princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 7,553
- 14,380
Habari WanaJf
Jamani nauliza, kwa waliowahi kufikwa na adha hii au wanaofahamu; unaweza kukutana na mtu labda anaishi mitaa yenu ukamchukia bila sababu, ilihali hajawahi hata kukusemesha, hana tabia mbaya yaani ndo kwanza umemuona na hakuna sababu ya kumchukia lakini automaticaly unajikuta humpendi tu...
Au unakuwa na rafiki kipenzi kabisa, lakini ghafla tu unamchukia bila sababu, anaweza kupiga simu usipokee, akikuuliza tatizo huna jibu la kueleweka, ukimwona hutaki hata kukaa nae karibu yaani unatokea kumchukia tu.
Waungwana hii inatokana na nini? kuna namna fulani kiimani au?
Wajuzi mnaofahamu hali hii nifahamisheni