Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

Pia jaribu kutafuta msaada wa kiroho mkuu naamini hakuna linalomshinda Mungu kama unaamini hivyo ni mara mia zaidi ya hospitali na utapona kabisa
 
Ndio mkuu.mwanzo nilikuwa na tatizo la pingiri zangu za uti wa mgongo zimepishana lilipo malizika ndo tatizo hili la kukosa usingizi lilipoanza.na sasj limekuwa serious zaidi.

Mr lover lover toa uvivu uende hospitali ukaelezee tatizo lako!
Na usiache kuwahabarisha kwamba umepata hilo tatizo baada ya kutibiwa mgongo!
 
Mr lover lover toa uvivu uende hospitali ukaelezee tatizo lako!
Na usiache kuwahabarisha kwamba umepata hilo tatizo baada ya kutibiwa mgongo!

Nimetoka hospital ya regence tarehe tano mwezi huu nimejieleza yote haya ninayokwmbia na wamenipima but hakuna kilichoonekana rafiki yangu.
 
Nimetoka hospital ya regence tarehe tano mwezi huu nimejieleza yote haya ninayokwmbia na wamenipima but hakuna kilichoonekana rafiki yangu.
Je unachoka na kuumiss usingizi?
kama hauchoki piga kazi usiku na mchana.
 
Dah, pole sn.

Hilo tatizo ni serious kwa kweli. Fanya any means ulipatie ufumbuzi. Iwe wa kihospitali au maombi otherwise unaweza kudata.

Mungu akuwezeshe kutatua hilo tatizo. Amen
 
hapana ndugu,mimi sio mlinzi.ila hili tatizo linaninyima raha sana.na kila mtu ninayemwambia anaona ni tatizo ni jipya kabisa.

Pole sana nenda hospital ukiona vp hawaeleweki tafuta mganga wa kweli unaweza kua na jini
 
yaani hujawai kulala kivipi? maana mie ni popo mwenzio ila natumia masaa machache kwaajili ya ndoto.
 
Pole sana kaka umejaribu kufanya mazoezi sana ili mwili uchoke uweze kulala? Kuna mtu pia ni kitambo sana aliwahi kusema hapati usingizi wakamshauri na baadhi ya vyakula anavyopaswa kula ungefuatilia nyuzi za zamani kuhusu tatizo la usingizi.
Pia mshirikishe Mungu hili jambo maana litakuletea matatizo usingizini muhimu kwa kila kiumbe.
 
Au inawezekana unawaza sana mambo yako ikifika usiku?Maombi ni muhimu
 
kuna jamaa namfahamu hakulala miaka 3,alikuwa akijaribu kufumba macho jamaa refu linasimama mbele yake alipoombewa alianguka chini akapata usingizi hapo hapo amepona mpaka sasa yuko sumbawanga.jaribu kuombewa.
 
pole sana..nenda hospitali wakufanyie uchunguzi
 
MziziMkavu ebu njoo huku kuna mdau ajapata usingizi tangia bush alipokanyaga bongo kwa mara ya kwanza. Ushauri plz.
 
Last edited by a moderator:

Pole Sana mkuu!!
Kukosa usingizi kwa 6yrs lazima hata afya imedhoofu kabisa.

Hapo kwenye kurukwa na akili ndo sijakuelewa kaka,Ni dalili zipi hasa zinakufanya ujue zimeruka?

Jaribu kufuata ushauri wa wadau hapo juu especially ule unaofaa.

Pole Sana kiongozi!!
 
Habari zenu wakuu,

Mimi nina tatizo la kukosa usingizi tangu mwaka 2008, namaanisha sijawahi kulala kabisa na sasa naanza kupata tatizo nakuwa kama narukwa na akili.

Naombeni msaada wenu tafadhali.
Umetumia dawa gani mkuu na dosage gani?Dawa karibia zote za ugonjwa wa usingizi zinasababisha unakuwa addict,Ukitumia kwa muda mrefu unakuwa hulali bila kuzila na huwezi kuziacha.
 
Tatizo humu ndani watu wanatoa majibu rahisi kwa swali gumu!seriously hili ni tatizo kubwa mno kuliko wengi wanavyodhani ni joke!Nliwahi kuona mwaka juzi 2012 kuna baba mmoja Marekan alikua anaelezea jinsi anavyosumbuka hajawahi kulala since sept 11 katika ule mlipuko wa WTC !Jamaa ukimuona amelemaa kabisa amepata uweusi kuzunguka macho rangi ya mwili imechange yaani its wierd kwakweli,hilo tatizo lipo ndugu yangu na lazima kutakua kunakitu kilienda kudisturb mambo huko kichwani,seriously you need help sio suala la kupuuzia hilo,akili lazima iruke maana haipumziki.
 
Huu ni uongo kabisa,ungekuwa ushakufa after 6 month ya kukosa usingizi kabisa so labda useme tatizo lingine na ukiendelea hivyo likelyhood ya kuwa chizi ni kubwa,nenda hospitali haraka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom