kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,580
- 18,952
Aisee,Wa Mkoani mkija Dar mnatabu kweli.
Yaani siku mbili tu unapiga kelele kama vile umeme ulizaliwa nao
ni miongoni mwa watu waajabu sana wewe....
Aisee,Wa Mkoani mkija Dar mnatabu kweli.
Yaani siku mbili tu unapiga kelele kama vile umeme ulizaliwa nao
Nani anatak kura yako?
Nani anatak kura yako?
Hivi kunahaja gani kuiweka madarakani serikali kama hii ya ccm?miaka nenda rudi tatizo la umeme imeshndwa kulitatua ikiwa na nchi yenye kila aina ya kipato kutokana na rasilimali lukuki tulizo nazo!!??
Nasema haya,kwa sababu,mimi ni mfanyabiashara wa samaki wabichi kutoka mwanza,umeme umekua ukikatika toka mwanzoni mwa wiki hii na ni kwa zaidi ya masaa 7 hapa dar,na tena bila taarifa yoyote kwa sisi wateja wao (ambao hata hivyo wanatuuzia umeme bei aghali sana),
Kukatika huku kwa umeme kumepelekea mimi kupata hasara ya zaidi ya sh milion 2,baada ya kiasi kikubwa cha mzigo nilioagiza kuharibika/kuoza.
Kwa mchana nimekua nikitumia generator kuendesha ma freezer pindi umeme unapokatika,lakini juzi ilishndikana mana umeme ulikatika usiku kucha na ninapoishi na center ya biashara ni mbali kidogo.
Najiuliza hasara kama hii iliyonikuta,je imewakuta wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo na wakati wangapi?
Pia nakua sio sababu kwann kuichagua serikali hii ambayo imekua ikiwanyonya wananchi wake kwa kila hali na hata kushindwa kuwajali kwa huduma ambazo wamekua wakizilipia kwa bei aghali sana.
Mimi nitaipigia ccmhata mara mbili
Itawaambia "sitawaangusha" cc Magufuli.Kwahivi sasa kuna Mgao wa umeme karibia mikoa yote ya Tanzania ukiondoa Kagera hasa Bukoba na wilaya zake ndo hua hawajui nini maana ya mgao wa Umeme kwani wanatumia umeme wa uhakika kutogka UGANDA....Mgao wa Umeme ni kila Mwaka hivi serikali ya CCM itawaambia nini waTZ hasa ktk kipindi hiki cha UCHAGUZI na ambapo shilingi yetu ikiwa kwenye free fall dhidi yaDOLA , Biashara nyingi zimepungua Uzalishaji ndo usiseme umepungua balaa mabiashara ya wajasiriamali km wasamaki masaloon nk Umeshuka kwa 60%....