Tatizo la kuchukia watu bila sababu

mimi hii kitu nnakuaga nayo sana.
kuna shangazi yangu tuliishi nae sana hapa kwetu..
nikawa namchukia jamani,hata akinisemesha natamani kumtafuna
sikuwa na sababu yoyote, akaja kuondoka akakaa kwake kama miezi mi2 akaua watt wake wawili kwa sumu....

mwezi wa6 nimeenda kumuona jela musoma mjini, unajua moyo wangu umesuuzika mpaka najishangaa nmemuona tu nmelia...

kuna mwingine alikuaga wifi yangu best nikaja nikamchukia sana,gafla hakukaa sana miezi mi2 akaiba mil7 ya kazini kwao akatokomea...
Una asili ya kijicho na ubinafsi. Kwa kiingereza kuna neno linaitwa "sadist". Kupata faraja kwa madhila ya wengine. Ukichunguza sana utakuta mwanzo wa chuki zako kwa marafiki au ndugu ni pale unapohisi ana kitu kukuzidi ama amepata rafiki unaehisi bora kuliko wewe.
Ukitafakari ubora wa mtu kwa mtazamo wako ni pale unapohisi umemzidi ama anakutazama kwa mtazamo wa kukutukuza, daima utampenda, ukihisi tofauti tu chuki huanza. Hili linaweza kuelezea kuchukukia mtu uliyemuona mara moja, nyuma yake aidha utakuta ana jambo unalohisi kakuzidi ama kusifiwa kwa kitu fulani na waliomzunguka. Hatima yake unaishia kusema yule jamaa ana ringa when in reality ni chuki yako iliyojengwa na matamanio ya alichonacho.

Kwa kifupi hiyo ni hulka yako na njia pekee ya kuiepuka ni kujikubali katika ubora wako na kutojimithilisha na wengine.
Sikuhukumu, ni mtazamo tu.
 
Kuna watu wa ajabu sana, nakumbuka wkt niko chuo kuna watu hostel walikua hawanipendi kisa mwendo wangu wanasema eti najidai ...ha ha ha....kuja kustukia kumbe wananionea wivu naishi life ya kivyangu vyangu
 
Una asili ya kijicho na ubinafsi. Kwa kiingereza kuna neno linaitwa "sadist". Kupata faraja kwa madhila ya wengine. Ukichukunguza sana utakuta mwanzo wa chuki zako kwa marafiki au ndugu ni pale unapohisi ana kitu kukuzidi ama amepata rafiki unaehisi bora kuliko wewe.
Ukitafakari ubora wa mtu kwa mtazamo wako ni pale unapohisi umemzidi ama anakutazama kwa mtazamo wa kukutukuza, daima utampenda, ukihisi tofauti tu chuki huanza. Hili linaweza kuelezea kuchukukia mtu uliyemuona mara moja, nyuma yake aidha utakuta ana jambo unalohisi kakuzidi ama kusifiwa kwa kitu fulani na waliomzunguka. Hatima yake unaishia kusema yule jamaa ana ringa when in reality ni chuki yako iliyojengwa na matamanio ya alichonacho.

Kwa kifupi hiyo ni hulka yako na njia pekee ya kuiepuka ni kujikubali katika ubora wako na kutojimithilisha na wengine.
Sikuhukumu, ni mtazamo tu.
Nafikiri bado hujanipata
Kwanza hutokea tu mtu simjui hanijui labda first time namuona ,nakua simpendi

hao niliokua siwapendi kufananisha na mimi bado sana,haiko sababu ya kuwachukia kabisa.....

bado jibu lako halijaniingia ,hii sio chuki binafsi, ukiwa na chuki binafsi mbona unajijua tu haihitaji kuuliza....

Ila hii kitu Icant xplain kwakweli na inanikwaza hasa kwa huyu rafk yangu
kwasababu moyo wangu umekua mzito mno ,nkosa hata amani sometimes nikiufungua kwake unakua mzito sana
ndio maana nikaona nije kwenu wakuu
 
0443adaeaee61d47569a202bf74fa895.jpg
 
Kuna watu wa ajabu sana, nakumbuka wkt niko chuo kuna watu hostel walikua hawanipendi kisa mwendo wangu wanasema eti najidai ...ha ha ha....kuja kustukia kumbe wananionea wivu naishi life ya kivyangu vyangu
Inaonekana ulikua una swampa sana
 
Nafikiri bado hujanipata
Kwanza hutokea tu mtu simjui hanijui labda first time namuona ,nakua simpendi

hao niliokua siwapendi kufananisha na mimi bado sana,haiko sababu ya kuwachukia kabisa.....

bado jibu lako halijaniingia ,hii sio chuki binafsi, ukiwa na chuki binafsi mbona unajijua tu haihitaji kuuliza....

Ila hii kitu Icant xplain kwakweli na inanikwaza hasa kwa huyu rafk yangu
kwasababu moyo wangu umekua mzito mno ,nkosa hata amani sometimes nikiufungua kwake unakua mzito sana
ndio maana nikaona nije kwenu wakuu
Desturi ya moyo wa binadamu ni mwepesi kutengeneza sababu ya kuhalalisha maamuzi yake. Hata mwizi akiiba hujipa kila sababu kuwa ni halali kwake kufanya hivyo. Halkadhalika na pale unapokuwa na chuki, huwezi kuamka tu ukasema fulani namchukia. Daima kunakuwa na chimbuko ila pengine halina uzito sahihi wa kuhalalisha chuki yako unajaribu kutolifikiria hilo chimbuko.
Imeshakuwa ni mfumo wa maisha yako ya kuwa ghafla unamchukia mtu pasi na sababu maalum, hiyo ni ishara tosha kuwa mwenye tatizo ni wewe. Kaa chini utafakari, hasa kwa wale uliokuwa nao karibu na ukawachukia, niamini utajua tatizo lilipo. On a psychological point of view, ukijichunguza sana utakuta ni mtu wa hasira za haraka, unakerwa na vitu vidogo na mgumu kusamehe. Na hapa ndipo pakuanzia kutafuta suluhu ya tatizo lako.
 
Ukiangalia kwa makini hakuna mtu anaemchukia binadamu mwenzie sema ni ile life style mf. Wizi, uvaaji wa ajabu, unafiki, udictator nk. Akiviacha mbona poa Binadamu wote ni sawa hakuna sababu ya kuchukiana. Hivyo chuki ipo kwenye tabia na sio binadamu kama alivyo
 
et eeh
 
MIMI UKINICHUKIA NATAFUTA MBNU NIKUPATE NILE PAPUCH, UANZE KUNIPENDA.

UTANICHUKIAJE BILA 7BU, ROHO MBY TU
 
Back
Top Bottom