Tatizo la maumbile madogo (micro penis) linatibika?

Mathias_95

Member
Apr 17, 2021
26
80
Wanajukwaa naomba kuuliza tatizo la maumbile ya kiume madogo isivyokawaida kwa mtu mzima linatibika? (Na nitafurahi kama nitapata pia briefing za namna yakupata tiba).

Ama mtu akizaliwa hivyo ndo ishatoka (mpaka atakufa bila kuwa na familia)?

Ni ishu serious sana naomba msaada.

Kwa mwenye msaada serious aje PM tafadhari
 
Micro = inaonekana kwa darubini tu. Kweli hiyo?
Wanajukwaa naomba kuuliza tatizo la maumbile ya kiume madogo isivyokawaida kwa mtu mzima linatibika? (Na nitafurahi kama nitapata pia briefing za namna yakupata tiba).

Ama mtu akizaliwa hivyo ndo ishatoka (mpaka atakufa bila kuwa na familia)?

Ni ishu serious sana naomba msaada.

Kwa mwenye msaada serious aje PM tafadhari
 
Katika safari hii ulioianza utakaribisha fedheha, matapeli, matusi na kejeli.

Hicho kiungo ni sehemu ya mwili kama ilivyo mkono au miguu kama amabvyo huwezi kuongeza urefu wa miguu au mikono ndivyo ambavyo huwezi kuongeza hicho ulichoumbiwa.

Jambo la kwanza unatakiwa kulipokea hilo jambo kama sehemu ya maumbile yako na ujifunze namna ya kuishi na hali hiyo vinginevyo utajiweka kwenye mtego wa matapeli na walaghai.

NB;
Ukubwa au udogo wa bolt unategemea na ukubwa wa nut kila bolt imetengenezwa kwa nut yake jiamini.
 
Kasema 2 inches hapo juu
Duh.. Kesi yake ni nyingine.
Uku niliko na kutana na mabongo mengi ya penis enlarge in 3/days .. Na namba za simu wanaweka.
Ni kutana na ilo bango nitapiga picha niweke kwa huu uzi wake
 
Duh.. Kesi yake ni nyingine.
Uku niliko na kutana na mabongo mengi ya penis enlarge in 3/days .. Na namba za simu wanaweka.
Ni kutana na ilo bango nitapiga picha niweke kwa huu uzi wake
Wapi uko (mkoa gani)? Make wengi wanakuwa waongo tu inshort n kazi kweli kupata dawa ya kukuza maumbile(sjui Kama zipo za kweli)
 
Wapi uko (mkoa gani)? Make wengi wanakuwa waongo tu inshort n kazi kweli kupata dawa ya kukuza maumbile(sjui Kama zipo za kweli)
Najua ni wapigaji kama wapigaji wengine..
Ila uchache wa siku za kusubili matokeo unafanya ni hisi uenda Kuna kitu cha zaida nje na mashaka yangu dhidi ya madai Yao.
 
Kuna mti au mmea kuanzia shina mpaka majani yake ni utomvu mwanzo mwisho.

Ukipaka utomvu wake, utapata maumivu makali sana na uume utavimba. Hautawahi kusinyaa japo maumivu yataisha
 
Back
Top Bottom