Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

Tafuta bilinganya egg plant kwa kizungu zipike kama mboga ya kawaida au uchemshe kama unaweza kunywa na kula tunda lake yaani huo usingizi kama wote au nitafute inbox tuongee zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kamanzi kamewah kunishaur hii kitu ila sikukaamin maana kalikua kazuri mno kujua uganga hili janga mmi ninalo for ages usingiz napata asubuh asee kuamka inakua mbinde hii hali ikiendelea ivi uwezekano wa mimi kua don unatoweka inabak ngekewa na kudra
 
Bilinganya hizi za kupikia mchuzi au?

Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1060097
Screenshot_2019-04-01-15-07-19.png

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumzi huwa inabana nashtuka kutoka usingizini,nimebadilisha ratiba ya kulala siku hizi.Najitahidi mpaka saa tisa usiku ndipo naweza lala bila shida mpaka asubuhi .

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kuvuta hewa ndani na nje na unapovuta ndani kaa kama sekunde kidogo ili iingie halafu itoe na vuta tena we call it breath in breath out. One type of meditation. Jaribu halafu inategemea ni imani gani kama mwislam chukua ile tasbihi na ifuatilizie bila kuwaza, kama mkatoliki sali Rosali bila kuwaza, kama dini nyingine sijui ila zile tasbihi huwa zinakutoa kwenye mawazo mwngine una concentrate kwenye hilo tu.That is meditation. Naongea kutokana na mimi nina tatizo hilo hivo huwa nafanya hivyo na nashtukia nina rosari huku nilishasinzia zamani. It works. Maji, breath in and out and prayers even if you do not mean it or beleave sababu that is another therapy.
 
Nilipata tatizo la Insomnia baada ya kuanza kutumia dawa fulani nilizopewa. Dawa zile ni combination ya Cipro na Tinidazole.

I can tell you, nilipitia siku 5 zenye ugumu na mateso. Najaribu kulala ila siwezi hata nifanyeje. Nashitukia tu asubuhi imefika na sijalala.

Tatizo liliisha lenyewe baada ya kusitisha dozi, now nalala kama kawaida tu.

Insomnia inaweza kutibika kwa njia za kitaalamu, yaani kwa kupewa madawa yanayokusaidia u relax na kulala. Lakini pia inaweza kutibiwa kwa kufanya lifestyle changes...eg kuwa na muda maalumu wa kulala, mazoezi, kupata mwanga wa jua, mahali unapolala pawe na hewa ya kutosha, muda wa kulala ukitimia kaa mbali ni vitu vinavyoweza kukufanya uchelewe kulala, eg Simu, lap top, Tv n.k
 
Mimi nahisi issue yangu sio insomnia labda moyo hauko sawa,mpaka nikifanya check up kubwa ndipo nitakua na amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana JF, Sometimes huwa natamani kulala mapema ili nipumzishe mwili wangu kwa muda mrefu kama inavyoshauriwa kiafya au kuna wakati mchana natamani kulala ila sipati usingizi na inanikeraga, sasa nauliza kama kuna dawa (miti shamba au synthetic drugs) mnazozijua au hata mbinu za kufanya nipate Usingizi kwa haraka japokuwa nilishawahi kugoogle nikaona moja inaitwa sleep spray ila nadhani kwa bongo ni ngumu kupatikana au delivery inaleta complications kwa watu wa huku interior.
Naombeni ushauri wenu

I am looking forward to the best of your support!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom