Tatizo la kukatika katika umeme kuikosesha kura CCM

Nadhan huyu atakuwa ni miongoni mwa wale vijana wa pre-form one wanaosubiria majibu ya drs la 7.

Wewe ni Kula kulala, unahitaji umeme kwa ajili ya kuwashia taa, so huwezi kuona madhara ya wenye nchi kutojadili umeme. Tena ulitakiwa kupongeza mtu wa darasa la Saba kudai umeme maana hakuna uzalishaji bila umeme. Lakini nyie mambulumundu kama wewe usharidhika na Kula kulala kwa shemeji yako kisa tu kamuoa dada yako hujui hata hela anazipataje.
 
Hapa nadhan hujanitendea haki mkuu!mimi sijakuquote wewe,embu rejea post yangu tena mkuu ili unitendee haki
 
Niko Dodoma maeneo ya Kikuyu kwa hivi sasa, ila tangu nifike hapa ni karibu wiki sasa kumekuwa na mgao wa kimyakimya au kwa kifupi tuuite mgao wa "kihuni".

Hii nchi imebakiza kuingizwa sokoni tu.
Ni dhahiri sasa TANESCO wameamua kutuingiza kwenye mgao mwingine, ila hawataki kuutangaza rasmi.

Jana almost Kimara yote haikuwa na umeme kuanzia saa 12 jioni na ukarejea saa 6 usiku.

Hivi leo toka asubuhi hakukuwa na umeme maeneo ya Kimara, Magomeni na maeneo mengi ya City center. Ukizingatia kuwa Profesa Muhongo alishalitangazia Taifa kuwa kutokana na gesi ya Mtwara, tayari ishatinga Jijini Dar, basi tuchukulie suala la mgao wa umeme kuwa ni historia, sasa cha ajabu kabisa ni kuwa licha ya gesi ya Mtwara kuwa tayari ishaingia Dar, vile vile mabwawa yote ya kuzalisha umeme, kama vile Mtera, Kidatu, Kihansi, Nyumba ya Mungu na Pangani, mabwawa yote hayo yamejaa kabisa, kutokana na mvua za masika zilizonyesha sana mwaka huu, kiasi ambacho mabwawa hayo peke yake hivi sasa yanazalisha zaidi ya megawati 1000, ambapo ni zaidi ya mahitaji ya umeme wa nchi nzima, sasa huu mgao wa umeme unaoendelea hapa nchini kimya kimya, umesababishwa na nini?!

Jibu la dhahiri ni kuwa CCM watakuwa wanazisaka kwa udi na uvunba, pesa za kuwahonga watanzania Khanga, fulana na pesa taslimu, ila wawachague tena mwakani, kwenye uchaguzi mkuu, kutokana na pesa 'zikazovunwa' na mitambo ya kukodisha ya kuzalisha umeme, ambayo mingi ya mitambo hiyo 'share holders' wake wakubwa ni hao hao wagombea wa Urais, waliotangaza nia kutoka kambi ya magamba!!
 
Pamoja na kuwa kuna mgawo wa umeme, suala lisilopendeza sana lakini WEWE NI MUONGO.

Data unazotoa ni za kubuni na sababu ni za kimagumashi.
Sasa hivi tunaingia msimu wa kiangazi kwa hiyo haiwezekani kabisa kuwa mabwawa ysmejaa maji kwa asilimia mia moja.

Nikupe nukuu ya installed capacity power generation ya TANESCO, wewe unasema ni 1000MW, wakati ukweli ni kwamba hauzidi 561MW Nchi nzima kwa hydro power production.
Fuatilia nukuu toka web page ya TANESCO.....

"GENERATION
TANESCO's Generation division is responsible for all power generation functions owned by TANESCO. Other sources of generation are from independent power producers (IPPs) which feed the National grid and isolated areas as well.

TANESCO's generation system consists mainly of Hydro and Thermal based generation. Hydro contributes 57 % of total power generation from january 2012 up to december 2012.Gas and Thermal contributed the remaining amount. During the year 2012(Jan to Dec 2012) the total units generated to the grid and isolated plants was 5,759,756,313 kWh or units.TANESCO own generation was 3,110,436,062 kWh while the imports from IPPs and neighbour countries (Uganda and Zambia) were 2,649,320,551 kWh.

TANESCO operates own hydropower generating stations interconected to the national grid system.The installed capacity is; Kidatu 204 MW;Kihansi 180 MW;Mtera 80 MW; Pangani 68 MW;Hale 21 MW;Nyumba ya Mungu 8 MW and Uwemba 0.82 MW totalling 561 MW of hydro generation.

In recent years TANESCO has impleted a thermal hydro power generation mix programme. A substantial amount of generation comes from gas and diesel thermal generation through own plants and independent Power Plants (IPPs). Own thermal generation comes from the Dar es Salaam-based Ubungo gas based 100MW plant,Tegeta 45MW which was commissioned in December 2009 and Ubungo || Gas Plant which was commissioned in July 1st,2012 by Hon.Prof Sospeter Muhongo (MP),Minister for Energy and Minerals.

Future generation plan will largely be dominated by Coal and Gas power plants."

Kwa quote hiyo naomba ujiweke sawa, kuna mgawo, ni kweli inelekea lakini naona ni shortage in power production.
 
Wakuu mimi nilidhani ni huku kwetu tu.kumbe ni nchi nzima! Huku kwetu ulikatika tangu jana saa 12 jioni umerudi leo saa 8 mchana. Kinachosikitisha.wizara haisemi tanesco haisemi kwamba kuna mgao wa umeme. Nimetafakari sana juu ya mamlaka ya wananchi ilivyo minywa kwenye rasimu ya warioba kuondoa kifungu cha uwajibikaji wa serikali kwa wananchi. Hembu tujiulize kwenye katiba pendekezwa tumeambiwa ni wajibu wa serikali kufanya 123 kwa wananchi alafu hapo hapo tumeambiwa mwananchi hatakuwa na uhalali wa kisheria kuhoji utendaji au utekelezwaji wa ahadi za rais au mbunge mahakamani. Hapo ndipo tulipopigwa bao tena la kisigino.madhara yake itakua ni kudanganywa na wanasiasa kama tulivyo danganywa [maisha bora kwa kila mtanzania] na tutakua hatuna chombo kitakacho tusaidia kudai ua kuwawajibisha hawa wa laghai wa kisiasa kwa kuturubuni kwa ahadi zisizotekelezeka. Tuikatae ihi rasimu pendekezwa kwa kupiga kura ya [hapana]
 
pamoja na kuwa kuna mgawo wa umeme, suala lisilopendeza sana lakini wewe ni muongo.

Data unazotoa ni za kubuni na sababu ni za kimagumashi.
Sasa hivi tunaingia msimu wa kiangazi kwa hiyo haiwezekani kabisa kuwa mabwawa ysmejaa maji kwa asilimia mia moja.

Nikupe nukuu ya installed capacity power generation ya tanesco, wewe unasema ni 1000mw, wakati ukweli ni kwamba hauzidi 561mw nchi nzima kwa hydro power production.
Fuatilia nukuu toka web page ya tanesco.....

"generation
tanesco's generation division is responsible for all power generation functions owned by tanesco. Other sources of generation are from independent power producers (ipps) which feed the national grid and isolated areas as well.

tanesco's generation system consists mainly of hydro and thermal based generation. Hydro contributes 57 % of total power generation from january 2012 up to december 2012.gas and thermal contributed the remaining amount. During the year 2012(jan to dec 2012) the total units generated to the grid and isolated plants was 5,759,756,313 kwh or units.tanesco own generation was 3,110,436,062 kwh while the imports from ipps and neighbour countries (uganda and zambia) were 2,649,320,551 kwh.

tanesco operates own hydropower generating stations interconected to the national grid system.the installed capacity is; kidatu 204 mw;kihansi 180 mw;mtera 80 mw; pangani 68 mw;hale 21 mw;nyumba ya mungu 8 mw and uwemba 0.82 mw totalling 561 mw of hydro generation.

in recent years tanesco has impleted a thermal hydro power generation mix programme. A substantial amount of generation comes from gas and diesel thermal generation through own plants and independent power plants (ipps). Own thermal generation comes from the dar es salaam-based ubungo gas based 100mw plant,tegeta 45mw which was commissioned in december 2009 and ubungo || gas plant which was commissioned in july 1st,2012 by hon.prof sospeter muhongo (mp),minister for energy and minerals.

future generation plan will largely be dominated by coal and gas power plants."

kwa quote hiyo naomba ujiweke sawa, kuna mgawo, ni kweli inelekea lakini naona ni shortage in power production.

ni kuulize swali. Ivi ni halali miaka 50 ya uhuru bado tunategemea umeme wa maj. Ikiwa vyanzo mbadala vipo?
 
Huyu rais hakuna k2 wanapenda kutukuzwa tu lakn c kuhudumia wananchi
Saiv wanafidia prsa zlzochotwa wameshaona watz ni mazuzu, kuandamana tu hatuwez...ccm pigen pesa tu fursa mnayo saiv bt ulev utawaponza siku znakuja
UKOMBOZ MPYA UNAITAJIKA...mtanzania jtambue
 
Ni mara ya ngapi sasa kunatokea mgao baada ya Le profeseli Muhongo kuutangazia kiama mgao?!
Hivi bado anao ujasiri wa kuendelea kushikilia wadhifa wa waziri wa nishati na madini?!
Only in Tanzania!!
 
Bora kuwa mjinga ukaishi bila kujua kinachoendelea kuliko kujua kuwa unaibiwa,unaporwa,unanyanyaswa tena na mtu uliemwajiri! CCM wametufanya sisi kuwa watumwa na wamejifanya kuwa na haki miliki ya nchi. Umeme kwa sasa ni tatizo tena si umeme tu bali kero kubwa inakuwa ukosefu wa maji!
Mwanza maji yanakatika siku mbili sbb ya ukosefu wa umeme!
Wenye nchi hata hawaoni umuhimu wa kutueleza tatizo ni nini! Wao wako bize kutafuta pesa za kuwarudisha madarakani na jinsi ya kudhoofisha upinzani!
Tanzania kuwa na adabu ni mpaka wkt CCM iwe chama cha upinzani ndo watajua kumbe chochote chaweza kutokea. Bila hivyo kamwe tutaendelea kushuhudia dharau za kina Nape!
 
Pamoja na kuwa kuna mgawo wa umeme, suala lisilopendeza sana lakini WEWE NI MUONGO.

Data unazotoa ni za kubuni na sababu ni za kimagumashi.
Sasa hivi tunaingia msimu wa kiangazi kwa hiyo haiwezekani kabisa kuwa mabwawa ysmejaa maji kwa asilimia mia moja.

Nikupe nukuu ya installed capacity power generation ya TANESCO, wewe unasema ni 1000MW, wakati ukweli ni kwamba hauzidi 561MW Nchi nzima kwa hydro power production.
Fuatilia nukuu toka web page ya TANESCO.....

Kwa quote hiyo naomba ujiweke sawa, kuna mgawo, ni kweli inelekea lakini naona ni shortage in power production.

Lakini tulishaambiwa miaka mingi sana kuwa suala hili litakuwa historia. Nashangaa badala ya kupungua linaongezeka na waliojinadi na maneno hewa wanakula good time tu.
 
Pamoja na kuwa kuna mgawo wa umeme, suala lisilopendeza sana lakini WEWE NI MUONGO.

Data unazotoa ni za kubuni na sababu ni za kimagumashi.
Sasa hivi tunaingia msimu wa kiangazi kwa hiyo haiwezekani kabisa kuwa mabwawa ysmejaa maji kwa asilimia mia moja.

Nikupe nukuu ya installed capacity power generation ya TANESCO, wewe unasema ni 1000MW, wakati ukweli ni kwamba hauzidi 561MW Nchi nzima kwa hydro power production.
Fuatilia nukuu toka web page ya TANESCO.....

"GENERATION
TANESCO’s Generation division is responsible for all power generation functions owned by TANESCO. Other sources of generation are from independent power producers (IPPs) which feed the National grid and isolated areas as well.

TANESCO’s generation system consists mainly of Hydro and Thermal based generation. Hydro contributes 57 % of total power generation from january 2012 up to december 2012.Gas and Thermal contributed the remaining amount. During the year 2012(Jan to Dec 2012) the total units generated to the grid and isolated plants was 5,759,756,313 kWh or units.TANESCO own generation was 3,110,436,062 kWh while the imports from IPPs and neighbour countries (Uganda and Zambia) were 2,649,320,551 kWh.

TANESCO operates own hydropower generating stations interconected to the national grid system.The installed capacity is; Kidatu 204 MW;Kihansi 180 MW;Mtera 80 MW; Pangani 68 MW;Hale 21 MW;Nyumba ya Mungu 8 MW and Uwemba 0.82 MW totalling 561 MW of hydro generation.

In recent years TANESCO has impleted a thermal hydro power generation mix programme. A substantial amount of generation comes from gas and diesel thermal generation through own plants and independent Power Plants (IPPs). Own thermal generation comes from the Dar es Salaam-based Ubungo gas based 100MW plant,Tegeta 45MW which was commissioned in December 2009 and Ubungo || Gas Plant which was commissioned in July 1st,2012 by Hon.Prof Sospeter Muhongo (MP),Minister for Energy and Minerals.

Future generation plan will largely be dominated by Coal and Gas power plants."

Kwa quote hiyo naomba ujiweke sawa, kuna mgawo, ni kweli inelekea lakini naona ni shortage in power production.
Pamoja na data zako, ambazo lengo lake kubwa ni kuwabeba hao magamba wenzio, hata hivyo jambo jema ni kuwa indirectly umekiri kuwa mgao ushaanza nchi nzima, sasa swali la msingi la kukuuliza wewe kwa kuwa inawezekana ndiye ukawa Public Relations Manager wa TANESCO, je ni kwa nini mgao huo usitangazwe rasmi kwa umma wa watanzania?!
 
Pamoja na data ulizotoa za capacity installed power generation ya mabwawa yetu ya umeme.

Nikuulize swali moja la msingi ndugu yangu masopakyindi, je unakumbuka kauli iliyotolewa na Profesa Muhongo kuwa mara tu gesi ya Mtwara ikishakanyaga jiji la Dar, basi na suala la mgao litakuwa historia?

Kila mtu hivi sasa anajua kuwa gesi ya Mtwara ishafika Dar na uzalishaji wa umeme kwenye mitambo ya kuzalisha umeme unaendelea, sasa kwa maelezo yako umeniita mimi MUONGO,sasa ni nani muongo zaidi wa kupindukia kati yangu na Profesa MUHONGO, ambaye alituassure watanzanzania kwa asilimia 100 kuwa kuanzia mwaka huu mgao wa umeme utakuwa historia katika nchi yetu?!
 
Pamoja na data zako, ambazo lengo lake kubwa ni kuwabeba hao magamba wenzio, hata hivyo jambo jema ni kuwa indirectly umekiri kuwa mgao ushaanza nchi nzima, sasa swali la msingi la kukuuliza wewe kwa kuwa inawezekana ndiye ukawa Public Relations Manager wa TANESCO, je ni kwa nini mgao huo usitangazwe rasmi kwa umma wa watanzania?!
Tatizo lenu ni kutotumia common sense ku reason.
Majibu unayapata humuhumu mtandaoni, sijui mlisoma shule za aina gani.
Sawala la gesi kufika DSM li wazi , lakini je hiyo gesi inabadilika yenyewe kuwa umeme?
Sasa hapo ni wewe mwenyewe kutumia bongo, in the meantime ijaze data bank yako juu ya ujenzi wa mtambo wa kutengeneza umeme zkinyerezi unsotegemewa kukamilika ndani ya mwaka.
Halafu hayo maswali magumu muulize Muhongo.
 
Mkuu watanzania hatutaki porojo, tunataka umeme tuutumie kufanya uzalishaji tulipe kodi nchi iendelee. Hizi stori zenu za megawatt tumezichoka, mnaibia hata wagonjwa?
 
Ni mara ya ngapi sasa kunatokea mgao baada ya Le profeseli Muhongo kuutangazia kiama mgao?!
Hivi bado anao ujasiri wa kuendelea kushikilia wadhifa wa waziri wa nishati na madini?!
Only in Tanzania!!

Huyo Profesa tapeli yuko busy kujilimbikizia Mali kwenye gesi coz anajua amebakiza mwaka mmoja. Anajua fika kuwa mradi wa mgao wa umeme mnufaika wa kwanza kabisa ni Kikwete ndio maana Muhongo kajikita kwenye maslahi yake binafsi hazungumzii tena umeme
 
Back
Top Bottom