Tatizo la maumbile madogo (micro penis) linatibika?

Tatizo la maumbile madogo (micro penis) linatibika?

Wengi hukosea kupima dhakari kwa kuipima ikiwa imelala.
Kwako hizo nchi 2 ni ikiwa imelala au imesimama?? Kuna mdau kauliza hapo hujamjibu.
 
Madhara hayapo make madawa ya kuongeza nayo hayapo labda tusubiri wajuvi zaidi Wenda na sisi tukaongeza
Madawa si ndio hayo yanayotangazwa?
JF ingekuwa na option ya kuweka audio ningeweka,kuandika bandiko refu siwezi.
Nalog off
 
Aiseee usijaribu haukuzi Bali uume unavimba Sana na Kuuma ata kukojoa taabu
NB;si tulifanya ili kuwashawishi wazazi watufanyie tohara.
Duuh,pole sana.Ilichukua siku ngapi maumivu kupotea
 
Madawa si ndio hayo yanayotangazwa?
JF ingekuwa na option ya kuweka audio ningeweka,kuandika bandiko refu siwezi.
Nalog off
Yanayotangazwa mengi syo ya kweli maybe Kama Kuna za kisasa(yalothibitishwa kisayansi)
 
Yanayotangazwa mengi syo ya kweli maybe Kama Kuna za kisasa(yalothibitishwa kisayansi)
Kutokuwa huko ya ukweli ndio yanaleta madhara.
Kuna mtu hapa alikunywa mzigo ulikuwa mkubwa na mnene na alikuwa akipata maumivu makali
Nalog off
 
16282507624154217660826644771738.jpg
 
Mi nakushauri kama unapiga mzigo, usijaribu hayo makitu yatakuletea shida mkuu, hasa haya ya kienyeji enyeji haya.

Kuna post BBC walikua wanaelezea jamaa aliefanyiwa upasuaji kuongeza ukubwa, nadhani kwa nchi zilizoendelea sio kitu kigumu sana kufanya ila kwa uku kwetu mkuu inaweza kukugharimu pesa na afya.
 
Kutokuwa huko ya ukweli ndio yanaleta madhara.
Kuna mtu hapa alikunywa mzigo ulikuwa mkubwa na mnene na alikuwa akipata maumivu makali
Nalog off
Aaaah kumbe una proof wa aliyepata matokeo basi Ni vizuri utupe connection kwa faida ya wengi(najua Kuna wahitaji wengi)
 
pole mkuu but nchi mbili sio ndogo pia mm sijakuona but naisi una tatizo la obesity fanya diet na mazoezi tumbo na mwili vitapungua na apo utaona uume unaongezeka walau inchi 4 hadi 5.
Mkuu jaribu kuchukua rula angalia nchi mbili zikoje. Kama ni kipimo chake ikisisima basi ni ndogo sema inategemea pia na unene wake ikiwa nene ni afadhari kuliko ikiwa nyembamba.
 
Back
Top Bottom