume madogo isivyokawaida kwa mtu mzima linatibika? (Na nitafurahi kama nitapata pia briefing za namna yakupata tiba)...
Kuna dawa yake tena ya asili
 
UKITAKA KUPIMA UNATUMIA NN NA JE UNAPIMA IKIWA IMESIMAMA AU IMELALA?
kwa inch2 doh hiyo sio poa atleast ata 4 kama 2 alf nene iv not bad kam twembamba [emoji24][emoji24]
 
Jiamini jua namna ya kutumia kifaa chako Cha kazi. Kama wanaweza kujisugua wenyewe kwa wenyewe sembuse wewe unacho hicho kidogo. Brags about your own even if a tin💪💪
 
Back
Top Bottom