Mtu ambaye amewahi kutibiwa tatizo la maumbile madogo (kibamia) na akapona anisadie

Mathias_95

Member
Apr 17, 2021
26
80
Kama kuna mtu ambaye amewahi kutibiwa tatizo la maumbile madogo (kibamia) na akapona anisadie pia na mimi nipate tiba.

Tafadhali kama kuna mwenye uhakika na sehemu panapotolewa tiba ya uhakika anielekeze nami nikatibiwe kwa asiye na uhakika anaweza kuniweka wazi pia ili kuniepusha na gharama.
 
Tumia vyema ulichonacho jaribu jaribu utakutana tu na wa saizi yako atakayekuwa na mashine ndogo kwa saizi ya kibamia chako hili ndilo ambalo wengi hawajui, wenye maumbile makubwa wawatafute wenye maumbile makubwa and vice versa
 
Ina urefu gani ikiwa
A. Imelala?
B.Imesimama?
C.Kipenyo?

Jua hivyo kabla ya kuamua huo uamuzi......maana unaweza kuta iko sawa kabisa.
 
Pole mkuu, japo umeenda strait kwenye kuuliza alopona kabisa ila kuna vimaswali pia unapaswa kuviweka wazi ili tujue unasaidika vipi, kuna muda hata ushauri ni tiba tosha.

Maumbile madogo unayosema yana size gani??, hapa wengi huwa wanaathirika kisaikolojia na hii mitandao kudanganyana mambo ya tango na vibamia so unakuta mtu ana uume stahiki ila anajiona anao mdogo.

Kwa mimi huwa naamini hakuna dawa ya kuongeza maumbile isiyo na madhara. Nchi zilizoendelea ni jambo la kawaida huwa wanafanya surgery kuongeza uume ila sijui gharama yake ni gani ila hii ni 100% ipo, sijui kwa hospital za hapa bongo.

Yote kwa yote kama una stamina na uko vyema kwa bed achana na hizo mambo zitakupotezea muda, kukuongezea stress, kukufanya usijiamini.
 
Sifurahishwi sa replay za aina hii, sometimes it's better kunyamaza ukiona ishu inayoongelewa huielewi ama haikuvutii kuliko kuweka kejeli.

Samahani sana kama nimekukwaza but naomba ukaushe basi ndugu yangu
Bro, kwanza inaonyesha hii hali imeakuathiri.
Wewe ni mwanaume mwenzangu najaribu kuvaa viatu vyako havinitoshi.
Lakini Sky Eclat
Ameuliza kwa nia njema tena ni mwanamke.
Ungejibu swali lake huenda angekupa mbinu mbadala ili uwapo kwenye tendo ujiamini.
1. Humfikishi mwenzio?
2. Hufarahii tendo?
Ungejibu ungeshaurika mkuu
 
Back
Top Bottom