princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 7,545
- 14,358
- Thread starter
- #81
ChaaNjoo PM. tuone tunafanyaje
ChaaNjoo PM. tuone tunafanyaje
Uchawi unakusumbua mkuu. Acha kabisa kupaa usiku utaona hiyo tabia inaisha.Habari WanaJf
Jamani nauliza, kwa waliowahi kufikwa na adha hii au wanaofahamu; unaweza kukutana na mtu labda anaishi mitaa yenu ukamchukia bila sababu, ilihali hajawahi hata kukusemesha, hana tabia mbaya yaani ndo kwanza umemuona na hakuna sababu ya kumchukia lakini automaticaly unajikuta humpendi tu...
Au unakuwa na rafiki kipenzi kabisa, lakini ghafla tu unamchukia bila sababu, anaweza kupiga simu usipokee, akikuuliza tatizo huna jibu la kueleweka, ukimwona hutaki hata kukaa nae karibu yaani unatokea kumchukia tu.
Waungwana hii inatokana na nini? kuna namna fulani kiimani au?
Wajuzi mnaofahamu hali hii nifahamisheni
Heshima kitu cha bure mKuuUchawi unakusumbua mkuu. Acha kabisa kupaa usiku utaona hiyo tabia inaisha.
Ni wapi nilipokukosea heshima mkuu? Mimi nimetoa ushauri tu, Ila kama umeona nimekuvunjia heshima niwie radhi haikuwa dhamira yangu.Heshima kitu cha bure mKuu
kama huna cha kusema ungepita tu mkuu
Huwezi kunishutumu uchawiNi wapi nilipokukosea heshima mkuu? Mimi nimetoa ushauri tu, Ila kama umeona nimekuvunjia heshima niwie radhi haikuwa dhamira yangu.
Mbona una gubu!? Mtu mzima akiombwa radhi anaendelea na mengine. Au kuna la zaidi boss?Huwezi kunishutumu uchawi
kisa nmeleta mezani tatizo langu, ni kunivunjia heshima
Hao ni viongozi wa CCM.Wachagga wanaongoza kwa kuchukiwa na watu flani siwataji, ila hao watu wanajijua, na hao watu wanamwamini Mungu/Yesu ila wana chuki mpaka basi
Sina Gubu wala sisemi kwa ubayaMbona una gubu!? Mtu mzima akiombwa radhi anaendelea na mengine. Au kuna la zaidi boss?
Nadhani wakuu hamnielewi nna tatizo gani...Chuki uletwa na roho mbaya, choyo, husda..binadamu uwez kumchukia tu mtu bila sababu sababu znakuweko nying tu kwenye nafsi yako ...na moja ya sababu hzo ni hzo nlzotaja hapo juu... mtu anaweza mchukia mwenzie kwa ajili ya uzur alojaliwa masha allah mwngne anamchukia mwenzie maisha yake mazur au anabahat ya kupendwa.. au ukmuona unahisi anaringa wakat hata kuongea nae ujawah... mwngne unachukia et kisa anakula vzr... yan yotr na sababu yeyotr ile usababishwa na choyo, husda... roho mbaya... tena ukiish kfua chako kikiwa kimebeba chuki na roho mbaya utakuwa mtu wa stress na hata mafankio yako madogo na hata ukipata makubwa utakuwa huna raha nayo maana anayechukia anaumia zaidi kuliko anayechukiwa... kama una tabia za kuchukia watu ziache haraka sana.. binadamu mwenye ubinadam kamil ni yule ambaye akishajigundua ana tabia fulan mbaya au anaanza kuwa na tabia fulan mbaya ubadili haraka mfumo wa nafsi yake
NitakwendaKafanyiwe Maombi Dada!
Kapime mimbaHabari WanaJf
Jamani nauliza, kwa waliowahi kufikwa na adha hii au wanaofahamu; unaweza kukutana na mtu labda anaishi mitaa yenu ukamchukia bila sababu, ilihali hajawahi hata kukusemesha, hana tabia mbaya yaani ndo kwanza umemuona na hakuna sababu ya kumchukia lakini automaticaly unajikuta humpendi tu...
Au unakuwa na rafiki kipenzi kabisa, lakini ghafla tu unamchukia bila sababu, anaweza kupiga simu usipokee, akikuuliza tatizo huna jibu la kueleweka, ukimwona hutaki hata kukaa nae karibu yaani unatokea kumchukia tu.
Waungwana hii inatokana na nini? kuna namna fulani kiimani au?
Wajuzi mnaofahamu hali hii nifahamisheni
niliambiwa sinaKapime mimba