Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

naendelea kuwasubiri hao wataalam waweze kunidadavulia....
 
nnunu

Jinsia yako tafadhali tukusaidie.

Inawezekana una wageni wanaokutembelea usiku bila kufahamu tupatie jinsia yako ww ni she au he?
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana ni swala la kisaikolojia zaidi!Kama ambavyo kuna watu bila kuoga hawawezi kulala!Unakua umejizoesha kitu mpaka usipokifanya unaona bado kuna kitu hakija kaa sawa na akili yako inakataa kuikubali hali hiyo!
 
Mpasua majipu, nahisi ulikuwa na haraka wakati wa kuisoma,,utasemaje nieleze jinsia yangu kama ni she / he,,,ikiwa nimesema kabisa mi ni MAMA???,, kuna MAMA HE kweli??.....jaribu kuipitia kwa umakini utaielewa.

LIZZY asante kwa comment yako nimekuelewa....yawezekana ni kweli....nakuwish wkend njema eeh...
 
Umesema wazazi waligundua hilo tatizo tangu ulipozaliwa, ina maana wao ndio walikujengea huo utaratibu. Inawezekana walifanya hivyo kwasababu imani yao iliwatuma hivyo.
Nafikiri ni suala la imani tu ambayo ishajijenga.
 
Jinsia yako tafadhali tukusaidie.
Inawezekana una wageni wanaokutembelea usiku bila kufahamu tupatie jinsia yako ww ni she au he?[/B]


Samahani Mkuu, angalia neno la tatu la post yake. Hapo amejieleza kuwa yeye ni mama.
 
Mawazo ya Lizzy ni sawa kabisa. Kama lingelikuwa suala la kiafya ya mwili, kwa nini iwe mafuta mazito tu? Ingawaje naamini kuwa kujipaka mafuta kabla ya kulala kunaweza kuifanya ngozi kuwa laini na kuruhusu respiration ya ngozi, lakini haina uhusiano wa moja kwa moja na usingizi. Hebu jaribu mafuta laini kwa muda itakuwaje!

Ikiwa utapata usingizi kwa mafuta laini, ondoka hatua hiyo uanze kujipaka maji.... kidogo kidogo huenda baadaye ikawa si lazima.

Pole sana
 
Last edited by a moderator:
naendelea kuwasubiri hao wataalam waweze kunidadavulia....

Kha yaani usipo paka no usingizi?

Upo maeneo ya baridi ay ya joto?

Yawezekena umejizoesha hayo mafuta yanageuka kama shuka sasa
 
Inawezekana ni swala la kisaikolojia zaidi!Kama ambavyo kuna watu bila kuoga hawawezi kulala!Unakua umejizoesha kitu mpaka usipokifanya unaona bado kuna kitu hakija kaa sawa na akili yako inakataa kuikubali hali hiyo!

Mi nikilala bila kunywa sipati usingizi, hata kama naumwa lazima nishtue Valuu na mix na glucose alafu maziwa kwa mbaali.
 
ha ha ha ha FIDE umenichekesha eti usipokunywa huapati usingizi mmm!! ...MAMMAMIA asante kwa ushauri wako mzuri , ila hiyo ya kupaka maji mmm! sidhani kama kuna utofauti na mtu asiyepaka mafuta,,hilo la usofti ni kweli ksb miguu yangu ni lain sana kiasi kwamba ikitokea nimetembea bila viatu (mfano nikienda kijijini kusaidia kazi za shamba ) basi unyayoni yanatokea malengelenge ila inakuwa siyo issue kubwa kwa 7bu naenda kwa muda mfupi so nikirudi mjini napona...ila naamini kuwa ni la kisaikolojia zaidi ndiyo maana nisipopaka sipati usingizi,,,kwa vile halina madhara wala halinikeri basi ntaendelea tu kupaka,,ila niliuliza nikidhani labda usingizi na mafuta labda kuna uhusiano wowote kitaalam...

FIDE, mimi napaka mafuta sehemu zote iwe sehemu ya baridi au joto ni lazima nipake,,na sipaki mengi kama unavyofikiri kuwa lada naweza kutumia kama shuka ,,napaka kawaida tu kama apakavyo mtu yoyote mradi yafike mpaka unyayoni.

ASANTENI SANA WOTE KWA MAJIBU YENU YOTE MAZURI........MUNGU AWAZIDISHIE HEKIMA, BUSARA NA MAARIFA ZAIDI.
 
MZEE WA RUBISI sijakuelewa hata kidogo kwani.....SWALI LANGU LINAHUSIKA VIPI NA KUOA AU KUOLEWA?????,, hapo naona umetoka nje ya mada,,,,,,kama haujaelewa swali langu basi jaribu kusoma ushauri mzuri walioutoa LIZZY NA MAMMAMIA halafu naamini utaelewa........pole kwa kutokuelewa vizuri, pia samahani kama lugha niliyotumia kwenye swali langu ni ngumu kwako....
 
Hamjambo wana JF

Ningependa kupata ushahuri toka kwenu. Kwa almost mwezi mmoja sasa mwenzenu sipati usingizi. Ulianza kupotea mwezi wa tatu kati kati nilipoanza competition fulani kubwa tu. Nilifikiri ni uoga wa competition na nikapuuza. wakati huo nilikua nalala kwa saa 1 ao 2, alafu usingizi unakata, naupata tena asubuhi mapema. :frown:
Baada ya wiki 2 matokeo yakatangazwa na nikadhani nitapata usingizi ila ndio ikawa mbaya zaidi. Sasa silali kabisa, mchana nashindwa ku-concentrate kwa kazi yangu, nakua na hasira. Usiku nikilala ni dakika chachetu alafu najigeuza usiku kucha. Sasa hivi nimefikia hatua mbaya: sitaki kuona mtu, usiku ukija nakua na hasira na nadhani imeanza ku-affect personal relation yangu. :angry:

Kama kuna mtu ana idea yoyote naomba msaada coz kinacho fata hapa ni kuomba leave nika jifungie chumbani hadi usingizi utakapo patikana. Asanteni kwa msaada.
 
Siwezi nunua Piriton bila ordonance. nikiongea na dactari nae anasema nisubiri, usingizi utakuja wenyewe tu. Kuna mtu alinanbia ninywe maziwa ya moto bila sukari jioni but mi sioni itasaidiaje hiyo...
 
Back
Top Bottom