Tatizo la kuchukia watu bila sababu

Tatizo la kuchukia watu bila sababu

Labda nipate kwa uwezo wa utakatifu...
hata bwana sina naipataje sasa[emoji23] [emoji23]
Huna??? Kwani yule Mzee wake na aliyekuwa boyfriend wako aliyekugegedaga mliachana?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Desturi ya moyo wa binadamu ni mwepesi kutengeneza sababu ya kuhalalisha maamuzi yake. Hata mwizi akiiba hujipa kila sababu kuwa ni halali kwake kufanya hivyo. Halkadhalika na pale unapokuwa na chuki, huwezi kuamka tu ukasema fulani namchukia. Daima kunakuwa na chimbuko ila pengine halina uzito sahihi wa kuhalalisha chuki yako unajaribu kutofikiria hilo chimbuko.
Imeshakuwa ni mfumo wa maisha yako ya kuwa ghafla unamchukia mtu pasi na sababu maalum, hiyo ni ishara tosha kuwa mwenye tatizo ni wewe. Kaa chini utafakari, hasa kwa wale uliokuwa nao karibu na ukawachukia, niamini utajua tatizo lilipo. On a psychological point of view, ukijichunguza saa utakuta ni mtu wa hasira za haraka, unakerwa na vitu vidogo na mgumu kusamehe. Na hapa ndipo pakuanzia kutafuta suluhu ya tatizo lako.
Sawa Mkuu
 
et eeh
maana nna rafiki yangu Wa Tangu
primary...
tukaja tukafaulu wote secondary moja tukasoma
tumekua kama ndugu sasa
hajanikosea chochote Tuko zaidi ya miaka 15 lakini jamani saivi najikuta simpendi mpaka najishangaa yani sababu hakuna
Hakuna kitu kinatokea ama kumchukia mtu bila sababu. Wivu ni kidonda umeshiriki ugua polee
 
Kwa wadada wengine wakiwa period ni chuki tu
 
Habari WanaJf
Jamani nauliza, kwa waliowahi kufikwa na adha hii au wanaofahamu; unaweza kukutana na mtu labda anaishi mitaa yenu ukamchukia bila sababu, ilihali hajawahi hata kukusemesha, hana tabia mbaya yaani ndo kwanza umemuona na hakuna sababu ya kumchukia lakini automaticaly unajikuta humpendi tu...

Au unakuwa na rafiki kipenzi kabisa, lakini ghafla tu unamchukia bila sababu, anaweza kupiga simu usipokee, akikuuliza tatizo huna jibu la kueleweka, ukimwona hutaki hata kukaa nae karibu yaani unatokea kumchukia tu.

Waungwana hii inatokana na nini? kuna namna fulani kiimani au?

Wajuzi mnaofahamu hali hii nifahamisheni
Hizi ni dalili za uchawi, soon utaanza kuruka na ungo kabisa.
 
Psychological welfare,kuna mtu anaweza kaamka tu kakasirika bila sababu kuna siku pia mtu huyo huyo anakua na furaha isiyo kifani.
 
Sometime huyo unayemchukia huenda mwonekano wake ukawa sio mzuri kwako ikampelekea kumchukia
Lakini Neno la Mungu linasema mwenye chuki ni muuaji ikiwa kuna sababu au lah hupaswi kunchukia mtu

Ikiwa kibinadamu kama hakudai, hakufanyii baya lolote na yeye anakusalimia tu vzr iweje umchukie?

Unamchukia halafu ukipata tatizo anakuwa wa kwanza kukusaidia how did you feel

Kumchukia kwa sababu au bila sababu sio vzr Ki Mungu, na Mungu anajua maana ya kusema hivyo kwamba unayemchukia yeye bado anampenda na ndio maana amempa uhai sasa ikiwa Mungu anampenda iweje umchukie?

Aliyesema ni mchawi hajakosea maana mchawi anafanya mabaya bila hata sababu yoyote

Tafsiri ya chuki ni kwamba heri afe au auumie au apate mabaya ndipo kwako inakuwa raha sasa hayo sio maisha maana ukimchukia ndio anazidi kufanikiwa

Hata ukitongoza mwanamke akikataa usimchukie huwezi jua unaepushwa na nn ndio maana ndoa nyingi zinafarakana coz pengine walilazimishana kuoana

Chuki sio tunda zuri kama upendo mpende tu atakukumbuka akifanikiwa
 
Mm nikikuchukia piga ua garagaza ujue siku za mbele utakuwa rafiki yangu mkubwa tena walioshibana halafu sijui kwanini inanitokeaga hivi, [emoji16] [emoji51] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Sometime huyo unayemchukia huenda mwonekano wake ukawa sio mzuri kwako ikampelekea kumchukia
Lakini Neno la Mungu linasema mwenye chuki ni muuaji ikiwa kuna sababu au lah hupaswi kunchukia mtu

Ikiwa kibinadamu kama hakudai, hakufanyii baya lolote na yeye anakusalimia tu vzr iweje umchukie?

Unamchukia halafu ukipata tatizo anakuwa wa kwanza kukusaidia how did you feel

Kumchukia kwa sababu au bila sababu sio vzr Ki Mungu, na Mungu anajua maana ya kusema hivyo kwamba unayemchukia yeye bado anampenda na ndio maana amempa uhai sasa ikiwa Mungu anampenda iweje umchukie?

Aliyesema ni mchawi hajakosea maana mchawi anafanya mabaya bila hata sababu yoyote

Tafsiri ya chuki ni kwamba heri afe au auumie au apate mabaya ndipo kwako inakuwa raha sasa hayo sio maisha maana ukimchukia ndio anazidi kufanikiwa

Hata ukitongoza mwanamke akikataa usimchukie huwezi jua unaepushwa na nn ndio maana ndoa nyingi zinafarakana coz pengine walilazimishana kuoana

Chuki sio tunda zuri kama upendo mpende tu atakukumbuka akifanikiwa
Asante kwa somo
But sifikirii kuwa namchukia kimuonekano,kimaendeleo or anything

hakuna
 
Hakuna kitu kinatokea ama kumchukia mtu bila sababu. Wivu ni kidonda umeshiriki ugua polee
Asante Mkuu
Ila huwezi kumjua mwenye wivu kama Hujashiriki wivu.... Hello mwenye wivu mwenzangu[emoji136] [emoji136] [emoji136] [emoji136]
 
Back
Top Bottom