Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
"Insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results" Albert Einstein. Unachagua chama hicho hicho kwa namna ile ile halafu utegemee matokeo tofauti!! Your insane!!!
UKAWA mtawapata wapumbavu na malofa wenzenu. Wenye akili wanajua nini kinaendelea
Halafu wanazidi kudanganya kwenye Kampeni kuwa serikali ya Maguli itakuwa ya viwanda! Kwa umeme upi? Miaka 10 iliyopita JK alipoingia madarakani tatizo la kwanza alilokutana nalo ni mgao wa umeme! Anaondoka kukiwa na mgao wa umeme ikiwa ishara kuwa Ari mpya, Kasi mpya na Nguvu mpya ilikuwa kama moshi tu! Geresha tupu. Sina sababu ya kuamini ahadi yoyote ya CCM! Hapakuwa na maisha bora kwa kila Mtanzania badala yake ni kinyume
Ari mpya na kasi mpya ya kwenda ughaibuni kula bata.....!!! Hahahahaaa...ccm bana ni pengo la mbele, kutia aibu tu kwenye anga za kimataifa....!!!
Wanaoshabikia Lowassa ni Wachaga wenye chuki na Wajinga ambao hajuwi kumsoma mtu tapeli.Huyo Lowasa wako tunamdai mvua yetu aliyoenda kununua Malaysia kwa ajili ya kujaza mabwawa ya mtera!
Kabla hajaapishwa atuletee mvua yetu kwanza!
Kwa umeme huu, hao CCM wanaosema watajenga viwanda labda ivo viwAnda viwe vinatumia power bank!!
Kama hali hii tete la umeme ukiendelea Bwana Magufuli sahau kabisa kuingia Ikulu. Nakueleza wazi kuwa Watanzania WAMEKASIRIKA SANA na hawaoni sababu ya kuipigia CCM kura. Fikiria umeme unazimwa saa 11.30 asubuhi unarudi tena saa 4.30 usiku halafu usiku huo huo unazimwa saa 10.00. Hivi mnatuona sisi wananchi ni wajinga. Subiri kichinjio chako Bwana Magufuli tarehe 25.10.2015.Serikali gani hii isiyojali wananchi?.