Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

Habari zenu wakuu.mimi nina tatizo la kukosa usingizi tangu mwaka 2008.namaanisha sijawahi kulala kabisa.na sasa naanza kupata tatizo nakuwa kama narukwa na akili.naombeni msaada wenu tafadhali.

Mkuu utakuwa umerithishwa uchawi na mababu.kwahiyo inatakiwa ukawange usiku kisha urudi umechoka ili ulale.
 
Mmmh ukilala hupati usingizi kabisa?? Na je ulishajaribu kutumia dawa za usingizi au kwenda hospitali?

Mkuu sijawahi kulala tangu mwaka huo.dawa za usingizi nimetumia sana na naona tatizo linazidi kuongezeka zaidi.kwani zilinifanya mpaka nakosa nguvu kabisa.in short hakuna dawa ya usingizi ambayo sijawahi kumeza.
 
Huo ni uongo. Hilo la kurukwa akili ndio jibu sahihi.
 
Kama umerukwa na akili mh! Nahisi hata hapa umeandika uongo
 
Habari zenu
wakuu.mimi nina tatizo la kukosa usingizi tangu mwaka 2008.namaanisha
sijawahi kulala kabisa.na sasa naanza kupata tatizo nakuwa kama narukwa
na akili.naombeni msaada wenu tafadhali.
Nahisi una majini
 
Kajitahidi kutafuta ma specilist mkuu. Ila ni mara yangu ya kwanza kusikia hili tatizo aisee
 
Pole sana mkuu. Binafsi lishawahi kunitokea but ilikuwa kwa mwaka mmoja (2010-2011) na tatizo kuu lilikuwa ni nguvu za kishirikina kutoka kwa x-wangu alekuwa analazimisha ndoa. Matukio yalokuwa yanatokea Ilikuwa kama movie za kinigeria. I never slept.

Mwanamke kama huna mpango nae, mwache aende zake.
 
Mkuu sijawahi kulala tangu mwaka huo.dawa za usingizi nimetumia sana na naona tatizo linazidi kuongezeka zaidi.kwani zilinifanya mpaka nakosa nguvu kabisa.in short hakuna dawa ya usingizi ambayo sijawahi kumeza.

Mmh!
Sasa umeanzaje kutumia madawa bila ya kupata ushauri wa daktari?

Na jee unakumbuka siku mwisho kupata usingizi na siku ya kwanza kukosa usingizi ilikuwaje?
 
Mmh!
Sasa umeanzaje kutumia madawa bila ya kupata ushauri wa daktari?

Na jee unakumbuka siku mwisho kupata usingizi na siku ya kwanza kukosa usingizi ilikuwaje?

Ndio mkuu.mwanzo nilikuwa na tatizo la pingiri zangu za uti wa mgongo zimepishana lilipo malizika ndo tatizo hili la kukosa usingizi lilipoanza.na sasj limekuwa serious zaidi.
 
Pole sana mkuu. Binafsi lishawahi kunitokea but ilikuwa kwa mwaka mmoja (2010-2011) na tatizo kuu lilikuwa ni nguvu za kishirikina kutoka kwa x-wangu alekuwa analazimisha ndoa. Matukio yalokuwa yanatokea Ilikuwa kama movie za kinigeria. I never slept.

Mwanamke kama huna mpango nae, mwache aende zake.

Pole sana ndugu mwakibete ulitumia njia gani kulimaliza tatizo lako?
 
Kajitahidi kutafuta ma specilist mkuu. Ila ni mara yangu ya kwanza kusikia hili tatizo aisee

Sio wewe tu,hata madaktari bingwa wa magonjwa ya ubongo wamekuwa wakishangaa sana,wamezoea kusikia mtu ana kosa usingizi wa kutosha tu,ila sio kuukosa kabisa.
 
Kwa hiyo mkuu huwa unakesha kabisa?? Yani hupati hata tone??
 
Kwa hiyo mkuu huwa unakesha kabisa?? Yani hupati hata tone??

Ndio mkuu yaani hata lepe,mimi huwa nakesha siku zote tangu kipindi hicho.najua ni ngumu sana kuamini au kuelewa ila sijawahi kulala kabisa,yaani kabisa hata kidogo tangu mwaka 2008.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom