Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

Kama walivyoshauri wengine hata mimi nilikuwa na tatizo hilo nilichofanya nilihakikisha nafika nyumbani nikiwa nimechoka(nilitembea kwa miguu km 4 kila siku jioni.Vilevile ukitaka kuapata matibabu njoo EMAUS Ubungo nyuma ya stand ya mkoa,ukisifu na kuabudu kwa nyimbo na sala usiku utalala vizuri.AMINA
 
Kifuatacho sasa ni kujaribu kubadili mfumo wa maisha yako, inaonekana unawaza sana negative ndio maana unapatwa na hasira na kuona kama kila kitu hakiendi sawa. Kushindwa/kutofanikiwa ni sehemu ya maisha, hata vitabu vya dini vinasema TUSHUKURU KWA KILA JAMBO. Kama hukufanikiwa kwa kile ulichokuwa unatarajia haiimanishi ndio mwisho wa maisha, think positive na maisha yaendelee. Fanya mazoezi ili kuchosha mwili, angalia hata sinema nzuri nzuri sio za kutisha, toka nenda jichanganye na watu etc.. zaidi ya hapo tafuta mtaalam wa saikologia akushauri. Tatizo lako ni la ki saikologia zaidi. Kila la kheri
Asante mkuu. Kwa hali ya kawaida mimi hua very positive na maisha. Naona askari kanzu kanishauri nipige meditation, that much I do. Kwa kweli ukiniona nimebadilika kiasi sababu ya tatizo hili. Cha kusikitisha zaidi ni kwamba sioni kama nina tatizo kubwa maishani mwangu la kunipelekea kukosa usingizi. Nitajaribu kunywa kikombe cha maziwa ndani asali, ikibidi niongeze mdalasini na jioni jioni nifanye mazoezi. kwa kweli nisipo pata usingizi itabidi nirudi kwa daktari.
Shauri la kugonga/kugongwa sio mbaya ila nadhani sipo comfortable sana na tiba hiyo (asanteni lakini kwa ushauri)
 
Asante mkuu. Kwa hali ya kawaida mimi hua very positive na maisha. Naona askari kanzu kanishauri nipige meditation, that much I do. Kwa kweli ukiniona nimebadilika kiasi sababu ya tatizo hili. Cha kusikitisha zaidi ni kwamba sioni kama nina tatizo kubwa maishani mwangu la kunipelekea kukosa usingizi. Nitajaribu kunywa kikombe cha maziwa ndani asali, ikibidi niongeze mdalasini na jioni jioni nifanye mazoezi. kwa kweli nisipo pata usingizi itabidi nirudi kwa daktari.
Shauri la kugonga/kugongwa sio mbaya ila nadhani sipo comfortable sana na tiba hiyo (asanteni lakini kwa ushauri)

Kuwaza sana kwa nini hupati usingizi ni tatizo pia.. So relax.. sometimes huwa inatokea tu unakuwa hupati usingizi bila sababu ya msingi. Sasa usijiulize sana kwa nini hupati usingizi. Kujiuliza sana kunasababisha ushindwe kupata usingizi kabisaaa.. so relax usingizi utajileta wenyewe!
 
Jackson k
Mawazo ya kwamba unywe piriton ni ya upotoshaji.Kwa dozi gani? Hadi lini? Mimi ninafikiri onana na daktari face to face ili umweleze kwa kina na utakusaidia tiba inayostahili,kwa dawa,vyakula au ushauri.
 
Hamjambo wana JF

Ningependa kupata ushahuri toka kwenu. Kwa almost mwezi mmoja sasa mwenzenu sipati usingizi. Ulianza kupotea mwezi wa tatu kati kati nilipoanza competition fulani kubwa tu. Nilifikiri ni uoga wa competition na nikapuuza. wakati huo nilikua nalala kwa saa 1 ao 2, alafu usingizi unakata, naupata tena asubuhi mapema. :frown:
Baada ya wiki 2 matokeo yakatangazwa na nikadhani nitapata usingizi ila ndio ikawa mbaya zaidi. Sasa silali kabisa, mchana nashindwa ku-concentrate kwa kazi yangu, nakua na hasira. Usiku nikilala ni dakika chachetu alafu najigeuza usiku kucha. Sasa hivi nimefikia hatua mbaya: sitaki kuona mtu, usiku ukija nakua na hasira na nadhani imeanza ku-affect personal relation yangu. :angry:

Kama kuna mtu ana idea yoyote naomba msaada coz kinacho fata hapa ni kuomba leave nika jifungie chumbani hadi usingizi utakapo patikana. Asanteni kwa msaada.

Dada pole na matatizo.. nimesoma thread zote sijaona hata mmoja kazungumzia mazoezi ya viungo.. dada sijui wafanya kazi gani.. wengine kazi zao huwa ni mazoezi tosha.. embu anaza nenda mazoezi makali ya viungo.. uchoshe mwili. kula vizuri.. oga ... lala.. then u wil c the results in 3 days
 
Siwezi nunua Piriton bila ordonance. nikiongea na dactari nae anasema nisubiri, usingizi utakuja wenyewe tu. Kuna mtu alinanbia ninywe maziwa ya moto bila sukari jioni but mi sioni itasaidiaje hiyo...

maziwa ni protein tafuta faida zake mkuu,zimenitoka kidogo!!!!!!!!
 
kama walivyoshauri wengine hata mimi nilikuwa na tatizo hilo nilichofanya nilihakikisha nafika nyumbani nikiwa nimechoka(nilitembea kwa miguu km 4 kila siku jioni.vilevile ukitaka kuapata matibabu njoo emaus ubungo nyuma ya stand ya mkoa,ukisifu na kuabudu kwa nyimbo na sala usiku utalala vizuri.amina


nimependa habari ya emaus ,kusifu na kuabudu, nimemiss sana hapo!!!!!!!!
 
Asante mkuu. Kwa hali ya kawaida mimi hua very positive na maisha. Naona askari kanzu kanishauri nipige meditation, that much I do. Kwa kweli ukiniona nimebadilika kiasi sababu ya tatizo hili. Cha kusikitisha zaidi ni kwamba sioni kama nina tatizo kubwa maishani mwangu la kunipelekea kukosa usingizi. Nitajaribu kunywa kikombe cha maziwa ndani asali, ikibidi niongeze mdalasini na jioni jioni nifanye mazoezi. kwa kweli nisipo pata usingizi itabidi nirudi kwa daktari.
Shauri la kugonga/kugongwa sio mbaya ila nadhani sipo comfortable sana na tiba hiyo (asanteni lakini kwa ushauri)


ANGALIZO, sio madactari wote wanaweza tibu tatizo lako,pia usiegemee vidonge sana.
 
How To Treat Insomnia : Chronic Insomnia

Many factors contribute to the installation of a serious sleep disorder such as chronic insomnia, there are physical as well as psychological issues that need to be taken into consideration for the proper treatment of this health problem. Chronic insomnia affects people of all ages, and research indicated alarmingly high numbers of people who suffer from it because of daily stress and depression. Among the physical triggers behind the affection we could count asthma, heart failure, Parkinson's disease or the restless legs syndrome, to mention just a few. Moreover, most people who suffer from painful health problems like arthritis are more prone to developing chronic insomnia.

Despite the physical element behind the affection, stress, improper sleep-wake cycles, caffeine abuse and depression are among the most common elements that need to be tackled with in order to treat chronic insomnia. Once the underlying factor has been identified, a proper treatment or therapeutic scheme can be created to help people resume a good night's rest. Though the first and probably most easy to use type of treatment involves the administration of sleeping pills. What most people fail to take into consideration here is the fact that such chemical substances that induce sleep cannot be taken indefinitely, and without a real solution to the problem, chronic insomnia will keep bothering them after treatment cessation.

If stress is the main element that prevents you from having some quality sleep over night, you need to find ways of limiting the anxiety caused by daily work duties. Presently there are actually hundreds of available solutions to help one eliminate chronic insomnia by means of relaxation techniques. It is ideal to actually achieve a good state of mind during the day, which means the elimination of stress as it tries to take control over you. Though it may seem difficult at the beginning, stress management can be achieved by an increased self-awareness; the moment you feel very tense, try to empty your mind of all thoughts and breathe deeply several times.

Relaxation is the great enemy of chronic insomnia; the moment you come in control of your thoughts, and you make silence inside of your mind, you'll be able to sleep like a baby. Once you get home from work, stop thinking about all the problems you had during the day; focus on family, friends and personal well being. Sport can be a great help in the attempt to stop chronic insomnia, physical exercises actually free both the mind and the body from the toxins resulting from stress or negative thinking. Relaxation music, breathing techniques, sport, aromatherapy are all great ways of fighting chronic insomnia regardless of its generating factors.
 
Pole bibie kwa Ukosefu wa Usingizi jaribu Dawa yangu hii ( Chemsha Glasi Moja Maziwa ya Ng'ombe Fresh kisha Uchanganye na Kijiko kikubwa cha kulia chakula Asali Safi mbichi ya nyuki uwe unakunywa kila usiku wakati unapotaka kulala basi kwa uwezo wake Mwenyeezi Mungu utapata usingizi mnono nakutakia mafanikio mema
 
Unachotakiwa kufanya nunua Bio disc kutoka kampuni ya QNET LTD websiteb yao ni QNet | Direct Selling - Home. SOMA BIOENERGY PRODUCTS AMA Amezcua
Kupitia kifaa hiki utaweza kujitengenezea bio water halafu unywe. Pia hii ni business opportunity nzuri kwako. Kama uko serious nitumie private email yako na namba za simu nikuelekeze zaidi. Kutolala ni kitu kibaya utaharibikiwa kiafya. Hata mimi nilikuwa hivyo baada ya kutumia biowater nalala kama mtoto mchanga.
UNIQUE
 
Nataka kuwashukuru wote waliochangia hii threads. NIlipewa kadawa fulani, disign yake kama Dipiron ila ni nyepesi zaidi na haiitaji Ordonance. Mwanzo nilimeza kamoja kila siku saa 3 na nikawa nalala vizuri. sasa nakunywa kamoja kila baada ya siku 2 ao 3. Nimeambiwa kanasaidia kurudisha usingizi wa kawaida baada ya kutumiwa kwa muda kidogo (kuhepuka u-teja).
Kwa mara nyingine tena asanteni sana wote.:smile-big:
 
tafuta asali mbichi yenye masaga,tafuta na maziwa fresh ambayo hayajachanganywa na maji,kila grass 1 ya maziwa changanya na vijiko 3 vya asali kologa kunywa,asubuhi na jiono kwa muda wa siku 7 nadhani itakusaidia.

kabla ya kulala ukipata hyo nakwambia ucngizi utapata labda uwe mkono wa m2 au una mawazo mengi
 
Wana Jf leo jirani yangu amekuja kuniomba ushauri afanyeje ni wa makamo 51yrs. akaniambia anamiaka minne sasa analala saa limoja tuu usiku na mchana anafanya kazi nzito ofcourse ni dereva. lakini usiku halali.
Alishashauriwa na Dr akaange biringanya na mayai ya kienyeji ale kwa wiki moja akafanya hivyo akawa anapata usingizi lakini mda wa dozi ulivyoisha tuu mambo yakawa yaleyale.
Nimeona nivizuri nikalileta humu wataalam mnisaidie kunipa ufafanuzi na ushauri coz hata mimi sielewi.
Thanks
 
mmmh! jamani usingizi ni kitu muhimu sana ktk maisha ya kibinaadamu na kinyama! mpe pole wapo wataalamu watamsaidia!
 
kuna dereva taxi mmoja mtaani nilidhani kazaliwa mwaka 1943 kuna siku kalewa akanionyesha ID yake kumbe kazaliwa 1981 nilichekaaa nikamuuliza kulikoni akanambia hajawahi kulala toka amalize form 4 i swear ukimtazama unaweza ukamwamkia..kisa usingizi... huyo jirani ana mke kweli???
 
Hata mimi kuna wakati nilikosa kabisa usingizi ila umerudi sasa, namshukuru Mungu. Mwambie ajaribu kulala kila siku at the same time na anywe kikombe cha maziwa ya vugu vugu saa 2 au saa 3. Kama ataweza atafute chai yenye "camomille" ndani, inasaidia pia.

Ila miaka 3 naona ni nyingi mno, maybe anatakiwa kuonana na daktari atakae kua kidogo more serious, ampe ma lexotan na valium kwa muda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom