princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 7,553
- 14,381
Hukikosa Hela hasira zinakuja Zenyewe... Ishitakie Nafsi yako kwa MuumbaHabari WanaJf
Jamani nauliza, kwa waliowahi kufikwa na adha hii au wanaofahamu; unaweza kukutana na mtu labda anaishi mitaa yenu ukamchukia bila sababu ,ilihali hajawahi hata kukusemesha,hana tabia mbaya yani ndo kwanza umemuona na hakuna sababu ya kumchukia lakini automaticaly unajikuta humpendi tu...
Au unakua na rafiki kipenzi kabisa, lakini gafla tu unamchukia bila sababu, anaweza kupiga simu usipokee, akikuuliza tatizo huna jibu la kueleweka ,ukimwona hutaki hata kukaa nae karibu
yani unatokea kumchukia tu....
Waungwana hii inatokana na nini? kuna namna fulani kiimani au?
wajuzi mnaofahamu hali hii nifahamisheni
Ipo namna flani kiimani,unahitajika kufanyiwa maombi,yawezekana una majinubi,au una roho ya chuki ambayo umerithi kutoka kwenye ukoo wenu,jaribu pia kufuatilia ndani ya ukoo wenu kama kuna mtu mwenye tabia kama hizo,ila kwa yote hayo kwa Yesu hayana nafasi..Habari WanaJf
Jamani nauliza, kwa waliowahi kufikwa na adha hii au wanaofahamu; unaweza kukutana na mtu labda anaishi mitaa yenu ukamchukia bila sababu ,ilihali hajawahi hata kukusemesha,hana tabia mbaya yani ndo kwanza umemuona na hakuna sababu ya kumchukia lakini automaticaly unajikuta humpendi tu...
Au unakua na rafiki kipenzi kabisa, lakini gafla tu unamchukia bila sababu, anaweza kupiga simu usipokee, akikuuliza tatizo huna jibu la kueleweka ,ukimwona hutaki hata kukaa nae karibu
yani unatokea kumchukia tu....
Waungwana hii inatokana na nini? kuna namna fulani kiimani au?
wajuzi mnaofahamu hali hii nifahamisheni
Hilo tatizo limeanza awaimu hii ya anko magu? ama lilianza awamu zilizopita?Habari WanaJf
Jamani nauliza, kwa waliowahi kufikwa na adha hii au wanaofahamu; unaweza kukutana na mtu labda anaishi mitaa yenu ukamchukia bila sababu, ilihali hajawahi hata kukusemesha, hana tabia mbaya yaani ndo kwanza umemuona na hakuna sababu ya kumchukia lakini automaticaly unajikuta humpendi tu...
Au unakuwa na rafiki kipenzi kabisa, lakini ghafla tu unamchukia bila sababu, anaweza kupiga simu usipokee, akikuuliza tatizo huna jibu la kueleweka, ukimwona hutaki hata kukaa nae karibu yaani unatokea kumchukia tu.
Waungwana hii inatokana na nini? kuna namna fulani kiimani au?
Wajuzi mnaofahamu hali hii nifahamisheni
Ha ha ha akapime mkojo siyo???Kafanye pregnant test
Kwa hiyo jamaa anavyowachukia jamaa, kwa hiyo na yeye ni mchawi?Lazima utakuwa mchawi wewe.