Hii link haifunguki ama haifanyi kazi chief
Sent from my SM-A125F using
JamiiForums mobile app
Sihusiki kwa namna yoyote kwenye uandishi wa hiyo link sema nimeona ni vyema nikawawekee wale wanaopata kuipata hiyo link hivyo nime copy na ku pest na Yaliyomo kwenye hiyo link ni hayo:
afya.com
about 4 years ago
SIRI YA MVUNGE KATIKA KUREFUSHA MAUMBILE(UUME)
Watu wengi wamekuwa wakitumia kutumia mabango, lengo likiwa kutangaza kazi zao, waganga wengi wa tiba asilia wamekuwa wakijinadi kuwa wanatoa tiba ya kurefusha maumbile ya siri ya wanaume, kukuza makalio au matiti.
Katika mitaa ya miji na majiji nchini, siyo jambo la ajabu kukutana na mabango hayo, ambayo hata hivyo kushamiri kwake kunaleta picha kwamba ni kutokana na uhitaji mkubwa wa huduma hiyo nchini,
Pia dawa zinazodaiwa kukuza makalio maarufu kama ‘mchina’, zimekuwa gumzo baada ya kuingia nchini, huku zikielezwa kukosa ubora na kwamba zina madhara makubwa.
Lakini, sasa unaweza kuachana na dawa hizo za Kichina, baada ya kugundulika mmea wenye uwezo wa kukuza makalio, matiti, pamoja na kurefusha uume.
Taarifa za kiutafiti zinautaja mti huo kwa jina la Mvunge, ukiwa na uwezo wa kukuza makalio, matiti na kurefusha uume.
Kaimu Msajili wa Tiba Asili na Tiba Mbadala nchini, Dk Naomi Mpemba anasema kuwa mmea huo ambao huwa ni mti mkubwa upo na kwamba una uwezo mkubwa wa kukuza maumbile hayo.
Anabainisha kuwa mmea huo ambao hukua na kuwa mti mkubwa huzaa matunda yanayotumika kama dawa na unapatikana wilayani Korogwe Mkoa wa Tanga, Pwani, Mbeya, Morogoro na baadhi ya mikoa nchini.
“Tulifuatilia na kutambua kuwa mti huo upo maeneo hayo na unatumiwa zaidi na waganga, Wa tiba asili,” anasema Dk Mpemba na kuongeza:
“Jina jingine unaitwa Miegeya, mara nyingi unastawi katika maeneo yenye ardhi ya unyevunyevu, una tabia ya kustawi kama Mwembe na matunda yake huonekana kufanana na Mbuyu.”
Hata hivyo, anasema kuwa asilimia kubwa ya waganga wa tiba asili na tiba mbadala wanaotumia dawa hiyo ni wale wasiokuwa na usajili kutoka baraza hilo, hivyo kufanya huduma hizo kinyume cha utaratibu.
“Kwa mujibu wa masharti yaliyopo katika agizo la Serikali kwa waganga hao, miiko, maadili na utendaji wa kazi zao umeelekeza kuwepo na usiri na kuaminiwa”anasema Dk Mpemba.
Mkuu wa Kitengo cha Utafiti wa Tiba za Asili wa Taasisi ya Utafiti wa Tiba nchini NIMR, Dk Hamis Malebo, alisema Nimr inaufahamu mmea huo, na kuthibitisha uwezo wake wa kufanya kazi
Alisema mmea huo kisayansi unaitwa Kigelia Africana na unapatikana katika maeneo mengi ya Afrika.
“Kuna magonjwa mengi sana ya zamani na yaliyoendelea kuibuka kwa sasa, kuna magonjwa yanayosababishwa na unywaji na ulaji mbovu, dhambi na ukosefu wa mazoezi, ili kuepusha gharama ya magonjwa haya Serikali inatakiwa kuwekeza elimu kwa jamii,”alisema Mwilongo.
Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili unaonyesha kuwa mti huo umekuwa ukitumika kwa miaka mingi, ambapo baadhi ya wazazi ama vijana binafsi huamua kwenda kwa wataalamu wa tiba za asili na kupatiwa huduma hiyo baada ya kubainika kuwa maumbile yao kuwa madogo isivyo kawaida.
Mti huo pia unaelezwa kutumika kuponya wazee ambao viungo vyao vimepoteza uhalisia wake pamoja na kutibu ugonjwa wa kuziba njia ya haja ndogo, ukipata umaarufu katika maeneo ya Wilaya za Handeni, Kilindi na Bagamoyo mkoani Pwani,ambapo hupatikana zaidi maeneo ya mabondeni.
Mizizi, matunda, mbegu za matunda, magamba ya mti na majani vyote hutumika kama dawa na ch
Karibu kila sehemu ya mti huu hutumika kama tiba asili, kwa mfano kulainisha chakula, kutibu kushindwa kupumua, kutibu majeraha na maradhi ya ngozi.
Utafiti wa mti huo katika kutibu bakteria, fungasi na uvimbe unaendelea kufanyika katika nchi za Korea, Japan na India.
Ushuhuda
Mimi naetoa tiba hiyo ya asili wilayani Handeni Mkoa wa Tanga, nikkifahamika kwa jina la Dr. muksin ababi, nimetumia tiba hyo kutibu watu wengi mno wakiwamo vijana na wazee kutoka ndani na nje ya wilaya hii, waliohitaji kuimarishwa nyeti zao.
Mwenyekiti wa Chama cha Waganga wa Jadi (MACO) wilayani Handeni, anafafanua kwamba, kwa kutumia dawa hii , nyeti hukua kwa haraka katika muda usiozidi mwezi mmoja, kutokana na tunda la mti huo kukua haraka sababu kapelekewa dawa na kuipitisha dawa hii kama ya asili na isiyo na madhara kutumika apa handeni.
“Hilo jambo ni la kweli wengi ninaowatibu wana tatizo uume ni mdogo, na wengine nao ni wazee Kwa Vijana ambao wanaona mabadiliko katika sehemu hizo kwa kuwa ndogo, tofauti na awali, kama hajazaliwa hvo yamepungua sababu ya kujichua, lishe duni, ama stress nawasaidia sana kuyakuza kwa dawa hii
NB: KWA MAHITAJI YA DAWA AMBAYO TAYAR KWA MATUMIZI NIACHIE UJUMBE WATSAP
PIGA/WATSAP +255674665883
GHARAMA YA DAWA YA MVUNGE NI TSH 70,000/=
NB: NAKUPA WARRANT KABISA UHAKIKA ASILIMIA MIA
KAMA UNAKOSA NGUVU ZA KIUME NA KUWAHI KILELENI NA KUSHINDWA KURUDIA DAWA IPO MATATA SANA BEI ELF 60,000/=
ACHA KUTESEKA TANGA HAISHINDIKANAGI LOLOTE
ANDIKA “ MVUNGE UPO” NITAKUJIBU HAR 0674665873
23
13
3