Tatizo la kukatika katika umeme kuikosesha kura CCM

Tatizo la kukatika katika umeme kuikosesha kura CCM

I am definitely a Mad Man ikiwa nitaipa kura yangu kwa aliyetawala nchi hii kwa nusu karne na ushee !

Kwa hili moja tu! La UMEME !
Kadhia ndiyo imekua kadhia !
Kukicha kila Mtanzania analia UMEME !

Sina muda wa kutoa defination ya Mad man !
Yamkini staki kuamini kuna mtu above 18 , humu ndani hajui Mad ni nini , naamini asiyejua nae ni Mad man !

Natahadharisha kwamba watoto na wajukuu zetu , watakuja kufukua makaburi yetu , then wachukue vichwa vyetu na kuvipeleka maabara kuvipima ili watambue uwezo wetu wa kufikiri , pale watakapotambua 2015 tulikipa chama cha mapinduzi nchi .
 
IPTL imetuua... na aliye madarakani ndio share holder mkubwa... ref.. Escrow...!!!
 
Nitaitwa Mad man vilevile kama nitamchagua mmoja wa wagombea urais kutoka ukawa ambaye ni mshiriki mkuu katika kusababisha tatizo hili la umeme kwa watanzania na pia aliuza moja ya mgodi na rafikiye.. pia anachangiwa na matajiri kwenda ikulu,,, karibu tuichagie ACT au Fahim dovutwa rais..
 
I am definitely a Mad Man ikiwa nitaipa kura yangu kwa aliyetawala nchi hii kwa nusu karne na ushee !

Kwa hili moja tu! La UMEME !
Kadhia ndiyo imekua kadhia !
Kukicha kila Mtanzania analia UMEME !

Sina muda wa kutoa defination ya Mad man !
Yamkini staki kuamini kuna mtu above 18 , humu ndani hajui Mad ni nini , naamini asiyejua nae ni Mad man !

Natahadharisha kwamba watoto na wajukuu zetu , watakuja kufukua makaburi yetu , then wachukue vichwa vyetu na kuvipeleka maabara kuvipima ili watambue uwezo wetu wa kufikiri , pale watakapotambua 2015 tulikipa chama cha mapinduzi nchi .

Big up man wng, umeongea point mbaya, ccm ikichukuwa nchi hii tn baas ss tutakuwa kichwa cha mwendawazimu kweli na aliyetuchizisha atakuwa kesha kufa. duuuuh jaman kuliko ccm watawale tn bora tz iwe nchi isiyo na uongozi wowote kila mtu aishi kivyakevyake.
 
Tar 24 October narudi nyumbani Mongolia........twende ukatembee...........
Tutapanga next time bibie mana nikishawachinja hawa kijani hiyo tar 25 nakimbilia Kenya mapimzikoni hadi EL atangazwe na masisiem yakipunguza vurugu ndo ntarudi
 
Huku kwetu morogoro mjini sijui vipi yaani pakikucha tu wameshakata wakat mida hiyo ndo shughuli za umeme zinahitajika sana wakirudisha usiku, mi walishaikosa kura yangu long ago!!
 
kasome ripoti ya mwakyembe vizuri na kiundani na shirikisha ubongo wako,,,
Kwa taarifa yako ripoti ya Mwakyembe haikumtaja Lowassa. Acha habari za kusikia. Fuatilia mambo vizuri. Kama unao huo waraka uliomtaja Lowassa, uambatanishe kwenye uzi huu tafadhali
 
Back
Top Bottom