masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,625
- 14,589
Kama umechoka kusubiria umeme ulipo Dar , si ufuate hukohuko Mtwara ujifulie umeme wa kutosha wa gesi?Mkuu watanzania hatutaki porojo, tunataka umeme tuutumie kufanya uzalishaji tulipe kodi nchi iendelee. Hizi stori zenu za megawatt tumezichoka, mnaibia hata wagonjwa?